Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
Wale wa Shule ya Sekondari Tosamaganga mpo? Tukumbushane mambo ya idete, msiwasi na zoo.

Enzi za Marehemu Mpogole "DUDU"

attachment.php
M
attachment.php

Madella Annex

attachment.php

Mabweni Ya Azimio na Mwenge

attachment.php

Madarasa ya Form V PCB na PCM

attachment.php

Madarasa ya Form 6 EGM na CBG

attachment.php

Uwanja wa Basketi picha hii imepigwa kwa juu kule Mandella Annex
 
ibanawano, ipamba, junction, half mile, kwa maaspirant doh we acha kabisa. nilikua PCB 94-96. ulanzi huku pembeni mabanzi, mchana top layer. contra akikukamata si mchezo duh baridi sana
 
Half mile, kufagia, kumwagia maua maji,ukaguzi wa usafi, zamu ya kubeba chakula na kuosha vyombo, old mandela balaa tupuuuuuuuuuuuu.
 
Tupo baba!Nani anamkumbuka dada rehema aka mama mingoi!nani alishapanga foleni kupata huduma?teh teh teh...!by the way nilimuacha ana watoto wawili sasa kama kuna muhusika akawafuate!Nilikuwa Mwenge namba 44 aka KANDA YA ZIWA
 
nilikuwa mandela 88. mnamkumbuka mwalimu mlevi wa biology Mrisho,mzee mwenyewe wa GS Rambau
 
kitwilu, mseke, mnazi mmoja njiapanda tosa yaani wakuu hapo umetoka zoo, unawahi mabanzi kwa masista, halafu hujafua na ni alhamisi jioni, asubuhi ijumma unapekuliwa na adhubu yake ni paredi. hakuna kitu ilikuwa inani boa kama kukeri.
 
tupo wazee wa longi tosa. enzi za "hoofing" kuelekea town.
enzi za mpogole (rip). nakumbuka duka la masista na mitumba
na design ya kuweka mzigo "pending" lol. ah! acha tu,
 
wale wa tosamaganga mpo, mambo ya idete, msiwasi na zoo
tupo mwana...nawakumbuka sana contra,sanga ASK aka 'so please!!!!' mkulu Mbanga na mkwara kuzuia kutumia mawe kuchambia kule HALF MILE,mheshimiwa Msalilwa wa malezi,sista mdalingwa na ugulumu teh teh....idete kwa MAPERA,kwa masista kupata MABANZI,lyalamo kuangalia vibinti......duh thoz dayz,nazikumbuka sana nilikuwa o'level '93-'96
 
Enzi zetu hakukuwa na kitu kinaitwa "MAPERA"ziliitwa ATOM na ilikuwa ni kosa la jinai kuleta Atom bwenini unazichuma na kuzilia hukohuko Idete.

Jamaa yangu mmoja siku hizi ni Kanali wa jeshi tulikuwa tukienda pale Msiwasi kuiba Miwa Usiku wa manane.

Tuliwahi kuchimba Karanga zote za Shamba la Mwalimu MSangi wa Chemistry O Level Usiku kwa usiku tukiwa na jopo zima la Alikiona au Songea Boys.

Mwizi wa kuku za Marehemu Mpogole enzi zile, siku hizi ni Sajenti wa Polisi anayeogopwa sana na vibaka Du!
 
ni kweli tuliita ATOM, watu walikuwa wanagundua kuwa umetembelea idete wakiona unatumia muda mrefu kutoka HALF MILE...
 
kaka tupo sijui nyinyi wenzangu mlipita pale miaka ipi ila mm nilipita pale from 03-05 nayakumbuka mambo mengi sana pale nikianzia na life la shule without maticha through out the yr....mambo ya kwenda kutega ipamba kwa manesi,kagrielo sekondari,zoo,ruaha na shule zingine kibao za itown.....la mwisho ambalo sitaweza kusahau ni mama mingoiiiii
ni hayo tu!
 
Enzi za Marehemu Mpogole "DUDU"

attachment.php
M
attachment.php

Madella Annex

attachment.php

Mabweni Ya Azimio na Mwenge

attachment.php

Madarasa ya Form V PCB na PCM

attachment.php

Madarasa ya Form 6 EGM na CBG

attachment.php

Uwanja wa Basketi picha hii imepigwa kwa juu kule Mandella Annex
 
Attachments

  • Tosa.jpg
    Tosa.jpg
    78 KB · Views: 3,388
  • TOSA2.jpg
    TOSA2.jpg
    79.2 KB · Views: 3,532
  • TOSA3.jpg
    TOSA3.jpg
    26.6 KB · Views: 3,346
  • Tosa4.jpg
    Tosa4.jpg
    24.3 KB · Views: 3,486
  • Tosa5.jpg
    Tosa5.jpg
    30.8 KB · Views: 3,495
  • Tosa6.jpg
    Tosa6.jpg
    120.5 KB · Views: 3,444
Tosa bana miaka ile ya 90 nawavulia kofia hawa jamaa, nakumbuka umiseta mlikuwa mnapiga boli hakuna hasa mkikutana na highlands dahhh eeh kuna huyo jamaa miaka ile wakimuita MARADONA alikuwa sooo, alitupiga bao nikiwa Ruaha Sec O level wakati ule halafu anawaambia poleni jamani hahahahha Tosaaa walitukanyaga mbao nne si mchezo
 
Vitu vya Wagalitia huwa ni Makini sana.
Yaani serikali isingetaifisha Shule hizi wangekuwa mbali zaidi.
Mnaweza kuweka na Madrasa zilizotaifishwa tuzijue?
 
Back
Top Bottom