Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland.
Nakumbuka Njuweni, Masama Clif na Masama Safari, Yarabi Salama na Yarabi Toba,[/QUOTE
star, ngorika, na harambee]
 
Kwa wanafunzi waliosoma Mbeya na kuishi Arusha au Moshi kulikuwa na bus moja lilipatizwa jina la border to border, nani analikumbuka jina?
 
NDEWEDO Kibosho -Moshi-Dar lilikuwa linamilikiwa na kijiji cha Singa Kibosho viongozi wa kijiji wakachakachua! Uuuwuii womi na waka
 
Tuache utani miaka ya 90 mabasi yalikuwa yanachomoka kama ndege. Nakumbuka nilikuwa nikitoka dar kyela nafika mida ya saaa kumi na moja siku hizi maybe saaa mbili na ajari hazikuwa Nyingi kama Hii leo. Nini chanzo CHA ajari
 
cku izi usku mmoja umegeuka suka
 
Na Ile basi ya dar- arusha iliyokuwa na ndege juu, Ilikuwa inaitwaje
 
Tuache utani miaka ya 90 mabasi yalikuwa yanachomoka kama ndege. Nakumbuka nilikuwa nikitoka dar kyela nafika mida ya saaa kumi na moja siku hizi maybe saaa mbili na ajari hazikuwa Nyingi kama Hii leo. Nini chanzo CHA ajari

Sababu ya ajali nyingi siku hizi kila mtu dereva, enzi hizo dereva alikuwa mtu makini, na kazi ya udereva iliheshimiwa na kutamaniwa na kila mtoto. Pia siku hizi viongozi wezi, watenda zambi Mungu anatulaani
 
Back
Top Bottom