Tujikumbushe ILBORU

Sasa nimeanza kuelewa "KATASA" kumbe Ilboru ilikuja pata basi?? Wow, mambo kumbe yalichangamka in the mid-late 90s and 2000s..... Unajua sisi wa late 80s and very early 90s tulikuwa na 110 moja ya Bluu flani lakini ilikuwa bomba sanaaaa.........

Long live Ilboru!!!! nakumbuka wimbo wa shule, "Shule yangu Ilboru inasifika sana....." huu nao ulibadilishwa au??

Duh, Ab-Tichaz, nimenyoosha mikono kaka.... Sisi tulikuwa wa Rungwe, Meru, Mawenzi na kidoooooogo, Oldonyo!!!!

Big up wakuu!!
 
katika watu walimu wote Kimasiya alikuwa kiboko,mzushi alikuwa akiingia class ananuka pombe utafikiri amelaa kwenye pipa la mbege, kuna mwalimu mmoja alifarika in the 90s alikuwa anafundisha geography naomba jina lake kama kuna mtu anamkumbuka

Mkuu Vassil, Kimasiha alikuwa a real human.... nakumbuka alikuwa akitukuta pale kwa Loning'o all he wanted was a bottle of nyagi mambo yanakuwa pouwa.... mwingine alikuwa mzee wa Offer, Mwl. Juma (RIP).... jamaa alikuwa apart from one of the best Chemistry Teachers I have ever met, alikuwa bonge la binadamu considered kwamba unamuelewa vizuri manake alikuwa ni mtu wa mabomu mbaya..... wale wa 80s and early 90s (naskia aliondoka Ilboru mid-90s) watambuka mzee wa msunguti "EE BWANA!!"
 
Jamani,

Sweet memories... Katara, hilo school bus kumbe bado lipo? Viva Ilboru and Viva Ilborians. Hiyo picha ya kwanza na ya pili kama vile zile siku za usafi??? Najaribu kukumbuka kwa mbali. Hawa jamaa walio mbele ya Katara wananikumbusha mbali sana, mmojawapo kama vile chalii angu Olais, but that was long time ago (96s). Ile picha nyingine iliyoonyesha Chapel inachomoza kwa mbali, inanikumbusha vipindi vya UKWATA kila jioni na ibada za Jumapili ambazo tulikuwa tunahudumiwa na a certain confused old man, at least we called him "Clergy".

Long live Ilboru



n1246250343_30239290_1020.jpg
 
Sasa nimeanza kuelewa "KATASA" kumbe Ilboru ilikuja pata basi?? Wow, mambo kumbe yalichangamka in the mid-late 90s and 2000s..... Unajua sisi wa late 80s and very early 90s tulikuwa na 110 moja ya Bluu flani lakini ilikuwa bomba sanaaaa.........

Long live Ilboru!!!! nakumbuka wimbo wa shule, "Shule yangu Ilboru inasifika sana....." huu nao ulibadilishwa au??

Duh, Ab-Tichaz, nimenyoosha mikono kaka.... Sisi tulikuwa wa Rungwe, Meru, Mawenzi na kidoooooogo, Oldonyo!!!!

Big up wakuu!!

Ya mwisho hii naenda kulala.

n1246250343_30239291_1457.jpg
 
Mkuu Ab asante kwa hizi picha (si wanasema picha inaongea maneno alfu? Hizi za kwako zimeongea zaidi ya alfu):)
Umenikumbusha pale kilimanjaro tulipomaliza pepa kuna mshikaji alifanya mazoezi ya kuingia chumbani, kabla ya kwenda kujidunga.
Mwalimu Mushi aka colloquial
 
Quote:
Originally Posted by Kilbark
Baghdad ni ile sehemu ambayo jamaa walikuwa wanakwenda kupata ganja na fegi kupunguza stress zao za masomo. Remember Mtui, Masaki , Medukenya, Kimasia,Machakura, Mama Mutabuzi, Boi, Quaressi,Lolo, Kweka, Chifu and Blanca and many more. Kwa madenti Carlos Mwaibula, Elisante Stanley, Jose James, Victor Maleko, Steven Alfred/ Ras. Rajabu Masale Kaka Zanda,Bandama,Omneni Laiser , Freddy Lowasa Olais Mwing'ori jamaa alikuwa vice prefect alikuwa mnoko sio mchezo. Kipindi hicho wasukuma walikuwa na magovi jamaa mmoja alikuwa na pesa akajitolea kuwatahiri. Namkumbusha mshikaji analikumbuka KATARA? Shule yangu Ilboru inasifika sana popote ninapoenda inasifika sana (Wimbo wa shule) Naishia hapa kwa leo...
Huyo jamaa kwenye bold best wangu sana! alinipokea nilipoingia pale form V, mara ya mwisho nilikutana nae Jersey City in late 90's.

Where is Steve was my classmate PCB
 
MTEGO= kideo cha Shule
KATARA= mtu ambaye alikuwa na kichwa kikali, anafananishwa na lile gari la shule la bluu
KWA MAMA BENII= kibanda ambacho baadhi ya member wanakula fegi
PICHI= uwanja wa mpira, kule kilimani karibu na Nyumba ya headmaster.
ILBORIASIS MSULIATA= scientific name ya mwana ilboru


Hii sijaikuta mbona?
Bonge la name Mkuu!
 
Dah eeebana we noma!! huo mlango wa kwanza hapo nyuma ya jamaa ktk hiyo picha ni room one ya Kilimanjaro.....niliishi humo mwaka mzima wakati nipo form VI!! Umenikumbusha mbali sana mazee....siku ya mwisho, tulichinja mbusi na washkaji kuiga room kwa nyama choma!!

Mkuu mbona hata mimi nimelala humo Room One!
Wewe mwaka gani kaka?
 
jamani naomba msaada-mimi nilikatiza kwa mzee binu kwenye 80s, nikumbusheni jina la ugali -msosi tuliokuwa tunakula kwa mabakuli yenye nembo ya T^G na vijiko !
Ila mikate ya bakery ya shule jamani ile ncha ya mwisho ilikuwa mitaaaaaamu mno
 
Abi Titchaz

Asante sana kwa picha ya Chapel, you have revived good memories in me.

Kuna mtu kamkumbuka Mr. Mushi,Qolloqual, the guy was funny! How I miss him, one of his favourite poems "If we must die...."
 
Abi Titchaz

Asante sana kwa picha ya Chapel, you have revived good memories in me.

Kuna mtu kamkumbuka Mr. Mushi,Qolloqual, the guy was funny! How I miss him, one of his favourite poems "If we must die...."

A note out of the good memories...is Mushi Qolloqual or Colloquial, just for the asking. Tulimwita KOLOKYO.......
 
Nyinyi watu wa Ilboru na Mzumbe hamna lolote nyinyi na wani zenu za kuona pepa,hahaha!
Ndiyo mana tukikutana varsity kimbiza sana!!
Mdau uliyemtaja Mkandawile umenikumbusha mbali sana.Itabidi Pugu Boys tuanzishe thread ya Pugu hapa,kuna mengi ya kukumbushana!
'Mijitu ya kazi Pugu boys,fungusboys,tandika sana watoto wa jangwani kwenye tution za Mkandawile!!!!
Wazee wa mama dagaa mpoo???
 
Huyo jamaa kwenye bold best wangu sana! alinipokea nilipoingia pale form V, mara ya mwisho nilikutana nae Jersey City in late 90's.
Kumbe kijana kipanga ile mbaya umeskul special skul tupu alafu ukasoma likombi gumu la PCB.
 
Roya Roy,

You are right, ni hiyo Colloquial ya kihivyo na wala sio kama nilivyosema. Samahani bwashee!
 
jamani naomba msaada-mimi nilikatiza kwa mzee binu kwenye 80s, nikumbusheni jina la ugali -msosi tuliokuwa tunakula kwa mabakuli yenye nembo ya T^G na vijiko !
Ila mikate ya bakery ya shule jamani ile ncha ya mwisho ilikuwa mitaaaaaamu mno

Edo, ule ugali ulikuwa unaitwa "CHUI"...... Ha ha haaaa........ Lakini angalie usipite mitaa ya Bino Rodi utakutana naye.... Mnakumbuka mambo ya Arusha by Night?? Cave Disco???
 
Du acheni Ilboru was something Else.
Baada ya 110 ya Bluu headmaster alikua anatembelea Nissan. Zililetwa mbili nakumbuka moja ikaenda ofisi ya mkuu wa mkoa na nyingine ikaja ilboru. Hizi ni enzi za Baba Kite akiwa mkuu wa shule.

Jamaa alikua na ushirikiano sana na nakumbuka aliwahi kuingia class akasema nataka mzumbe wawe namba 2 what do you say???

We sayed Nothing is Impossible since Impossible says "Im possible". So we give him our requirements and he fullfilled and we managed to Bit Mzumbe.

Sijacheki kama ile record imefikiwa ila it was so good.

Meet our fellow Graduates here
 
JAMANI MTANIFANYA NILIE MACHOZI YA FURAHA !


HIVI HAKUNA MTU ANAYEWEZA KU-ORGANISE OBZ GET _TOGETHER AND HAVE A REAL LAUGH AT THOSE DAYZ WILL NEVER HAVE AGAIN. WALE MABRO WA 80s

Mnamukumbuka MEDUKENYA,MANSELLA, COLLOQUIAL, MNZAVA KAPOMBE, BINO(H/M-MUSHI), NA MZEE AKWII!!!!, MAPAMBANO JEE (S/M)

CAMMON GUYZ THAT WAS A LIFE MEN. NILIWAHI SHIKWA MJINI BILA 'USUDA'-(UNIFORM). MZEE BINO ALINIPA ADHABU YA KUFAGIA TOKA OFISI KWAKE MPAKA GETINI KARIBU NA KWA MAREHEMU ADVOCATE-----(JINA LIMENITOKA)

MZC-611 (MZEE ZIDISHA CHUI _TUPO 611) NUMBER PLATE YA PEUGEOT JEUPE LAA MZEE MUSHI ( BINO)

KUDOS FOR THIS THREAD.

ITABIDI WALE WALIOPO UK TUWASILIANE TUKA BABE-Q
 
Back
Top Bottom