Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,459
we ndo mbuzi wake wa kafara nini?Ndugu zangu Watanzania na wana Afrika wote wenye mapenzi mema na nchi yetu inayoongozwa na Dk John Pombe Magufuli.
*Ili kuepusha kuharibu kura zingatia yafuatayo unapojiandaa kumpigia kura Rais Dk John Pombe Magufuli awe kiongozi bora wa Afrika 2017.
1.Tumia browser moja tu kupiga kura moja tu.
2.Waweza piga kura MOJA kwa kila browser moja kwa kutumia simu moja.
3. Aina za browser ni kama vile chrome, opera mini fire fox n.k
4.Usirudie kupiga kura kwa kutumia browser moja unapiteza muda wako na pia kuharibu kura yako.
Endelea kupiga kura
Endelea kumuombea Rais wetu.
Mungu ibariki Tanzania.