Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

Unania Mabasi ya zamani au Kampuni za Mabasi za zamani zilizofirisika Mkuu?Fafanua kiunagaubaga Mtu.

Kama unavyoona wakuu walivyo changia, ninamaanisha kampuni za mabasi mkuu
 

Attachments

  • leyland.jpg
    leyland.jpg
    19.3 KB · Views: 666
Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland.
Nakumbuka Njuweni, Masama Clif na Masama Safari, Yarabi Salama na Yarabi Toba,

Rekebisha swali uliza unataka kujua Kampuni za zamani za mabasi tz.
 
Songea-Dar kulikuwa na Kiswele, Turbo na Metro coach.
Mbeya-Dar Zainab, Scandinavia, Fresh ya Shamba, Lucky Star
Mby-Dom Urafiki
Tunduma-Dar kuna Masia na Sayuni
Mby-Swanga-Cold Mirinda, Tawaqal, Sumry
Njombe-Dar Widambe, Upete, Makete
Iringa-Makete kulikuwa na Mwafrika
Iringa-Mbeya Victoria
Ilembula-Dar, Chako ni Bora, Usimchezee Chatu
 
Rekebisha swali uliza unataka kujua Kampuni za zamani za mabasi tz.

dah? haya ni matatizo ya watanzania tulio wengi, hata tukiingia chumba cha mtihan.tunaanza kuangalia usahihi wa swali badala ya kujib. alichouliza kimeeleweka na ndio maana wadau wengi wamejib moja kwa moja!
 
Singida-Dar(Central Star,Golden coach, No Challenge,Air Shengena), Singida - Arusha(Sahibu, Bullet).. Iringa kuna chai maharage ilikuwa ikiitwa Nani kaona..Dom Ir via Mtera(King cross na Urafiki)
 
Sijaona aliyetaja Safina. Bazzu sitalisahau. Ila mlio wa Leyland ulikuwa unanimaliza hasa kwenye mlima

RELWE%5B1%5D.jpg
Hilo bus ni la kampuni ya RELWE. ukiona namba inasoma RAB..... jua hilo ni bus la Relwe
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ze big mayai,panga la shaba,siri yako,simba mtoto,kamata,kaudo,champion,chavai,mganga Mungu.kamjingijingi(sahib) hizo mambo za Domtown
 
kwa miaka ya 90 nakumbuka ligi ngumu ilikua tunduma dar,,, kulikua na masia, sayuni na hekima..., hizi bus zilikua zinaingia dar saa nane..., pake mnazi mmoja
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu EMT asante sana kwa hiyo picha. Hawa watoto wa DOT COM hawajui mlio wa Leyland au Fiat
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sijaona aliyetaja Safina. Bazzu sitalisahau. Ila mlio wa Leyland ulikuwa unanimaliza hasa kwenye mlima

RELWE%5B1%5D.jpg

ila sasa wewe ndo umemaliza mpaka
picha tufunge mjadala kama hadi za picha zimo!
af nimekuona unachungulia kwenye kioo na suti nzito kama gunia
 
Back
Top Bottom