Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

wahuni kweli kweli mtu kakulia katika udisco jokker unategemea nini hapo,mademu na dada zao ndiyo wabunge viti maalumu hivi wana jf mnafahamu mbunge paresso wa karatu aliyeingia hivi karibuni nyumba ya baba yake ndiyo ilikuwa inatumiwa na dk slaa wakati wote wa ubunge wake ? hapo si kulipana fadhila ? kwa chama hicho tutegemee janga kubwa nchi hii
 
hiyo ndio hali halisi hao watu na hela huna namna ya kuwatofautisha na tatizo letu wabongo ukiwatahadharisha...mfano eneo fulani kuna bomu limetegwa na linaweza kuripuka muda wowote kuanzia sasa ..., wabongo badala ya kukaa mbali na eneo la tukio wao watakaribia kwa wingi kushuhudia likiripuka...
ni kweli mabadiliko yanahitajika lakini sio kwa style hii ...

Pamoja sana mkuu!
Tumechoka na uongozi uliopo, hatuhutaki tena, na tusidanganyike tena na vyama vya siasa, ni wanafiki wakubwa. Tunataka uongozi uwe mikononi mwetu wenyewe, wananchi ndio tuwa wafanya maamuzi ya kila kitu, si tena wawakilishi ambao ni wasaliti.
Ukiona mtu yeyote anashadadia demokrasia na siasa zake, basi ujue ameshakufa kifikra. Si chadema, ama ccm tena wote ni wezi na wanafiki wakubwa. Tule kiapo sasa. UONGOZI NI UBUNIFU, tunahitaji kukaa chini na kutafakari falsafa mahususi kwa mazingira na nyakati tulizonazo, na si kuwafurahisha wazungu, ni wehu.
DEMOKRASIA HAIWEZI KUMLETEA MAENDELEO MUAFRIKA, IMESHASHINDWA, HAMUONI? Pumbavu!
Mungu wetu anaita!
 
cdm ni chama kitakachopoteza mvuto mapema kuliko vyama vyote hata kama watachukua ncî
 
Hii chadema naifananisha sana na kipindi kikwete anaingia madarakani.wengi tulikuwa na hope naye sana but just observe ths current situation facing th country.i gues cdm gona be like this!
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Kumbe CCM ndio zao?
Asante kwa kunifungua na kuniongezea sababu zaidi za kuichukia CCM.
Mungu akubariki
Amen!
 
Sikushangai ndugu yangu najua hayo ni matokeo ya "mental slavery" chini ya mfumo fulani wa uongozi kwa muda mrefu. Umepoteza uwezo wako wa kufikiri kwa kuwa umejazwa hofu na kutojiamini kwa muda mrefu. Pole sana.
Ila baadae ya utakuwa huru. Na fikra zako zitakuwa sawa!
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)
 
Nimeangalia mkutano wa leo jagwani kitendo cha m/kiti wa cdm kukanyaga kanyaga kadi za chama kingine si cha kiistarabu kinashusha hadhi yake kama m\kiti.

si kukanyangwa tu mimi ningekuwa yeye ningezipiga moto wewe aujui uchungu wa watanzania embu fikiri sana kijana wangu usije ukahabikiwa na huo mzuka wa magamba mwizi haonewi huruma kama na yeye haoni huruma kwa rasilimali za watanzania
 
Rais akiwa slaa baraza la mawaziri watajaa wajomba zao,kaka zao na madem zao kama walivyowekana ktk viti maalum km unataka dada yako awe mbunge mpeleke kwa mheshimiwa anagongwa anapewa nafasi pale hakuna kitu labda kama ww mchaga sawa unaweza ukaidika nauongozi wao sisi tulokua maofisini tunawaona ni wabinafsi watu wenye tamaa sana na hamriziki hata mpate vp ww angalia mchaga mtaani kwenu ana maghorofa,malori bado hatosheki anazidi kuweka wanae misukule awe na ghoro nyingi zaidi nendeni na chama chenu cha ukabila.

Uliyoyasema yanafanywa na JK tu maana ndiyo mwisho wa uwezo wake
 
Punguza uvivu wa kufikiri.katika viongozi sita wa ngazi ya juu wa chadema wanne kati yao ni waislam,ukristo upo wapi? Kama chadema ni cha wachaga kwa sababu mwenyekiti ni mchaga basi kwa msingi huo ccm ni chama cha wakwere coz mwenyekiti wake ni ******.kuteuliwa viti maalum chadema wanaangalia msaada wa mtu ndani ya chama,kura za uraisi na ubunge katika mkoa husika na jimbo,pia uwezo wa mtu katika kusimamia hoja.

mnapendeleana mpaka mnawapa uongozi watu ambao cyo raia wa tz ini mradi kagongwa na kiongozi au shemeji wa kiongozi km huyo leticia nyerere anaishi usa anaongoza tz ina maana kulikua hakuna wengne wenye cfa na ambao wana nia
 
Nimeangalia mkutano wa leo jagwani kitendo cha m/kiti wa cdm kukanyaga kanyaga kadi za chama kingine si cha kiistarabu kinashusha hadhi yake kama m\kiti.

