Tukumbushane stori za mateja

Yani bora hata wewe umwambie labda atasikia, hili jukwaa la utani @ wa kusoma! mbona unakuwa mshamba sana ndugu? sijui jike au dume? hata hujasoma jukwaa unakimbilia kuonesha ujinga wako, watu kama wewe wapo wengi sana wanaotaka kuonekana wanajua sana kumbe hawajui! yani wewe hujui kitu ila unalazimisha kujua. Hili jukwaa la utani si la siasa so post yangu ni ya utani. Peleka siasa zako kule kwenye jukwaa la siasa! mara ooh namfahamu nimwanike hapa.......aibu kweli! ngoja nijilalie mie.
hawa jamaa ni washamba sana wameniharibia siku yangu mapemaaaa mimi hli ndio jukwaa langu la kucheka sasa hawa jameingia jukwaa sio lao. Pelekeni siasa zenu huko mbali hapa jukwaa la utani na huu uzi hapa ndo mahala pake sasa mnataka aandike nn. Aaaagriii
 
kwenda zako wewe, siku yako iliharibika tangu mapema ulipoamka ukamkuta anayekudai mlangoni kwako hata kabla ya kunawa uso ukamwambia mama akamwambie ati haupo, lkn ujue jamaa kakusikia sasa sijui kama leo utaenta kijiweni au vp.
 
ha ha ha ha nilimwambia mwanangu amwambie mimi sipo eti kaenda kumwambia baba amesema nikwambie hayupo.
 
Hivi we wa kusoma Kama hulikuwa Huna cha kuchangia bora ungekaa kimya, watu tunataka tuskie stori za Mateja we unaleta siasa uchwara, Kama Huna cha maana si huanzishe thread yako mwenyewe kuliko kudandia za watu au ndio unatafuta umaarufu kijanja.
 
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?

We ndo chizi na unaweza kuwa kubwa la mateja. Mosi, tupo kwenye jukwaa la jokes, so ulitaka aandakaje? Pili, unajuaje labda yeye kazi zake anafanya nyt kali. Tatu, JF haizuii mtu kupost anytime akihitaji.

Nalog OFF
 
Imekuwa taaaaabu. JF IMEVAMIWA JAMANI. Shule zimefungwa.[/Q

make arepot abuse

Kulikuwa hakuna haja ya kutokwa na povu, kwa akili yako ya ki wakusoma unadhani alipaswa apost kitu gani hapa, akili yako ndogo sana na hiyo 'kusoma' unayojisififia nadhani ni aina nyingine ya kuadhimisha na kusifia upumbavu, kama huna story za mateja acha kuchangia na sio kushoboka kama unaingiliwa kinyume na matakwa yako :focus:
 
NINE, yule dogo alikuletea ule mzigo au ndo umepotezea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom