Tunafundisha Tuition , Tunapatikana Tanzania nzima.

Pre form one

Member
Dec 20, 2023
22
35
Habari za hasubuhi ndugu wazazi pamoja na walezi.Kama una mtoto wako ambaye ni mzito au hata kama sio mzito lakini unahitaji asome (Home schooling au Home Tuition) huduma hyo inapatikana Tanzania nzima.

Kwanini RJ Home Tuition services.

1.Tunasaidia wanafunzi waliochelewa kuzungumza na wale wazito kuanzia baby class (wasiojua kusoma Wala kuandika Hadi wale wa open university)

2.Tunamfata mtoto nyumbani on time ,mda atakaotupangia mzazi ,tuna materials zote pamoja na teaching aids mfano ubacs na tunatoa action play yenye time frame uweze kuangalia matokeo ya mtoto na kutuaccess .

3.Tunafundisha kwa vitendo ,tuna Hadi shule za kufanyia practical ,walimu wenye uzoefu wa miaka 7 ,pia wazazi kama 50 wameshafundishiwa watoto wao.


4.Tunafanya home package ,solving papers ,na Kila Jumamosi tunafanya mitihani na kumpa mtoto majibu .


5.Mitaala inayofundishwa ni yote ,Masomo yote kulingana na ushauri kati ya mwanafunzi na mwalimu.


Karibu sana R J home tuition services,hautojutia ,pia tunafundisha lugha zote za kigeni mtu akiwa nyumbani ,mtoto atasoma lugha moja ya kigeni bure ,kwa anayetaka kusoma lugha ya kigeni bei nafuu sana,Bei zetu ni rafiki sana na tumesambaaa Tanzania nzima.Mawasiliano zaidi na kupata taarifa zetu tembelea kurasa za kijamii au whatsup no 0743567159(whatsup only) au RJ home tuition services.karibuni sana
 
Back
Top Bottom