Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

Dudu ametutoka! Daah nakumbuka alichotufanya tulipogoma kutokana na chakula kibovu.
Je kwa sasa unajutiaje mgomo huo?? Maana hakuna kitu kinarudisha nyuma maendeleo ya mtu kama kugoma kufanya kazi au kusoma. Consequences zake huwa zinajitokeza baadaye na huwa ziko kwenye negative side daima. Kila mtu usema ningejua...
Wewe unaitwa nani kiukweli ukweli mwana wa Ipamba najua unamfahama Mwl. Mngunya
 
Shule yetu tosaaah! Magangaaa,,,shule yapendeza iko kilimani, mandhari iliyobora kuendeleza taaluma,kwa wetu umoja na mshikamano, tutaendeleza nidhamu michezo kilimo KIITIKIO SASA wito wetu elimu hazina kweli tujielemishe,tuweze kuushinda umaskini ujinga nayo maradhi.
 
Back
Top Bottom