Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

Status
Not open for further replies.
Nipo hivi

Mtanzania yeyote akienda kushindana nje nitampigia kura iwe isiwe.

Na kwakua Magufuli ambaye ni mtanzania, naye kaenda kushindana nje hivyo sina budi kumpigia kura.

Amepata kura yangu.
 
mxiiiiuuuwww yaani hii ndio taarifa muhimu ..
mimi nilidhani serikali imetangaza ajira mpya kwa vijana khaaa
 
Bora hata Uhuru Kenyatta. Alionesha busara mahakama ilipobatilisha matokeo ya Augost 2017.
 
Kupiga Kura ni ujinga, Tunataka kujipa uhalisia ambao haupo!! Kama hayuko hivyo Hakuna haja ya kulazimisha watu. Kama anastahili ataipata tu Kama hastahili tusilazimishe mambo
 
Ndugu zangu Watanzania na wana Afrika wote wenye mapenzi mema na nchi yetu inayoongozwa na Dk John Pombe Magufuli.
**Ili kuepusha kuharibu kura zingatia yafuatayo unapojiandaa kumpigia kura Rais Dk John Pombe Magufuli awe kiongozi bora wa Afrika 2017**
1.Tumia browser moja tu kupiga kura moja tu.
2.Waweza piga kura moja tu kwa kila browser moja kwa kutumia simu moja.
3. Aina za browser ni kama vile chrome, opera mini na fire fox n.k
4.Usirudie kupiga kura kwa kutumia browser moja unapoteza muda wako na pia kuharibu kura yako.
Endelea kupiga kura
Endelea kumfahamisha mwenzako
Endelea kumuhimiza mwenzako apige kura
Endelea kuwa Mzalendo
Endelea kumuombea Rais wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Wew kibaraka wa ccm mim sina mdaa mchafuu huo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom