Tukinunua tumerogwa!

Du! nakukubali mwana kijiji, michango yako inatutia uchungu sana. siku watanzania wengi watakapo pata mwamko kwa mawazo ya watu kama m/kijiji nchi hii itanuka damu!! wacha watutese tutalipa tu!!
 
Nasubiri kusoma mawazo ya Zitto Kabwe kwenye hii article.

NOTE - hii thread iliandikwa march 2009.
 
Sasa kama tangu Machi hii habari inafahamika kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa? Kuna mtu mmoja aliyekata tamaa akasema,ni heri nchi iuzwe kila mtu agaiwe cha kwake ahamie anapokujua( ni wazo la kijinga na ni la waliokata tamaa lakini kwa jicho lingine inaonyesha ni jinsi gani watu walivyochoshwa).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom