Ngosha255
JF-Expert Member
- Mar 29, 2013
- 431
- 512
Hata mimi hapa mkuu nimesha-vote!Mkuu,believe me,60%,ni outsiders,sio wtz,hatupo awake
Hata mimi hapa mkuu nimesha-vote!Mkuu,believe me,60%,ni outsiders,sio wtz,hatupo awake
Je kwenda kumwona Tundu Lissu Nairobi inakupunguziaje ukali wa Maisha?Hiyo inampunguziaje ukali wa maisha bibi yangu huko kijijini Nyabubinza?!
Anaongoza kuwapoteza pale ufipaniAnaongoza wapi? kwenye familia yako?
Zee zima hovyo kabisa.
Kodi unalipa lakini au tutume vijana wakahakiki?
Hata mimi hapa mkuu nimesha-vote!
Hata mimi hapa mkuu nimesha-vote!
Kutubu ni kitu ganiAkitubu tutamchagua.
Idiotttttttt!!Mpigie ww na familia yako
Vipi wanalipa hela ya NECTA?vipi hela ya mlinz,taaruma nk.Ebu njoo na evidence hapa mkuuWajinga ndo muwe munawaeleza hayo tena wasio na exposure,20,000 iliyoondolewa ndo elimu bure?
Nakupongeza kwa huo Uzalendo. Mpigie kura Mhe Rais, Dunia inatambua na Africa inatambua kwamba yeye ndiye kiongozi anayestahili kuigwa kwa ulinzi wa Rasilimali za nchi. Kaingia madarakani ndani ya miaka miwili kaingia kwenye 6 Bora kati ya Maraisi 56 wa Africa. Vote for him acha mchama wako!Njoo hata wewe kuhakiki. Siku zote nimekuwa naenda mwenyewe. Hawajawahi kuja hata siku moja.
Iko hivi, kama kuna watu Tanzania jpm hamumtaki jua hata uko Nigeria huyo jamaa hawamtakKama ni hivyo yule kiongozi kitoka Nigeria angeongoza maana Nigeria ina watu zaidi ya Mara tatu ya watu wa Tanzania
Ulitaka waje pale ufipa ndo ujue huwa wanafanya uchunguz?Acha akili mgando.Mbona hao waanzisha tuzo hawaji TZN kuja kupata taswira yake ndani ya nchi kabla ya kumpendekeza,kumuweka raised wa Ghana na Kenya kwenye kapu LA madikteta Wabash in danishes ni kuwashushia hadhi
Okay!...Idiotttttttt!!
Hujui kuna watanzania wanampigia kagame?Sasa ukilaza wangu ni nini kwa hapo?
Acha upumbavu. Ni nani atampigia rais asiye wake kwa kupima ubora?
Mkuu uko vizuri kumwelimisha uyo karai,lkn cjui ka ataelewa maana hawa jamaa hivo vichwa ni vigumu sana kuelewa hata wakikarrshwa jambo na mbowe,lisu au kimambe.Ebo! Kumbe bado hujaelewa? Wanaopiga kura ni global society; watu wenye uangavu wa global governance practices. Si underdog msiosoma majarida ya kimataifa kuelewa kinachoendelea duniani isipokuwa hadi muelekezwe na viongozi wenu waliowashikia akili ndio mnaweza kutenda. Ungekuwa na uelewa hata kidogo ungebaini namna na kiasi ambacho uongozi wa Rais Magufuli ulitikisa duania 2017 hususan kutokana na serikali yake ilivyobadilisha kabisa mining policy/regime ya Tanzania. Unadhani ni watu wa aina gani na wangapi walitikiswa na mtikisiko wa hisa za kampuni namba moja ya dhahabu duniani? Ondoka chini ya mwembe. Pandisha akili yako!