Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti.
Naanza Mimi mwenyewe,ili upate udhamini wa masomo yako ni lazima uwe umeomba chuo na umepata udahili na chuo husika kimekupa barua,ambayo unaitumia kuombea udhamini Wa kifedha.
Naomba wengine muendelee