Tunaotafuta scholarships za masters degree nje ya Africa tukutane hapa

wewe utakuwa na gpa 2.4 ambayo huwez endelea soma kunguru wewe. wenzet china na ulaya wametuzidi kila kitu lakini bado wanapiga kitabu wewe mbongo hata mpira umekushinda unakuja kuandika pumba huku. ndorooooooobooo weee

sasa mkuu naona kama unanilenga mimi. kwani mwenye gpa ya 2.4 hawezi kusoma masters?
 
scholarship ambazo hazina longolongo ndefu ni za china na india. na hizi kuzipata kiurahisi ni kupitia mawakala... kwa kipindi hiki scholarship zinazopatikana ni za partial sio full... ukihitaji za full inakubidi usubir mpaka mwakan miez ya mwanzon...
 
scholarship ambazo hazina longolongo ndefu ni za china na india. na hizi kuzipata kiurahisi ni kupitia mawakala... kwa kipindi hiki scholarship zinazopatikana ni za partial sio full... ukihitaji za full inakubidi usubir mpaka mwakan miez ya mwanzon...

asante kwa taarifa mkuu. watu wa maana ni kama wewe, sio wale wapuuzi wanaowakatisha watu tamaa.
 
Mm natafuta ya maziwa wakuu, dairy technology......
ikiatikana tutagiane....bt hizi za kwenye mitandao mbona mtu unajaza tuuu hakuna feedback au nyingi ni matapeli??
nina second upper class, lakini sion feedback
 
Mkalikali tusaidie jinsi ya kuwapata mawakala hao Wa uchina na India kwa ajili scholarships
 
Tungebadilika kidogo tu kiakili badala ya kuchangiana harusi kitu ambacho ni starehe ya mtu binafsi tungeanza kuchangiana elimu. Kamwe tusingehamisha akili zetu kufikiria scholarship.
 
wakuu hiv mtu akiwa ana ka gpa ka 2.4 anaweza soma masters?

degree yeyote mtu anaweza soma masters. ishu ni wengi wanaotoa scholarship kuchuja kwa kigezo cha gpa kulingana na wingi wa watu wengi huanzia 3.8 au second upper. kama una hela yako binafsi hapa hapa bongo unasoma ilimradi uwe una degree haijalishi ni gpa gani.
 
Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti.

Naanza Mimi mwenyewe,ili upate udhamini wa masomo yako ni lazima uwe umeomba chuo na umepata udahili na chuo husika kimekupa barua,ambayo unaitumia kuombea udhamini Wa kifedha.
Naomba wengine muendelee
I wanted to make you aware that the Embassy of Ireland has recently opened applications for 2019/2020 Government of Ireland Scholarship Awards.

The Irish Fellowships Training programme is a global programme offering fully-funded fellowships for future leaders and influencers to study in Ireland. The programme presents a unique opportunity to study in an international setting and benefit from the research facilities provided some of the top Universities and Institutes of Technology in the world. Past alumni who have participating in the programme have highlighted the professional and academic development they have gained, the opportunities to develop new networks, and their enjoyment of experiencing Irish culture.

I am attaching a copy of the full list of courses available under the programme and an application form.

To be eligible to apply applicants must:

be a Tanzanian citizen
be resident in Tanzania
have achieved a 1st class or 2.1 in their undergraduate studies
be able to demonstrate a strong commitment to the development of Tanzania
be able to meet the required International English Language Test (IELTS) score for entry into Irish Universities www.ielts.org (Minimum score 6.5)
be applying to commence a be able to take up the fellowship in the academic year 2019
have identified a course from the provided course list
be pursuing a new qualification and not be seeking funding for a course that has already commenced or which will begin before fellowship awards have been notified

The closing date for receipt of applications from Tanzania is 12pm on Friday 30th November 2018.

For more details about the programme and the application process please refer to the Irish Embassy website: Opportunities to Study in Ireland - Department of Foreign Affairs and Trade. Applications from female candidates are particularly welcomed.

Please feel free to circulate this information amongst your wider networks. If you have any questions or would like further information please contact my colleagues managing the programme at: TanzaniaFellowships@dfa.ie
View attachment Irish-Aid-Fellowship-Training-Programme-Application-Form-2019-1.pdf
 
Back
Top Bottom