Tujuane ambao tukivurugwa na mapenzi bajeti ya pesa inavurugika , matumizi yanazidi na tabia zngine ikiwepo na kuvuta pisi mpya fasta.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Helllo,

Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha viwanja, natafuta demu kivyovyote vile na naonesha umwamba sana, nakula sana bia, nikitoka out naenda sehemu 3 tofauti.

Niko so fragile bila kuwa na demu permanent au stable mambo hayaendi kichwa hakikai sawa kabisa.

Karibuni kwa ushuhuda

Wadiz a.k.a Baharia
 
Pisi Kali za karne ya 21 si za kimchezo mchezo, ukijiendea kichwa kichwa kama nyumbu kwa upofu wa mapenzi lazima ule za utosi "umeme".
 
Back
Top Bottom