Tumpe Rais Kikwete heshima yake

concern yako inaweza kuwa na maana kwa kiasi fulani, lakini ondoa wasiwasi, hata yeye hana tatizo, yeye mwenyewe huwa anajiita mkwere karibu katika kila hotuba anayotoa kwa umma, na sijasikia mtu au watu wanalalamika kwamba anakweza kabila lake, japo kweli amelipromote maana halikujulikana hivyo kabla! hata nyerere alitaja kabila lake ( si unajua mwenzetu anapenda kudesa kwenye hotba za JK original). uwe na amani haina shida na wala huo si ukabila, ukabila unaenda mbali zaidi ya hapo!
 
kumuita rais mkwere haihusiani na ukabila kabisa.....mkwere ni jina la utani, linamfanya aonekane mtu wa kawaida....jina la Kikwete limeshahusishwa na urais, kwa hiyo linakuja na uzito fulani.....lakini kumuita mkwere au JK ni kumfanya aonekane mtu wa kawaida na kuweza kumuongelea....halihusiani na udini kabisa....hata ye mwenyewe anajiita mkwere kama alivyosema theophilius.

Pinda anajiita mtoto wa mkulima....sidhani kama anataka kuwanyanyapaa watoto wa wakulima, au kuwapa status ya utofauti....ni vijimaneno tu.
 
concern yako inaweza kuwa na maana kwa kiasi fulani, lakini ondoa wasiwasi, hata yeye hana tatizo, yeye mwenyewe huwa anajiita mkwere karibu katika kila hotuba anayotoa kwa umma, na sijasikia mtu au watu wanalalamika kwamba anakweza kabila lake, japo kweli amelipromote maana halikujulikana hivyo kabla! hata nyerere alitaja kabila lake ( si unajua mwenzetu anapenda kudesa kwenye hotba za JK original). uwe na amani haina shida na wala huo si ukabila, ukabila unaenda mbali zaidi ya hapo!

hata mimi napenda niitwe Mfipa na nijulikane hivyo, it is who I am, kuishi kwangu, kuwaza, lugha yangu ya moyoni ni kifipa, na ninapozungumza kiswahili au kiingereza huwa lazima ndani ya moyo wangu nizungumze kifipa na kile kinachotoka huwa ni tafsiri tu.

Kwa hili I am very proud of Mkwere Kikwete!!
 
Usijali.

Mimi ni Msukuma orijino.

Kwa hiyo nitamuita Mkwere bila kutafuna hata herufi moja. Hilo la ukabila ni maoni yako ambayo hayatafanyiwa kazi Usukumani.
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??

We vp? The man is PROUD of being MKWERE na ndio maana alipokuwa anaongea na wazee wa ccm juu ya wafanyakazi alithubutu kujigamba kuwa yeye ni mkwere na akatoa mifano ya kutosha ya kikwere ukiwemo ule maarufu wa MBAYUWAYU
 
Mi sioni tatizo cause , jina tunalomwita KIKWETE , ie MKWERE ni jina la utani tu, wa si kwa jili ya ubanguzi ya ukabila, cause mbona Kumwita JK haliana tatizo au mbona NYERERE alikuwa anaitwa MCHONGA
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??

Dah,yani wewe ndio umenifungua macho,nilikua sijui mkwere ni nini?kumbe ni kabila? duh kama ni kweli Tanzania hamna ukabila maana sikuwahi kujua kama kuna kabila la wakwere wala kabila la jk!
Asante sana

Hapana mkuu hii si sahihi kuwaita wana jamvi ni wakabila, nakuomba upitie baadhi ya hotuba za huyo JMK utaona anaji-refer yeye mwenyewe kama ni 'Mkwere' na hii ndio imesababisha kuitwa hivyo hapa Jamvini.

Aha,yani this time ni balaa tunakoenda!
Tanzania ya sasa ina tupandikiza udini,kiasi kwamba sikuwa hivi lakini sasa kila jambo linalotokea naangalia alieye lifanya ni mtu wa dini gani?
Hii ni kwa sababu ya kuhubiri udini.

Leo tena umeanza ukabira,honestly neno mkwere nimekuwa naliona ila sikuwahi kujua ni nini,kumbe ni kabila?
Sasa inanilazimu kutafuta kila raisi aliyepita ni kabila gani?
Tuna fanya kama mchezo hivi,lakini naamini mimi nawakilisha wengi sana,ambao walikuwa hawaangalii mambo kwa misingi ya udini na ukabila,ila kwa kuwa una hubiriwa sana tunalazimika kuanza kutazama / kutafuta kujua mtu fulanialiye pata kitu fulani ni mtu wa kabila gani na dini gani.

Madhara yake hayata onekana leo wala kesho, ila yanakuja na ni makubwa sana,....endeleeni na mahubiri yenu ya kubomoa
 
:whoo:kwani siyo MKWERE? Tunasema MKWERE tukiamanisha anareflect matatizo ya kwao,kwani amekuwa mvivu wa kufikiri kama kabila lake:whoo:
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??
Mimi nadhani jina hilo halitumiki kuwakilisha kabia lake bali ni kutokana na namna ambavyo serikali yake imeshughulikia mambo katika hali inayoonekana wazi kuwa ni ya kisanii. Na pia nadhani kuna kiongozi mkubwa wa upinzani aliyewahi kuiita serikali ya Kikwete kuwa ni ya kisanii.
Kutokana na maelezo hayo naomba siku ya Jumapili ufungulie ITV baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku na uone source halisi ya jina hilo (MIZENGWE).
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??
Ni kweli sahihi wala kumwita mtu kwa kabila lake lakini sidhani kama wanafanya hivyo kwa kulichukia kabila zima ila ni utani wa kisiasa tu kama wanavyomwita JK badala ya Jakaya, au kama mitaani tulivyokuwa tumezoea kumwita Mwalimu kwa majina ya Mzanaki, Mchonga meno, Mussa, n.k. Ndugu yangu Shycas pole kama wewe pia ni Mkwere lakini ni lazima tukubaliane kwamba hizo ni athari za kuwa public figure ambapo kila mmoja atakutazama na kukuona kwa mtazamo wake. Mimi si Mkwere lakini natoka kwenye jamii iliyo karibu kabisa na kabila hilo na sioni ubaya kumwita jina hilo ingawa mimi sipendezwi kufanya hivyo. Hapa nataka kumpa "credit" Kikwete (Pamoja na kutofautiana misimamo kisiasa yeye na mimi) kwamba hababaishwi wala kuaibishwa na yeye kuitwa Mkwere (Ingawa nina uhakika analielewa hilo vema) na badala yake amewapeleka watu mpaka alipozaliwa na kukulia. Kwa hilo wa nyumbani Big up.
 
upo sahihi,lakini kutoa kauli kama 'Mkwere nchi imemshinda, unafikiri ni sawa kwa ustawi wa nchi? Kwanini tusiseme tu kwamba Kikwete ameshindwa kuongoza nchi na badala yake anatakiwa afanye 1,2,3 nk?

Nadhani anaweza kukasirika zaidi Ridhiwani kusikia jina hilo, siyo wewe. Lakini nikueleze tu katika jamii ukiwa kiongozi ahata baba wa familia ama mama wa familia kulingana na matendo yako unaweza kupewa jina ambalo watoto wako wanaweza kukuita bila ya wewe kujua. Jina hili linaweza kutokana na tabia yako ya ulevi ama umalaya n.k. angalia katika ofisi fulani mabosi pia wamekuwa wakipachikwa majina kadha wa kadha sembuse MKWERE, fuatilia kwa watoto wako utakuwa umepewa jina na nadhani watakuwa wamekupachika jina la Unonko kulingana na jinsi ulivyoweka Post yako humu.

1. Nyerere= Mchonga, Mussa, Nyag'au
2. Mwinyi = Shemeji, Ruksa
3. Mkapa = Mr Clean, Shot
4. Kikwete= Msanii, mkwere, Boys II men

Mengine mnaweza kuongezea hapa......
 
Slaa-padre
 
Back
Top Bottom