Tundu Lissu afunguka bungeni

Asante kwa tusi lako! Mimi sijasoma lakini nina busara kuliko wewe. Pia nina imani naijua computer zaidi yako. Nimezoea majibu yenu CDM naona na wewe unafaa kuimba mipasho. Jiandae kugombea ubunge ukaongeze mipasho bungeni

CDM = Chama Daima Mipasho

Wakuti, ningeomba uwe makini,unapopewa taarifa uweke hapa JF ili watu wengine wajifunze/habarike, basi ni vema ukasoma ulichopewa na kujiridhisha ni cha kweli kabla ya kufanya kama ulivyoelekezwa.

Hapo kwenye red: Hakuna cham cha siasa cheny hilo jina. Nenda ofisi ya msajili wa vyama vya siasa upitie tena orodha ya majina ya vyama. Ni ushauri tu.
 
Aki ya nani hili ni JEMBE si wale wazee wa mipasho kina mwigulu mtu na fani yake bwana mwanasheria kweli kweli.
 
Mungu mbariki Mheshimiwa Mbunge wetu Tundu Lissu, Mpe kinga ya Kimwili na Kiroho dhidi ya mafisadi wote wasioitakia mema nchi hii.

Ee Mola Mtukufu wape upofu wa macho wale wote wanaopanga njama chafu dhidi yake, wakimtafuta wasimuone, hasa wale waliozoea kupeleka watu Bunju, ili wakijaribu wajikute wanafanyiana wao kwa wao.
Amina..​
 
Hii hotuba ya Lissu imejaa mitego, sina hakika kama CCM wataiona na kuepuka kujibu kichwa kichwa. Tusubiri.

Mkuu ni kweli hii hotuba ni moto, na kwa jinsi hawa CCM walivyo wepesi wa kukurupuka wakiivaa kichwa-kichwa kujibu itakuwa ni kujivua nguo zaidi. Hoja nyingi ni zile zinazzogusa hisia za wengi haswa katika matumizi makubwa ya fedha katika mambo ambayo tungeweza kupunguza hio fedha na bado ufanisi ukaonekana..

Lakini pia nategemea majibu mepesi sana ya hizo hoja kutoka CCM...
 
kusema ukweli kwenye Tasnia ya sheria huyu Tundu Lissu anatakiwa atunukiwe shahada ya udktari wa falsafa kwa jinsi anavoweza kuchambua sheria na kuzilink na maisha ya kawaida kwa lugha rahisi amabayo hata sisi amabao sio wanasheria tunaielewa kwa urahisi sana! mungu amjalie afya nanulinzi aweze kuendelea kutufumbua macho
 
Asante kwa tusi lako! Mimi sijasoma lakini nina busara kuliko wewe. Pia nina imani naijua computer zaidi yako. Nimezoea majibu yenu CDM naona na wewe unafaa kuimba mipasho. Jiandae kugombea ubunge ukaongeze mipasho bungeni

CDM = Chama Daima Mipasho
hiki ni chama kipya? kina usajili wa kudumu au wa muda? funguka
 
eti mwanajeshi aliyeacha akigombea ubunge tu utasikia mabwepande wameweka pingamizi, ili hali kuna askari maofisa wana kuwa wakuu wa wilaya wakiwa askari ni contradiction
 
Ananukuu matukio mengi sana hasa rushwa za uchaguzi, Uteuzi wa wakuu wa wilaya na Mikoa ambao woote ni wabunge wa viti maalumu. Lissu anahoji kwa mujibu wa katiba tuliyonayo saa mkuu wa wilaya au mkuu wa Mkoa ni wa mtumishi wa serikali ambayo inapaswa kujibu hoja za wabunge waliopo bungeni, (ieleweke kuwa Bunge ni mhimili tofauti na ule wa serikali) sasa je wabunge waha wa kuteuliwa wanafanya nini bungeni wakati wanapaswa kutekeleza yanayojadiliwa bungeni? Pili; wanapokuwa bungeni wanakuwa wanakosoa serikali hiyohiyo ambayo imewaajiri?

Source ni TBC Bungeni leo..

Tundu Lissu ni tunu ya watanzania,hana nidhamu ya woga,ni mkweli na msimamizi wa haki. Hakika CDM ni taa itokayo kwa MUngu baba. M4C daima
 
Mh. Tundu Lissu leo utanifanya nishidwe kulala kwasababu ya FURAHA!

Jaji(?) Werema ninasikia hadi unamaliza hotuba yako alikuwa amesha loose 10kg

Jaji(?) Werema huenda naye aliteuliwa hivyo hivyo bila kufanyiwa vetting na mahakama, maana sijawahi kuona AG kilaza kama Werema

Mungu mjalie maisha marefu Mh. Tundu Lissu. FREEDOM IS COMING TOMMORROW
 
Wabunge wa CCM wa ajabu,eti anaanza kwa kumponda Lissu kuhusu weledi wa baadhi wa majaji na wakati huohuo anaongelea mapungufu mengi yaliyoongelewa katika hotuba ya Lissu bila ya kumhusisha...! Ajabu hii...
 
Back
Top Bottom