Tukumbushane: Nyimbo bora zenye majina ya kiume...II

Maverick

JF-Expert Member
May 29, 2008
308
11
Mwanakijiji ameanzisha mada ya kukumbushia nyimbo bora zenye majina ya kike. Ndani ya mada hii nimeweza kupata mashairi ya nyimbo nyingi za zamani zilikuwa zinavuma miaka ya 70, 80 na mwanzoni wa miaka ya 90.
Ili kuleta uwiano katika mada ya Mwanakijiji, nimeanzisha mada hii yenye kuangalia nyimbo bora zenye majina ya kiume.

Kwa kuanzia nimepitia maktaba yangu nikakutana na nyimbo zifuatazo zenye majina ya kiume.
  1. Masudi- Marijani Rajab na Dar International
  2. Athumani-Mzee Makassy
  3. Mume wangu Jerry- Mlimani Park

Wenye kujua nyimbo nyingine zenye majina ya kiume naomba mtujulishe. Naomba kuwasilisha.
 
-Kassim-Mlimani Park
-Ford-OSS
-Baba Jane-The Bantu Group
-Tupatupa-Msondo
-Fikiri-Mlimani Park
-Maprosoo-Jambo Survivors
-Amigo-Les Wanyika
-Ngapulila-Vijana Jazz
-Karubandika-Marquiz
-Mayanga-Marquiz
-Makumbele-Marquiz
-Nelson Mandela-Washrika Tanzania Stars
 
-Kassim-Mlimani Park
-Ford-OSS
-Baba Jane-The Bantu Group
-Tupatupa-Msondo
-Fikiri-Mlimani Park
-Maprosoo-Jambo Survivors
-Amigo-Les Wanyika
-Ngapulia-Vijana Jazz
-Karubandika-Marquiz
-Mayanga-Marquiz
-Makumbele-Marquiz
-Nelson Mandela-Washrika Tanzania Stars

Mkuu! Naikubali kumbukumbu yako!
 
Nimekumbuka wimbo wa "Rama". Sikumbuki bendi iliyoupiga wimbo huu. Una kibwagizo kifuatacho:
...Matatizo yatakaponizidia ...oh oh oh Rama... sintovumilia....x2
 
-Kassim-Mlimani Park
-Ford-OSS
-Baba Jane-The Bantu Group
-Tupatupa-Msondo
-Fikiri-Mlimani Park
-Maprosoo-Jambo Survivors
-Amigo-Les Wanyika
-Ngapulila-Vijana Jazz
-Karubandika-Marquiz
-Mayanga-Marquiz
-Makumbele-Marquiz
-Nelson Mandela-Washrika Tanzania Stars
akiingia kwenye baaaaaaaaaaaaaaa...kazi yake kuomba BIAAAAAAA
 
Naona nyimbo za majina ya kike ni nyingi kuliko zenye majina ya kiume..
 
Jogoo la shamba - Moro Jazz

Huu hauna jina specific lakini nadhani unamzungumzia mwanamme
 
-Kassim-Mlimani Park
-Ford-OSS
-Baba Jane-The Bantu Group
-Tupatupa-Msondo
-Fikiri-Mlimani Park
-Maprosoo-Jambo Survivors
-Amigo-Les Wanyika
-Ngapulila-Vijana Jazz
-Karubandika-Marquiz
-Mayanga-Marquiz
-Makumbele-Marquiz
-Nelson Mandela-Washrika Tanzania Stars

Huu sio wa mbali sana ,i guess late 90's kama si 2000's,si aliimba yule dada,nilipata bahati ya kukutana nae muda flani akasema alimtungia mdogo wake wa kike wimbo huu.(au nachanganya hapa embu nifahamishe Mkulu!)
 
....Baba Shani-Jerry Nashoni akiwa na Bima Lee "wana magnet tingisha"...
 
Yeah ndio huo huo...

Vipi unaweza kudondosha mistari miwili mitatu kutoka kwenye hifadhi yako?

Majirani oneni mateso haya,Majirani oneni mateso haya,tuwe wazi kama mama hanipendi,mjue wazi kama mama hanipendi..oooh nina tabu ndugu zangu,oooh nina tabu ndugu zangu,naomba baba ufanye haraka sana,nitatoroka

Baba mdogo ananitesa sana sana,Baba mdogo ananitesa sana sana,kama yeye si ndugu na baba yangu,anavyonitesa utafikiri mtoto wa kambo..baba na mama fanyeni mje mnichukue haraka

Baba mdogo ananitesa sana sana,Baba mdogo ananitesa sana sana,kama yeye si ndugu na baba yangu,anavyonitesa utafikiri mtoto wa kambo..baba na mama fanyeni mje mnichukue haraka

Ooo haraka(mje mnichuke haraka)...ooh haraka(mje mnichuke haraka),majirani oneni mateso haya(mje mnichukue haraka),muwe wazi kwa mama yangu(mje mnichukue haraka)..Baba na mama fanyeni hima ooh(mje mnichuke haraka)..Nateseka nateseka nateseka(mje mnichukue haraka)....mama mdogo ananitesa sana(mje mnichukue haraka)....utafikiri hakuzaliwa na mama yangu(mje mnichukue haraka)....Chakula kipo ananipa makombo(mje mnichukue haraka)..Chakula kipo ananipa kiporo(mje mnichukue haraka).....Kitanda kipo ananilaza chini(mje mnichukue haraka)....
 
.....Dkt. Kleruu-Mbaraka Mwinshehe....
.....Mpenzi Luta-Marquiz.........
 
Huu sio wa mbali sana ,i guess late 90's kama si 2000's,si aliimba yule dada,nilipata bahati ya kukutana nae muda flani akasema alimtungia mdogo wake wa kike wimbo huu.(au nachanganya hapa embu nifahamishe Mkulu!)

Yeah si wimbo wa siku nyingi sana..Ulitoka mwaka 1999..Uliimbwa na mdada aitwa Mlasi Feruzi akiwa na Jambo Survivors iliyokuwa chini yake Kinguti System...Sijui imefia wapi hii bendi
 
Back
Top Bottom