huwa hakuna kitu kama kubadilisha damu. hizi ni theory tu za vijuwe vya mtaaniAnaumwa nini?au kaenda kubadilisha damu?sasa apone mapema ugonjwa gani?tunatakiwa tujue anaumwa nini ili tunaposali tunautaja na ugonjwa halafu huo ugonjwa unateketea kwa nguvu za MUNGU!
Pamoja na kuwa namuombea apate afueni huko alikoenda lakini ningependa kujua hawa wakubwa lini wataanza kutibiwa nyumbani? Tutawezaje kuwa na imani na madaktari wetu kama wao wanaonyesha wazi kutowaamini?
This is what we are best at......
Anaumwa nini?au kaenda kubadilisha damu?sasa apone mapema ugonjwa gani?tunatakiwa tujue anaumwa nini ili tunaposali tunautaja na ugonjwa halafu huo ugonjwa unateketea kwa nguvu za MUNGU!
1.Our God is an Almighty one... no need to mention the name of the sickness if u r sincere and not insinuating anything.Just pray in faith for her speedy recovery.Lasthope,
We need to know and is our right to question about the problem faced our first lady 'Mama Salma'. This is because of her status in our society as a first lady, there is no secrecy with sickness. How are we going to pray for her? we need to cast and mention the specific problem so that our almight God could hear our pray. God bless Mama Salma.
huwa hakuna kitu kama kubadilisha damu. hizi ni theory tu za vijuwe vya mtaani
First lady, taratibu hata kama kaenda kubadilisha damu whats the big deal? halafu you dont have any right ya kujua anaumwa nini, ugonjwa ni private matter ya mgonjwa na daktari na ikibi sana basi familia. sas wewe unataka kujua ili iweje? we muombee tu apone
bado nashindwa kuelewa unamaanisha nini? umeuliza masuala matatu ambayo katika yote linaloingia akilini ni moja tu, hili la anaumwa nini? wanasema ukitaka kujua werevu wa mtu subiri afungue mdomo wake! First Lady kwa mila na desturi zetu Watanzania ni kuombeana dua mgonjwa yoyote yule apone haraka sasa wewe unauliza apone mapema ugonjwa gani? hii haijatulia kabisaa!!!Anaumwa nini?au kaenda kubadilisha damu?sasa apone mapema ugonjwa gani?tunatakiwa tujue anaumwa nini ili tunaposali tunautaja na ugonjwa halafu huo ugonjwa unateketea kwa nguvu za MUNGU!
Namuombea mke wa Rais mama Salma Kikwete ambaye yuko nje ya nchi (jina na hospitali vimehifadhiwa hadi serikali wakiamua kuwaambia!) kwa matibabu apone hima na kurudi nyumbani salama. Tunakutakia kila la kheri chini ya mikono ya madaktari ili Mnyezi Mungu akupe uzima na afya ya mwili.
M. M.
bado nashindwa kuelewa unamaanisha nini? umeuliza masuala matatu ambayo katika yote linaloingia akilini ni moja tu, hili la anaumwa nini? wanasema ukitaka kujua werevu wa mtu subiri afungue mdomo wake! First Lady kwa mila na desturi zetu Watanzania ni kuombeana dua mgonjwa yoyote yule apone haraka sasa wewe unauliza apone mapema ugonjwa gani? hii haijatulia
kabisaa!!!
Excuse you me! as long as she is using TAX PAYERS MONEY we have a legitimate right to know anaumwa nini, anatibiwa wapi, atapona lini nk. Period. wewe na mimi ugonjwa ni siri zetu na madaktari kwa sababu inawezekana hatutumii hela ya mlipa kodi. Hizi theory zenu za secrecy ndo zimetufikisha hapa, watu wanakula kodi zetu harafu wanatusimanga eti haituhusu.. Ukishakuwa public figure inabidi ukubali scrutiny ya private life yako pronto. privelege inaendana na responsibility. Yaani watu tugharimie huduma na msafara wa mama huko ughaibuni, harafu tuambiwe eti ni siri? This is beyond my comprehension....
Tell them! So unscientific.
Utabadili damu halafu pia utabadili na cells an kila kitu kwenye mwili?
Watu wanadhani mwili wa mwanadamu ni kama machine au engine ya gari kwamba utamwaga oil na kusafisha kila kitu na kuweka ingine.
Tujieleimishe kabla y aku speculate vitu.Utashangaa hata wasomi na madigirii yao wanaongea mambo ya kubadilisha damu!
Hivi hii theory ya kijiweni inatokana na nini hasa??
This is what we are best at......