Tunamuomba Dr. Slaa hapa JF J'pili tarehe 31 July

Status
Not open for further replies.
mods tunaomba muwasiliane na Dr.Slaa mumuombe aje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,
yapo mengi ya kumuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
  • giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
  • bahasha la jairo.
  • kujivua gamba kwa RA.
  • sakata la madiwani wa arusha.
  • umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.
Ingekuwa bora zaidi kama ungemtaka JK mwenyewe...Dr.Slaa hatazungumza tofauti na mawazo yako ama wengine.
 
mods tunaomba muwasiliane na Dr.Slaa mumuombe aje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,
yapo mengi ya kumuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
  • giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
  • bahasha la jairo.
  • kujivua gamba kwa RA.
  • sakata la madiwani wa arusha.
  • umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.
Ukiondoa hapo kwenye red, haya mengine yote tungetafuta majibu toka kwa Kikwete.
 
Hivi majibu ya maswali haya anayo Dr Slaa au Nape/Mukama/Chiligati/Kikwete? Mbona hakuna uhusiano kabisa? Dr Slaa aseme nini kuhusu giza na yeye hana uwezo hata wa kuagiza serikali ibadili sheria ya manunuzi iili mitambo ya mitumba inunuliwe kunusuru hali iliyopo? Issues mlizoziibua hapa naona hata hazihitaji majibu ya Dr. Slaa bali ya Nape Nnauye. Mbona na yeye ni member wa JF? Kwa nini msimwambie Mod amuite Nape hapa aeleze ni kwa vipi wanashughulikia haya yaliyopo. CCM kama chama kinachoongoza serikali kina mamlaka ya kuiagiza serikali kutekeleza mambo kadha wa kadha ambayo yanaonekana kuwa ni mzigo kwa wananchi. Sasa Slaa atafanya nayo nini? Mwiteni Nape, muacheni Slaa afanye mambo mengine ya msingi kwa chama.
nikweli hawa magamba ndo waje hapo kwan dr.slaa sio sos ya mgao wa gz na mengineyo!
 
Jamani ni kweli slaa jembe na ndio rais tunae mtambua, lkn mimi napendekeza DOVUTWA aletwe nae
 
Ukiondoa hapo kwenye red, haya mengine yote tungetafuta majibu toka kwa Kikwete.

huogopi majibu yake? aisee! ni maswali magumu sana kwa mtu km JK au nape, wote mliosema waitwe viongozi wa CCM hamjafikiria vizuri, hivi unategemea jibu gani kutoka kwao wkt wao ndo wamesababisha hayo? sana sana JK anaweza akakwambia kuwa uchumi wa nchi yetu umekuwa kwa kasi kuliko hata wa marekani (huku anacheka.) siwezi kumsikiliza huyo mimi.
 
Hivi Mods kazi yao kuita viongozi wa siasa humu JF kuja kujibu maswali! Pro-TLP-JF na wenyewe wakitata mods wamlete Mrema, jamvini msikitae

Dr Slaa ni member pasi kificho nadhani kwa mantiki hiyo ndio maana members wenziye wanamwita.........sina hakika kama Mrema na Lipumba ni member wa JF.........
 
Majibu ya maswali yote haya tunayo WATANZANIA wenyewe tukiamua. Lakini kama tunataka siasa na umaarufu muiteni Dr Slaa, Mh Mrema, Mh Lipumba, Mh Mbatia, Mh Cheyo, wote wanayo majibu ya kisiasa matamu kweli kuliko bigijii ya Sir Alex Ferguson wa ManU.
 
Yupo rais moja kule america kusini anajibu maswali ya watu kwenye TV. si jambo la ajabu rais kuja JF kujibu maswali. karibu Dr Slaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom