Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
Kwani mkwele tusi!
Unajua ukichukia kuitwa jina fulani lazima kuna walakini be proud kuitwaa kwa kabila lako ni sehemu ya utani
kweli mkuu
tunao kina mgosi, mmachinga, mzaramo, n.k lakini hiyo ni sehemu ya kudumisha utaifa tu