Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Huyo mjita sijui mkerewe ana kujisikia sana, ana u-yego Jaji, Yego Masika, chikaka, hafai, halafu akipata changamoto ndio unajua hana akili kabisa ukiacha vile vi akili vya kusoma vitabu vya motivation. Fuatilia alipokuwa mkuu wa mkoa wa dodoma, haku-fit kabisa
Hivi hapa Tanzania kuna mtu asiyeweza kufit kuwa mkuu wa Mkoa?
 
MIMI NAFAA KABISA NAFASI HIYO. Mwambie Mama anipe nafasi hiyo nimuonyeshe utendaji kazi makini.
 
Changamoto siyo mtu sahihi , changamoto kubwa ni kwamba anapatikanaje?

Wabadili utaratibu watangaze nafasi watu tuombe, tupimwe kwa ahadi zetu na Job description tutakayopewa.

Sometimes watu wanateuliwa wanashindwa kukataa.....ila mtu akiomba kazi anakuwa amezamiria yeye na anapaswa kufahamu mipaka yake
 
Huyo mjita sijui mkerewe ana kujisikia sana, ana u-yego Jaji, Yego Masika, chikaka, hafai, halafu akipata changamoto ndio unajua hana akili kabisa ukiacha vile vi akili vya kusoma vitabu vya motivation. Fuatilia alipokuwa mkuu wa mkoa wa dodoma, haku-fit kabisa
Hapana Dodoma alifist sana
 
31 October 2023

MAPYA TENA UTEUZI WA MAKONDA CCM: MCHAMBUZI MSOMI DR. MUCHUNGUZI AFICHUA MAZITO

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZTgLSJMGn18

Mchambuzi Dr. Dennis A. Muchunguzi anazungumzia afya ya kubadilisha makatibu uenezi itikadi na elimu siyo kuyumba kwa CCM bali ni afya sura mpya kupokezana vijiti toka kwa Nape Moses Nnauye, Humphrey Polepole, Shaka Hamdu Shaka, Sophie Mjema, Paul B. Makonda ....
 
Back
Top Bottom