wenzetu wanakumbuka wazee wao na ndugu zao wanaoendeleza miji.....sio mimi kwetu singida kurudi mpaka baad ya miaka 5, then siendelezi kwetu hata kidogo kazi ni kuporomosha mijengo tu daslam hali wazee wanfu wapo nadani ya tembe...na mvua ikinyesha ni balaaa.....usafiri tabu wakati nimewekeza daladala dar.....zahanati hazina madawa wakati ni bingwa wa kuchangia madawa katika zahanati za dar ili niimbwe na baadhi ya bendi.....nawasaidia ada watoto wa rafiki yangu wakati binamu zangu kule iramba wanakosa ada elfu 40,000 "shame on me mahesabu" big up wachaga...big up ....nadhani nitajifunza kwenu....."munsamele antua aane....iyalalia sana...kukailike kate"
pole sana muntua,nzale ukienda kukaa? Longolaa wendi laa antua ako sika iza yashooo.