si ni taka taka ingekuwa busara kuzipeleka chooni ziwe kama toilet paper

Baada ya kuchambua kwa makini mawazo ya wadau hapo juu, ninakubaliana na kwamba:- CCM kuna ufisadi, tamaa, uchoyo na ubinafsi.
CDM kuna ubinafsi, tamaa uchochezi na JASBA.
Kwa hiyo chama kitakachofanikiwa kurekebisha DOSARI ZAKE hizo ndicho kitawafaa watanzania katika juhudi zao za kujiletea maendeleo.

kuna tabia za kurithi zpo kwenye damu hawa cdm wengi viongozi wake ubinafsi,ufisadi,udini upo kwenye damu kama huyo mchungaji slaa kilichomkimbiza kanisani kitu gani?kapga hela kasepa.
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)
wewe ndio juha kweli, JK kwenye viti maalumu na wabunge wakuteuliwa kuna washikaji zake wangapi, mademu zake wangapi... Watoto wa viongozi ccm wote wana position ndani chama, kwa nn ulioni hilo unaona ya CHADEMA, au kwa vile wachache...makatibu wa CCM wote ni kwa kujuana, vyeo vyote vya kuteuliwa ni kwa kujuana, hayo huyaoni, unaona ya wenzako..kabla ya kutoa banzi kwa mwenzio, ondoa boriti kwako...
 
nothing to fear under chadema....ni wale ambao akili zao bado zimefungwa ndio huwa wanaogopa mabadiliko ya kisiasa,kijamii na hata kiuchumi....yaani hawawezi ku-accomodate new challenges....na ndio hao wakiona nyoka wanasema shetani kwa upeo wao mdogo kwa sababu huchagua kuona na kuamini wanachofikiri hata kuzungumza wanachokiogopa.
Wamechagua kuona uchaga kwa sababu ya mbowe.....lakini hawaoni kama kuna prof.safari.

huyo prof.safari amekaa boya hana power hata ya kutoa maoni hana mpango wowote hajui hata mipango ya chama coz mipango ya cdm ni ya wachaga wote kama cyo mchaga huwezi jua na wamepania kweli ndo maana siri za government zinavuj
 
Rais akiwa slaa baraza la mawaziri watajaa wajomba zao,kaka zao na madem zao kama walivyowekana ktk viti maalum km unataka dada yako awe mbunge mpeleke kwa mheshimiwa anagongwa anapewa nafasi pale hakuna kitu labda kama ww mchaga sawa unaweza ukaidika nauongozi wao sisi tulokua maofisini tunawaona ni wabinafsi watu wenye tamaa sana na hamriziki hata mpate vp ww angalia mchaga mtaani kwenu ana maghorofa,malori bado hatosheki anazidi kuweka wanae misukule awe na ghoro nyingi zaidi nendeni na chama chenu cha ukabila.

Ukianza kuangalia kwa style hii unavyoingalia Chadema nnakufananisha na mtu mpumbavu-mjinga,ipo siku utaanza pia kuichambua Serikali hii ya sasa kuwa inaongozwa na dini fulani.Potelea mbali wewe ni bora ufungiwe jiwe la kusagia tukutose baharini sbb wewe hauna tofauti na sumu kali(ubaguzi wa kidini/kikabila/kikanda)itakapoenea itamaliza vizazi vyetu
 
huyo prof.safari amekaa boya hana power hata ya kutoa maoni hana mpango wowote hajui hata mipango ya chama coz mipango ya cdm ni ya wachaga wote kama cyo mchaga huwezi jua na wamepania kweli ndo maana siri za government zinavuj

Mod huyu mtu analeta ukabila kwenye mambo ya jamii kwa nini msimpe zawadi ya ban?Sasa kama hichi alichokiandika kinaendana kweli na uhalisia?
 
Mbona umeandika kinyume SUGU ndio alimaliza vurugu za mbeya (wapi uchochezi),CHADEMA ndo walitoa rambirambi kubwa kwa wahanga wa mafuriko dar (wapi ubinafsi),CCM wanakata watu mapanga (wapi jazba) na Dr.Slaa aligombea urais akijua atashindwa na ubunge atakosa (wapi tamaa).

amekosa ubunge lakini unajua mshahara anaojilipa?ndo maana hakuna na aja na ubunge ana chukua mshahara kuliko aliye bungeni kama angekua anajua akikosa urais anachukua laki 7 angegoma kugombea.
 
Siasa za maji taka zinanifanya hata hamu ya kushabikia siasa ipungue kwa nini jamani tusijikite kwenye sera na maendeleo ya nchi yetu.
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Nepi kazini! Isitoshe ni haki yako kikatiba kutoa maoni yako ila ktk hili ungekuwa kimya tusingdjua kiasi ulivyojawa na kila aina ya ujinga na upumbavu, sasa tumekujua na tutakuwa tunakuelimisha maana hata ktk mabadiliko tunayoyataka Tz hata wajinga tunataka tubadilike nanyi tusiwaache nyuma!
 
Back
Top Bottom