Aargh! Tafadhali bwana. Kikwete japo kwa saa moja tu.Ili tusmpotezee muda. Kutakuwa na form za uchangiaji! Sema riz!Hivi Mods kazi yao kuita viongozi wa siasa humu JF kuja kujibu maswali! Pro-TLP-JF na wenyewe wakitata mods wamlete Mrema, jamvini msikitae
hahaa mkuu sasa JK atakachokuja kutueleza kwamba yy sio mvua, kuna haja gani ya kumleta. Hvyo basi kwakuwa slaa anakazi nyng nampendekeza hata Dovutwa kwani hatujawi kucklza maoni yakehahaha,kweli we unaumwa hata kifaduro unacho!
mods tunaomba muwasiliane na Dr.Slaa mumuombe aje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,
yapo mengi ya kumuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
- giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
- bahasha la jairo.
- kujivua gamba kwa RA.
- sakata la madiwani wa arusha.
- umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.
'Kama Namba tano si kwa sababu ya matakwa ya kisiasa, mtoa hoja angefikiria waitwe wanazuoni wa masuala ya Uchumi na ujasiriamali. Wanazuoni wa uchumi wanawezakuwa na mchango mzuri zaidi kuliko wanasiasa. Isitoshe mwawazo yao yaweza kutufanya wengine tu-implement na kukuza kipato chetu! Wanasiasa watafika hapa na kuanza kushutumiana pasipo hata kutoa wazo linalowezakumfanya mtu wa kati au wa chini kutekeleza mawazo ya kujenga na kujikwamua kiuchumi. Wataishia kutuambia nichague mwaka 2015 ili mwe na maisha bora! Sisi tunataka mawazo mbadala kwa wakati huu kabla ya kufikia 2015!.
kum''hosni mubarak JK
hv kwa mfano siku Raisi aingie Jf ajitambulishe na aanze kujibu hoja itakuwaje?sipati picha!
Wewe ndo umesema!Huyu ndo anastahili!Lakini hawezi tia mguu hapa!Aitwe M.K.P PINDA yeye si huwa anajibu maswali bungeni aje na hapa.
Hayo ni maswali ya kujibiwa na viongozi wa serikali,linalomhusu ni la hao madiwani wa Arusha tu!Nafikiri umeomba baada ya serikali kukosa majibu!
Nadhani mtoa hoja amekosea kuwahusisha mods kwenye wito kwa Slaa. Angemwita Dr Slaa mwenyewe, kwavile ni member humu, angetujibu mwenyewe. Haikuwa na haja ya kuwatuma mods. Otherwise naunga mkono hoja!