Tukumbushane stori za mateja

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
Teja1. (hapa yuko kariokoo anamuuliza mwenzie walipo) E-mwanae tuko wapi hapa kichaa?
Teja2. Tuko Jamaica hapa kwenye arobaini ya Bob.
Teja1. Sasa mbona naona msitu mnene tu kachaa!
Teja2. Ndo nyumbani kwake tudumbukie chaka lolote mkuu.
Endelea kama unajua story za teja za kusisimua................
 
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?
 
sio kila kitu lazima uchangie, kwanza hujui hili ni jukwaa gani unabwatuka tu bila mpango. Kwa taarifa yako mateja ni ndugu zetu na hawako bongo tu! Maisha ni mchanganyiko wa kila alichokiumba mungu. Watu kama ninyi wenye dharau ndo inabidi mdhalauriwe. Mnapinga ukameron huku mna mashoga nchini. Mmepiga hatua kiasi gani kuliko hao wanaotambua mashoga? Ni mfano tu. Kwa hio usidandie wazo langu ukajiona mjanja kumbe umesahau hata ndugu zako wengine huwajui. Watz bwana! Badala ajadili hoja anakimbilia kujionesha yeye ndo mjanja zaidi ya mtoa hoja.
 
NIMEANZA KUPATA WASIWASI, KUMBE MWANAHARAKATI WA HAKI ZA MASHOGA NA MATEJA! UUUUU! Shame on u.
 
Huyu aanzishiwe jukwaa la mateja....

umeona eeh! Eti huyu naye ni great thinker, yaani ashaniharibia siku na uzi wake huu wa kipuuzi. Kwa mara ya kwanza JF imeniboa. Hlf huyu Jakubumba namfahamu kama vp nianike data zake hapa.
 
watu wengine bwana!!!!!!!!!!!! umbeya tupu, hata mtu apost ujinga anajibu tu badala ya kukaa kimya, hebu anika hizo data unazificha za nini? nimekuruhusu ziweke hapa. Yani unashindwa hata kutofautisha majukwaa! kabla hujaita post ya mwenzao ya kipuuzi ujue hata unayoyaandiika pia ni ya kipuuzi.
 
Achana na mimi bana we vp? Mods plz ingilieni kati hili swala ama kwa kumpiga bann huyu jamaa au kuufuta huu uzi kabla haujagombanisha watu. Nasikia USA wametenga hela hela nyingi kutetea hili suala isijekuwa zimeshaingizwa tz tayari.
 
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?

we vp?umepotea jukwaa wewe!huku co kwako fungua jukwa la siasa
 
Yani bora hata wewe umwambie labda atasikia, hili jukwaa la utani @ wa kusoma! mbona unakuwa mshamba sana ndugu? sijui jike au dume? hata hujasoma jukwaa unakimbilia kuonesha ujinga wako, watu kama wewe wapo wengi sana wanaotaka kuonekana wanajua sana kumbe hawajui! yani wewe hujui kitu ila unalazimisha kujua. Hili jukwaa la utani si la siasa so post yangu ni ya utani. Peleka siasa zako kule kwenye jukwaa la siasa! mara ooh namfahamu nimwanike hapa.......aibu kweli! ngoja nijilalie mie.
 
Bora ujilalie kweli, sasa hivi maana huna kazi ya kufanya. Mkuu usichukie huu nao ni moja ya utani lazima nikupe changamoto.
 
sio kila kitu lazima uchangie, kwanza hujui hili ni jukwaa gani unabwatuka tu bila mpango. Kwa taarifa yako mateja ni ndugu zetu na hawako bongo tu! Maisha ni mchanganyiko wa kila alichokiumba mungu. Watu kama ninyi wenye dharau ndo inabidi mdhalauriwe. Mnapinga ukameron huku mna mashoga nchini. Mmepiga hatua kiasi gani kuliko hao wanaotambua mashoga? Ni mfano tu. Kwa hio usidandie wazo langu ukajiona mjanja kumbe umesahau hata ndugu zako wengine huwajui. Watz bwana! Badala ajadili hoja anakimbilia kujionesha yeye ndo mjanja zaidi ya mtoa hoja.
Mmmh! We wa tanga au mombasa. Ni pm nikupe dudu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom