Petu Hapa, mojawapo ya hotuba alizowahi kutoa Mkapa na binafsi niliikubali msingi wake ni ile ambayo naweza kuiita "Utanzania Wetu". Katika hotuba hii Mkapa alikuwa anazungumzia hicho kitu yaani "utanzania"; je katika ulimwengu wa leo "utanzania" una maana gani? Je tunaweza kusema kitu hiki ni cha "kitanzania" au kinyume na "utanzania" wetu?
Hoja yake ilikuwa tumepoteza hiyo shared value yetu iitwayo "Utanzania"...
...hakuna shared value wala utanzania hapo...ni wizi na rushwa tuu,bado siamini kama JK na wenzake bado wanahangaika na hawa mafia!
Petu Hapa, mojawapo ya hotuba alizowahi kutoa Mkapa na binafsi niliikubali msingi wake ni ile ambayo naweza kuiita "Utanzania Wetu". Katika hotuba hii Mkapa alikuwa anazungumzia hicho kitu yaani "utanzania"; je katika ulimwengu wa leo "utanzania" una maana gani? Je tunaweza kusema kitu hiki ni cha "kitanzania" au kinyume na "utanzania" wetu?
Hoja yake ilikuwa tumepoteza hiyo shared value yetu iitwayo "Utanzania"...
Serikali kushabikia kununua mitambo chakavu ya utapeli ni ajabu kweli kweli aibu tupu.Mkijiji, kazi nzuri sana, ila inaamsha machungu sana.. mwe Tanzania yangu..
hakuna kitu kibaya kama historical amnesia; Usipojua historia ya jambo waweza kujikuta unalirudia!
Mwanakijiji,
..we need to send messages to someone who has a leverage on our President's decisions.unfortunately there is no such person.
Asante sana Kidatu... of course yeye mazungumzo yake yako na Serikali. Tanesco wataambiwa tu cha kufanya lakini hili ni la serikali na nyuma yake ni JK mwenyewe. Msikose magazeti ya kesho kwa walioko Bongo kwani mengine yataenda mbele zaidi kwenye hili...