Tunaotafuta scholarships za masters degree nje ya Africa tukutane hapa

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,453
Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti.

Naanza Mimi mwenyewe,ili upate udhamini wa masomo yako ni lazima uwe umeomba chuo na umepata udahili na chuo husika kimekupa barua,ambayo unaitumia kuombea udhamini Wa kifedha.
Naomba wengine muendelee
 
Acheni woga, jipangeni mkalipie fully fees! S/ship nyingi zina mashart ya kijinga jinga wkt ukienda nchi nzuri box tu lakutoa na unalipia fees na kusoma
 
Sasa we Jerry hujui hata kuweza kufika nchi nyingine na kupiga box nako ni hatau,ndo ufafanunue vizuri sasa watu waende wakapige box wapate ada
 
Me kwangu tatizo kubwa la kupata udahili naona ni ishu za English proficient tests kama TOEFL nk. Tupeane maujanja kwenye hili ukizingatia wengine tuko mikoani hatuna access na British Council.
 
Kashi kuna baadhi ya nchi hawahitaji hizo TOEFL mfano nchi za Scandinavia wanakuuliza tu ulitumia lugha gani wakati unasoma,kama English hawakuulizi TOEFL ila kama ulitumia lugha nyingine watakuomba hiyo TOEFL
 
Nashukuru mkuu kwa taarifa hizo njema.
 
Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti.

Naanza Mimi mwenyewe,ili upate udhamini wa masomo yako ni lazima uwe umeomba chuo na umepata udahili na chuo husika kimekupa barua,ambayo unaitumia kuombea udhamini Wa kifedha.
Naomba wengine muendelee

Acheni uoga wa maisha nyie. Kama umesoma vizuri ukapata degree moja. Masters / PHD ya kazi gani? Au mnataka muendelee kutoa excuse ya kutokuwa na hela . ( Unajua badoi napiga piga shule bana ). The only excuse to be broke is to be in jail. Tumieni Degree zenu kukabiliana na changamoto za maisha. Acheni ubabaishaji.
 
wewe utakuwa na gpa 2.4 ambayo huwez endelea soma kunguru wewe. wenzet china na ulaya wametuzidi kila kitu lakini bado wanapiga kitabu wewe mbongo hata mpira umekushinda unakuja kuandika pumba huku. ndorooooooobooo weee
 
Doners gani wazuri kwenye kutoa full scholarship....? Mie niliona bill gates na mke wake pamoja na coca cola wanajitahidi sana hawa jamaa kwenye kutoa udhamini FULL,
 
Aisee jamani wenye dream za scholarship tuzidi kupambana, Mungu yupo mi mwenyewe na imani ya kusoma nje na naamini Mungu atafungua milango. Waliofanikiwa walipambana sana kuomba sehemu mbalimbali. MUNGU NI MWEMA.
 
Graça Machel Scholarships for Women

We are proud to offer Graça Machel Trust scholarships for Southern Africa's future women leaders.

The application process is the same as for Canon Collins Scholarships for Postgraduate study in South Africa.

For further information and to apply, please click here.

Are you eligible?

To apply for a scholarship under this programme you must be:

  • [*=left]Female
    [*=left]A national of and normally resident in one of the SADC countries: Angola, Botswana, DRC, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, South Africa, Swaziland, Tanzania, Zambia, Zimbabwe
    [*=left]In possession of a good first degree (minimum second class, upper division or equivalent) or about to graduate in the year of application
    [*=left]Studying or applying to study at a South African university

Other criteria are the same as for Canon Collins Scholarships.

What we offer

Full tuition, stipend and other support for Honours, masters and PhD study at South African universities.

This scholarship is generously funded by The Sol Plaatje Trust, MacSteel International and others

Source Graça Machel Scholarships for Women
 
Acheni uoga wa maisha nyie. Kama umesoma vizuri ukapata degree moja. Masters / PHD ya kazi gani? Au mnataka muendelee kutoa excuse ya kutokuwa na hela . ( Unajua badoi napiga piga shule bana ). The only excuse to be broke is to be in jail. Tumieni Degree zenu kukabiliana na changamoto za maisha. Acheni ubabaishaji.

Sasa ndo umeandika makana gani haya! Mijitu mingine inapenda sifa kweli ukute lenyewe halina hata kacertificate kakutolea gundu.
 
Nataka nikasome holland sema ufadhili hapa imekuwa shida.tusaidiane basi
 
Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti.

Naanza Mimi mwenyewe,ili upate udhamini wa masomo yako ni lazima uwe umeomba chuo na umepata udahili na chuo husika kimekupa barua,ambayo unaitumia kuombea udhamini Wa kifedha.
Naomba wengine muendelee

mkuu, hebu fafanua vizuri inakuwaje.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom