Tumpe Rais Kikwete heshima yake

POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??
 
Nakubaliana na wewe kuwa sio busara ku associate kabila la mtu na maovu yake lakini in extreme cases watu waliochoka na kuwa frustrated na hali fulani hufikia kumuunganisha mtu na kabila lake. Hii ni dalili ya watu waliojaa hasira. Pia nikuambie kuwa unapokuwa kiongozi wewe ni taswira ya jamii yako maana ndiko ulikokulia na kulelewa kwa hiyo matendo yako yanawakilisha matendo ya jamii uliyotoka. Ni mara chache sana tabia ya mtu haiwakilishi tabia ya jamii anayotoka. Mfano kwa upana sana Mtanzania aliyeko UN anawakilisha tabia za watanzania wote, akiwa mla rushwa ujue ametoka kwenye jamii ambayo Rushwa ni kitu cha kawaida.

Nikupe mfano mwingine mdogo: Warombo walimwambia Mramba kuwa yeye ameenda kuwadhalilisha kuwa wao ni wezi na wala rushwa wakati sio kweli, kwa kujihusisha na vitendo vya kifisadi though hukumu bado. Kwa hiyo utaona namna tabia ya mtu inavyobeba taswira ya jamii yake.
 
Kikwete mwenyewe ndiye aliyesababisha yote hayo mara kuna watu wanapandikiza udini mara ukabila wananchi tunataka watu makini na wenye uchungu na nchi hii na si watu wenye uchu na masilahi binafsi
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??

Hapana mkuu hii si sahihi kuwaita wana jamvi ni wakabila, nakuomba upitie baadhi ya hotuba za huyo JMK utaona anaji-refer yeye mwenyewe kama ni 'Mkwere' na hii ndio imesababisha kuitwa hivyo hapa Jamvini.
 
Hapa JF kubeza dini na makabila limekuwa jambo la kawaida!
 
Hivi kuna tatizo gani kwa Kikwete kuwa mkwere? Na hakuna anayempinga wala kumtukuza kutokana na ukwere wake bali kutokana na uwezo wake w kuongoza nchi. Utakumbuka hata kauli za Mwalimu, ...Rais lazima atokee kabila fulani na dini fulani. Siyo kabila lake wala dini yake vitkavyotumika kuongoza nchi. Hivyo Kikwete anabaki ni mkwere, tena muislamu. Tunachotaka nchi iongozwe kidemokrasia.
 
Mi sijaona alipokashifiwa pahali 'Dr.Mkwere' based on his kabila ..

i concour with u Abdulahim....... mi nafikiri watu wanamuita mkwere sio kwa sababu wanataka kukashifu kabila ni swala la jokes tu mbona mrema anaitwa mzee wa kiraracha. na pinda mtoto wa mkulima ww mtoa hoja ndio unataka kuingiwa ukabila humu, anapokuwa reffered as mkwere hatumsemi kwa kabila lake ila kwa mudu yake... acha kuleta hoja dhaifu we shaycas.... kumbuka its better u keep u r mouth zipped and let ppl have a doubt if u r a fool rather than open up and talk just remove all doubt that you truly a fool
 
mbona kuitwa mkwere ni poa tu, hata mimi wananiita mnyalu mbona sijinyongi, mwalimu walimuita mchonga(siyo kabila)
 
Hivi kuna tatizo gani kwa Kikwete kuwa mkwere? Na hakuna anayempinga wala kumtukuza kutokana na ukwere wake bali kutokana na uwezo wake w kuongoza nchi. Utakumbuka hata kauli za Mwalimu, ...Rais lazima atokee kabila fulani na dini fulani. Siyo kabila lake wala dini yake vitkavyotumika kuongoza nchi. Hivyo Kikwete anabaki ni mkwere, tena muislamu. Tunachotaka nchi iongozwe kidemokrasia.

upo sahihi,lakini kutoa kauli kama 'Mkwere nchi imemshinda, unafikiri ni sawa kwa ustawi wa nchi? Kwanini tusiseme tu kwamba Kikwete ameshindwa kuongoza nchi na badala yake anatakiwa afanye 1,2,3 nk?
 
Mimi huwa so proud kuitwa kwa kabila langu.
Kwani Ukwere una tatizo gani?
Abadilishe kabila basi.
 
i concour with u Abdulahim....... mi nafikiri watu wanamuita mkwere sio kwa sababu wanataka kukashifu kabila ni swala la jokes tu mbona mrema anaitwa mzee wa kiraracha. na pinda mtoto wa mkulima ww mtoa hoja ndio unataka kuingiwa ukabila humu, anapokuwa reffered as mkwere hatumsemi kwa kabila lake ila kwa mudu yake... acha kuleta hoja dhaifu we shaycas.... kumbuka its better u keep u r mouth zipped and let ppl have a doubt if u r a fool rather than open up and talk just remove all doubt that you truly a fool

kama una refer mkwere in regard of wrong things he has done, don't you see that you're associating the matter with a tribe which is not part of the evels done by kikwete? What will be the impact if that tribe react.
 
Wewe mbona umekaa kiubishiubishi hivyo? Hivi huelewi kuwa katika kiswahili "mkwere" ni tofauti na "wakwere"? Kwanini unalazimisha tuingie katika akili zako wakati hoja iko wazi kuwa Jakaya ni Mkwere na si wakwere.
If wakwere are going to react we'll consider them as "innocent fools"
 
Kwani mkwele tusi!
Unajua ukichukia kuitwa jina fulani lazima kuna walakini be proud kuitwaa kwa kabila lako ni sehemu ya utani
 
Shy kwani we ni mkwere? Tulia basi!
Mi silitumii hilo jina. Lakini kama umefuatilia kuna sehemu wanamwita Masele. Connect two dots, Masele and Mkwere upate jibu. AFAICS, haihusiani na kabila lake!
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??
Asante lakini hilo halitaondoa yeye kuwa mkwere,
mtu wenye dini kweli kweli huwezi kumtambua kwa macho maana dini ni mahusiano ya mtu na Mungu
hasa kwa kuwa dini siyo mavazi ama sigida, ama kutokula nguruwe na kula ngamia, ama kutokuwa mzinzi na kuwa
mfiraji, ama kutokuwa mlawiti na kuwa mbakaji, ama kutofuga nguruwe na kufuga majini,
 
Back
Top Bottom