Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,428
1,475
IMG_4209.jpg

IMG_4213.jpg

IMG_4212.jpg

IMG_4211.jpg

IMG_4210.jpg

Leo nikiwa katika mihangaiko yangu nilienda Muhimbili kumuona ndugu yangu mmoja amelazwa pale sewahaji na nilipotoka nikaamua kutembea kuona chama langu la AZANIA SEC SCHOOL (nilimaliza hapo o level mwaka 2002 ) .kwa kweli nimeamini dunia inatutupa mkono mno mnoo.

Mazingira yamechange mno na hizo ni baadhi ya picha nilizobahatika kupiga kwa kuwa sikuwa na chaji ya kutosha katika simu nimekumbuka viiingi na mengi na nikapata furaha na huzuni kwa wakat mmoja(wana saikolojia hili wanalielewa) nimewakuta madogo wa form 5 wanajisomea wengi wakat namaliza wanasema walikuwa hawajazaliwa.

Kimsingi mambo mengi yamebadilika hasa lile boda la kwenda fire kupitia njia ya ndani ya shule ya sekondary jangwani wamelifungia siku hizi wakat sisi tulikuwa tunapita free tu kama kuna wana Azania wenzangu humu tujuane na tukumbushane vituko vya walimu kama Kwayu, Mchwa mpaka, vipanga wa enzi hizo kina Wenzi,

Pia nimewakumbuka sana marafiki zangu kama kina Onesphory, Victor Koroso, Chimpa, Mayagi, Deo, Isack, Shomary na wengine weeengi, lama kuna wadau wa Azania waliomaliza miaka kuanzia 2000- 2002 pls tushee kumbukumbu zozote za shule yetu ikibidi kufanya get together party moja tukutane hapo hata tupige stor mbili tatu na hata kuchangia chochote tutakachojaaliwa ili kusaport chama letu la Azania maana wengi limetutoa sana saaanaa.

NB: Kama wewe hukusoma Azania pia unakaribishwa kuchangia lolote hata la shulen kwako kunogesha sired hii asante wadau 🥲
 
View attachment 2871693
View attachment 2871694
View attachment 2871695
View attachment 2871696
View attachment 2871697

Nyumbani hapo.
Azaboys Tujuane ☝️☝️
 
Mimi nilimaliza hapo 2003. Kweli mchwa mpaka alikuwa hatari sana, lakini nasikia alishaaga dunia
 
Enzi hizo Aza boys
Bange nilijifunzia hapo kuvuta
 
Mkuu ungeingia kwa ndani utuwekee hata picha za fish pond na uwanja wa assembly pale kwenye bendera na ofisi za administration, na kule dormitory pia ungetupia kidogo.
 
🤣🤣😂🤣 Nakumbuka mwaka 1983 nikiwa kambi ya JKT Mgulani baada ya kuhamishwa kutoka JKT Mlale, ma Servicemen tulijipangia utaratibu wa kutoroka kwa zamu kila mwisho wa wiki SM wawili siku ya ijumaa kujongomea na kuhakikisha Jumapili usiku waliotoroka wawe wamerudi bwenini kabla ya saa tatu usiku.
Mabweni wakati huo yalikuwa upande wa barabara ya Kilwa na tundu la kutokea lilikuwa kati ya Mgulani JKT na Jeshi la wokovu. Zamu yangu ilipofika ijumaa jioni nilit...imba tundu na kutokomea mtaani kusikojulikana!!! 😂 😆 Ujana bwana, maji ya Moto sana.
 
Back
Top Bottom