Tumpe Rais Kikwete heshima yake

i concour with u Abdulahim....... mi nafikiri watu wanamuita mkwere sio kwa sababu wanataka kukashifu kabila ni swala la jokes tu mbona mrema anaitwa mzee wa kiraracha. na pinda mtoto wa mkulima ww mtoa hoja ndio unataka kuingiwa ukabila humu, anapokuwa reffered as mkwere hatumsemi kwa kabila lake ila kwa mudu yake... acha kuleta hoja dhaifu we shaycas.... kumbuka its better u keep u r mouth zipped and let ppl have a doubt if u r a fool rather than open up and talk just remove all doubt that you truly a fool

Sahihi kabisa. Mwalimu Nyerere katika moja ya hotuba zake alipokuwa akiongelea juu ya kauli yake aliyoitoa Umoja wa Mataifa kuwa Watanzania wanataka uhuru aliwahi kusema, 'Niliwaambia kuwa Wamatumbi wanataka nchi yao', wamatumbi wakiwa kabila mojaq kati ya makabila mengi ya Tanzania. Si kila linapotajwa kabila ni ukabila au kila inapotajwa dini ni udini.
 
read me in btn the lines. Nimesema raisi ni raisi heshima mbele ya kusimama akipita tunampa hizi lugha za kejeli humu jukwaani ndizo stahili yake maana yeye ni mtoto wa mijini au to be more specific, JK ni mtoto wa kihuni, hizi lugha ndizo lugha zake hazimkoseshi usingizi!.
There you are.
 
KAMUDU

Nakubaliana na wewe kuwa Rais tuliye naye IS THE BEST PRESIDENT na ana mapenzi ya dhati kuhusu maslahi na ustawi wa nchi yetu na sio vizuri kumlaumu ilhali wa kulaumu ni sisi wenyewe. Kwa bahati mbaya watanzania tunajulikana kwa ufundi wa kulaumu na kutopenda kufanya kazi. Wengine hata wanauliza UHALALI wa RAis kama vile wao ndio kipimo cha uhalali. Sisi tulio na kumbu kumbu tunakumbuka kuwa hata Baba wa Taifa walikuwa wakimlaumu sana ingaWA SASA utawasikia wakimsifia (someni maandiko yao, yanawasuta).

Watanzania ni wepesi kwa kulaumu wengine bila kujiuliza binafsi kama sisi watanzania tunachapa kazi kwa bidii, tunaweka akiba na kuwekeza. Marekani na NCHI NYINGINE ZILIZOPIGA HATUA KUBWA ZA KIUCHUMI HAZIKUJENGWA na watu kila kukicha wanatafuta mchawi wa kulaumu. Hao CCM unaolaumu ni wananchi wengi wa kawaida ambao ni maskini na hawana uwezo. Ndugu zetu wa Kenya, Uganda na Rwanda wanatujua sisi watanzania kuwa ni watu wa maneno matamu na tusiopenda kufanya kazi. Bila kila mmoja wetu kufanya kazi kwa bidii, kujisomea kwa bidii, kulipa kodi, kuhakikisha kodi zinatumika katika kuwekeza katika elimu, uwezeshji na miundo mbinu, kupunguza kupiga soga, kupunguza kulaumu nchi yetu haitaendelea na kulaumu. Mchawi wetu ni tabia zetu sisi watanzania. Sisi ni wavivu na wepesi wa kulaumu wengine. Kwa sasa tutalaumu CCM, lakini yeyote atakayepata nafasi ya kuongoza Tanzania tutamlaumu tuu.

Wote tunajua kuwa nchi yetu inahitaji uwekezaji ili ipate mitaji ya kujenga nafasi za ajra na KIUCHUMI. Lakini Watanzania tunajulikana kwa kulaumu na kuwalaani wawekezaji.

RAIS TULIYENAYE NI THE BEST PRESIDENT? Sweeping statements kama hizi zinahitaji facts - ni hatari kuzitamka. jambo la kwanza mtu yeyote anayeingia katika Public office ni halali kabisa kuchambuliwa na kukosolewa. ni kweli tunao utamaduni katika nchi zetu hizi, mkubwa anaheshimiwa na anajua kila kitu. kwa sasa utamaduni huo tunahitaji kuuboresha kidogo. heshima sawa, kwa sababu kumbuka kuna URAIS na RAIS: the presidency and the president. heshima ya cheo inabakia palepale, kutokana na kukalia cheo hicho. lakini heshima ya rais kama rais mwenyewe inabidi aipate kwa kuifanyia kazi.

Ni kweli marais wote kuanzia Nyerere mpaka JK wamekuwa wakikosolewa wanapokuwa madarakani. lakini hatuwezi kusema wanakosolewa kwa mambo yaleyale. Mwinyi alikosolewa hasa kwa kutoa ruksa mno. lakini Kikwete anakosolewa kwa kuhusishwa moja kwa moja na wizi wa mali za uma. Mkapa anakosolewa pia kwa kuwa mwizi, ingawa anasifiwa pia katika control ya uchumi. kikwete sifa pekee ni labda kuruhusu na kutoa uhuru kwa namna mbalimbali, ikiwamo mijadala, vyombo vya habari nk. hapa wengine watasema si kwamba ameruhusu ila kutokana na udhaifu wake mwenyewe.

kuhusu watanzania kuwa wavivu, nakubaliana na wewe kiasi fulani. lakini tukijiuliza asilimia kubwa ya watanzania ni akina nani, tunaweza kupata jibu tofauti. ni wakulima vijijini. JK anasema wafanyakazi ni kama laki tatu tu, ndo maana hata kura zao hakuwa na haja nazo. lakini wakulima ni wengi sana. je wakulima wa Tanzania ni wavivu? sidhani, ila hawatendewi haki. ukiwapa mazingira mazuri watalima vizuri na kwa wingi zaidi. je vijana ni wavivu? ukiwapa nafasi ya mafunzo ukawapa na vifaa ukawapa na soko, watashindwa? angalia kwenye machimbo ya madini jinsi watu wanavyochakarika katika mazingira magumu. mimi nadhani suala sio uvivu, bali ni kukosa mfumo unaotoa fursa za maendeleo kwa makundi mbalimbali katika jamii.

hata kwa wafanyakazi maofisini. kama kuna taratibu mahsusi za mtu kupanda cheo kwa kuchapa kazi, sio rushwa wala majungu, sidhani kama watu wataendekeza uvivu. hii inahitaji uongozi kutoka juu, unaoweka na kusimamia taratibu madhubuti. Kagame Rwanda anaweza, hata sisi tunaweza kabisa. ndio maana ni halali kabisa kulaumu uongozi uliopo. lakini ni halali pia kujilaumu sisi wenyewe. la kwanza ni tunatakiwa kufanya yote tunayoweza kuyafanya sisi wenyewe. mfano uchafu katika mazingira yako, huhitaji serikali ikudekie na kukupambia nyumba yako. tujilaumu pia kwa kitu kimoja kikubwa sana. kukubali kutawaliwa na watu tusiowahitaji. na hapa ndio maana ni muhimu makosa na mapungufu ya viongozi yawekwe hadharani. si umeona uchaguzi wa 2010, inaonekana kelele zimemgusa mwenye nyumba na sijui kama atapata usingizi tena!
 
KAMUDU

Nakubaliana na wewe kuwa Rais tuliye naye IS THE BEST PRESIDENT na ana mapenzi ya dhati kuhusu maslahi na ustawi wa nchi yetu na sio vizuri kumlaumu ilhali wa kulaumu ni sisi wenyewe. Kwa bahati mbaya watanzania tunajulikana kwa ufundi wa kulaumu na kutopenda kufanya kazi. Wengine hata wanauliza UHALALI wa RAis kama vile wao ndio kipimo cha uhalali. Sisi tulio na kumbu kumbu tunakumbuka kuwa hata Baba wa Taifa walikuwa wakimlaumu sana ingaWA SASA utawasikia wakimsifia (someni maandiko yao, yanawasuta).

Watanzania ni wepesi kwa kulaumu wengine bila kujiuliza binafsi kama sisi watanzania tunachapa kazi kwa bidii, tunaweka akiba na kuwekeza. Marekani na NCHI NYINGINE ZILIZOPIGA HATUA KUBWA ZA KIUCHUMI HAZIKUJENGWA na watu kila kukicha wanatafuta mchawi wa kulaumu. Hao CCM unaolaumu ni wananchi wengi wa kawaida ambao ni maskini na hawana uwezo. Ndugu zetu wa Kenya, Uganda na Rwanda wanatujua sisi watanzania kuwa ni watu wa maneno matamu na tusiopenda kufanya kazi. Bila kila mmoja wetu kufanya kazi kwa bidii, kujisomea kwa bidii, kulipa kodi, kuhakikisha kodi zinatumika katika kuwekeza katika elimu, uwezeshji na miundo mbinu, kupunguza kupiga soga, kupunguza kulaumu nchi yetu haitaendelea na kulaumu. Mchawi wetu ni tabia zetu sisi watanzania. Sisi ni wavivu na wepesi wa kulaumu wengine. Kwa sasa tutalaumu CCM, lakini yeyote atakayepata nafasi ya kuongoza Tanzania tutamlaumu tuu.

Wote tunajua kuwa nchi yetu inahitaji uwekezaji ili ipate mitaji ya kujenga nafasi za ajra na KIUCHUMI. Lakini Watanzania tunajulikana kwa kulaumu na kuwalaani wawekezaji.

Ndugu, kigezo ulichotumia kufikia conclusion 'the president is the best president' hujakisema. Unamlinganisha na nani? Au best kwenye kitu gani?

Je raisi ambaye ameshindwa au hajataka kuwashawishi watu wake waache tabia ya uvivu ndie the best? Si jukumu la kiongozi kuwasensitize watu wake wafanye kazi kwa bidii? Unakumbuka msaragambo enzi za Nyerere? Mchakamchaka?

Unazungumzia kuhakikisha kodi zipelekwe kwenye elimu, nani anatakiwa kusimamia hilo? Ni jukumu la wananchi? Raisi anayepewa majina ya wanaokwepa kodi halafu anatangaza amepewa majina hayo then anasema atampa Kamishna Mkuu wa TRA achukue hatua unamuelewaje!! Ni heshima ipi anatakiwa apewe? Aheshimiwe kwa sababu amepokea majina au kwa kushindwa kuchukua hatua? Inawezekana anataka Kamishna ndie achukue hatua lakini hatua zimechukuliwa? Kwa nini asimchukulie hatua Kamishna kwa kushindwa kazi mpaka yeye raisi anamfanyia kazi?

Imesemwa, heshima haiombwi! Huja yenyewe kutokana na mtoaji anavyokuchukulia na matendo yako!
 
KAMUDU

Nakubaliana na wewe kuwa Rais tuliye naye IS THE BEST PRESIDENT na ana mapenzi ya dhati kuhusu maslahi na ustawi wa nchi yetu na sio vizuri kumlaumu ilhali wa kulaumu ni sisi wenyewe. Kwa bahati mbaya watanzania tunajulikana kwa ufundi wa kulaumu na kutopenda kufanya kazi. Wengine hata wanauliza UHALALI wa RAis kama vile wao ndio kipimo cha uhalali. Sisi tulio na kumbu kumbu tunakumbuka kuwa hata Baba wa Taifa walikuwa wakimlaumu sana ingaWA SASA utawasikia wakimsifia (someni maandiko yao, yanawasuta).

Watanzania ni wepesi kwa kulaumu wengine bila kujiuliza binafsi kama sisi watanzania tunachapa kazi kwa bidii, tunaweka akiba na kuwekeza. Marekani na NCHI NYINGINE ZILIZOPIGA HATUA KUBWA ZA KIUCHUMI HAZIKUJENGWA na watu kila kukicha wanatafuta mchawi wa kulaumu. Hao CCM unaolaumu ni wananchi wengi wa kawaida ambao ni maskini na hawana uwezo. Ndugu zetu wa Kenya, Uganda na Rwanda wanatujua sisi watanzania kuwa ni watu wa maneno matamu na tusiopenda kufanya kazi. Bila kila mmoja wetu kufanya kazi kwa bidii, kujisomea kwa bidii, kulipa kodi, kuhakikisha kodi zinatumika katika kuwekeza katika elimu, uwezeshji na miundo mbinu, kupunguza kupiga soga, kupunguza kulaumu nchi yetu haitaendelea na kulaumu. Mchawi wetu ni tabia zetu sisi watanzania. Sisi ni wavivu na wepesi wa kulaumu wengine. Kwa sasa tutalaumu CCM, lakini yeyote atakayepata nafasi ya kuongoza Tanzania tutamlaumu tuu.

Wote tunajua kuwa nchi yetu inahitaji uwekezaji ili ipate mitaji ya kujenga nafasi za ajra na KIUCHUMI. Lakini Watanzania tunajulikana kwa kulaumu na kuwalaani wawekezaji.

Umekosa jalala la kutupa uchafu huo!!
 
watake radhi watanzania, miaka yote watanzania tumekuwa ni wachapa kazi bora, miaka yote tulipokuwa tunaongozwa na viongozi wenye dira na wenye kutaka kuleta mabadilio ya kimaisha kwa watanzania watanzania tuliitikia miito ya viongozi wetu kufanya kazi kwa bidii, maisha yetu yalikuwa bora, hivi sasa CCM imekosa dira na ndiyo chanzo cha matatizo yote yanayowakabili watanzania, RUSHWA iliyokithiri ndani ya watendaji wa serikali ndiyo chanzo cha yote, Rushwa imechangia kuua sekta ya viwanda na kilimo, sasa hao watanzania unaowaita wavivu wakafanye kazi wapi? Tueleze ni mwekezaji aliyeopo hivi sasa ambaye yupo kwa maslahi ya watanzania?
 
sawasawa
 
Back
Top Bottom