Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

wenzetu wanakumbuka wazee wao na ndugu zao wanaoendeleza miji.....sio mimi kwetu singida kurudi mpaka baad ya miaka 5, then siendelezi kwetu hata kidogo kazi ni kuporomosha mijengo tu daslam hali wazee wanfu wapo nadani ya tembe...na mvua ikinyesha ni balaaa.....usafiri tabu wakati nimewekeza daladala dar.....zahanati hazina madawa wakati ni bingwa wa kuchangia madawa katika zahanati za dar ili niimbwe na baadhi ya bendi.....nawasaidia ada watoto wa rafiki yangu wakati binamu zangu kule iramba wanakosa ada elfu 40,000 "shame on me mahesabu" big up wachaga...big up ....nadhani nitajifunza kwenu....."munsamele antua aane....iyalalia sana...kukailike kate"

pole sana muntua,nzale ukienda kukaa? Longolaa wendi laa antua ako sika iza yashooo.
 
can you repeat!!!!!!! nawapenda sana wakwe ila minority ndio wanaosaidia majority.....hawa jamaa (wachaga) wanapeana sana support.Je sisi tuliochakachuliwa na idadi kubwa ya makabila mfano mama mbondei mchanganyiko na mkwere,afu baba ni mchina feki machanganyiko na ,mndamba,tuitweje???????????????
 
wenzetu wanakumbuka wazee wao na ndugu zao wanaoendeleza miji.....sio mimi kwetu singida kurudi mpaka baad ya miaka 5, then siendelezi kwetu hata kidogo kazi ni kuporomosha mijengo tu daslam hali wazee wanfu wapo nadani ya tembe...na mvua ikinyesha ni balaaa.....usafiri tabu wakati nimewekeza daladala dar.....zahanati hazina madawa wakati ni bingwa wa kuchangia madawa katika zahanati za dar ili niimbwe na baadhi ya bendi.....nawasaidia ada watoto wa rafiki yangu wakati binamu zangu kule iramba wanakosa ada elfu 40,000 "SHAME ON ME MAHESABU" BIG UP WACHAGA...BIG UP ....NADHANI NITAJIFUNZA KWENU....."MUNSAMELE ANTUA AANE....IYALALIA SANA...KUKAILIKE KATE"

Songela zigi zigi mayo!
 
Wachaga wana mengi ya kuiga kwanza hilo la kijenga kwao kwanza pili kujali zaidi wazazi waliopo kijijini. Watu kipindi cha nyuma walikuwa wanawakebehi Wachaga wanapenda sana Mali ile syle ya kwenda kuoa unaulizwa una kabati ya mbio-friji,kabati ya fioo-tv, nyumba ya dari-ghorofa na pickup ya kubeba majani...haya sasa ukweli ni kwamba kila kabila wanatamani kupata hivyo vitu. Mchaga kijijini hawezi oa hajajenga maana akioa anaenda kwake...c cku hizi unaoa unaishi kwenu au kwa dada Ama kakayo.
Ni ukweli usiofichika pia Moshi ndo mji msafi Tanzania nalo pia la kuigwa toka kwa Wachaga


Duh umewachana live! waambie pia kuwa wahcaga ndio watu watanashati hapa mjini
 
Mimi hapa nahesabu siku... Tarehe 20 nimepanga ni siku ya kwenda kushinda gereji kwa ajili ya kufanya service ya nguvu tayari kwa kuchanja mbuga kueleke Moshi.

Kuna nafasi moja iko wazi kwa anayetaka lifti.
 
Mimi hapa nahesabu siku... Tarehe 20 nimepanga ni siku ya kwenda kushinda gereji kwa ajili ya kufanya service ya nguvu tayari kwa kuchanja mbuga kueleke Moshi.

Kuna nafasi moja iko wazi kwa anayetaka lifti.

Naomba lift SUWI
 
kweli home ni home/kwanza wengi wao wachamungu ndio maana wanadumu na mali walizopewa ma mungu suala la kutambikia sijawaiona japo wengi makabila tofauti wanaliongelea hilo
 
Pearl umenikumbusha jambo muhimu, tujifunze kuthamini vya kwetu na wa kwetu pia. Hapa Dar tofauti na Moshi, maduka makubwa ni ya wachaga na ndio wanunuzi wakubwa.
 
Fanyeni kazi acheni mawzo ya kijina, kwan nani haibi?? wa2 wanapiga hela mwaka mzima december wanaenda kwao kukutana na ndugu zao wengine walioko sehem tofsauti niny mnabaki kusema wanatambika!! kwanfano huu mkoa nilio watu wamezungukwa na rasilimali kibao lakini ni maskin kchzi.me nimekuja juzitu nshaanza kuzchanga.wanaziletatu.
 
Mimi hapa nahesabu siku... Tarehe 20 nimepanga ni siku ya kwenda kushinda gereji kwa ajili ya kufanya service ya nguvu tayari kwa kuchanja mbuga kueleke Moshi.

Kuna nafasi moja iko wazi kwa anayetaka lifti.

Naomba lifti....!!!
 
Kwa ushauri wangu, usijifunze toka kwa wachaga in general, utapotea!!!
Iga tabia ulizoona nzuri kutoka kwa watu unaokutana nao WEWE, achana na sifa na maneno ya magazeti, mengi ni uzushi tu.
Ila kama una mtu unayemjua jifunze kwa kumuuliza alianzia wapi, anafanyaje, ana sacrifice nini, uangalie kama kuna relationship na jinsi maisha yako yalivyo sasa.
Mfano,
-kwenda Kwao mwisho wa mwaka- je umeacha ndugu muhimu kwenu, kama hakuna sasa utaenda kufanya nini? wengine wamezaliwa mijini toka enzi na enzi.
Kuna mila fulani kwetu inayokataza mtu kuchinja bila kaka zake kuwapo, hii mwanzo ilikuwa ni kwa matambiko, ila kwa sasa naona wanataka kuhakikisha kila mtu anakuwapo, muda mzuri ni Xmas, hata kama huchinji kwa kuwa huna sababu mfano kupata mtoto, labda kipaimara au kupeleka mke au kumbukumbu ya harusi, basi lazima ufanye heshima yakwenda kwenye shughuli ya kaka zako.
In short ni kama lazima fulani hivi au uwe mbishi tu, au uwe na dharau kwa ndugu zako au uwe na sababu ya kazi au kipato. Wengine hawapendi ila wanalazimika kwa ajili ya kuheshimu ndugu zao tu.
 
Jamaa zangu wengi wachaga tulipomaliza chuo Mlimani walianza kujenga kwao na walipomaliza ndio wakaanza kujenga Dar. Wangi wetu tunasahau sana kwetu ila wakati wa msiba tukirudi tunaumbuka sana maana maisha ya kijijini kwetu Hayafanani na maisha yatu ya huku mjini. pia nilikuja kugundua kuwa siyo kweli ukioa uchagani lazima uwajengee wakwe nyumba ambapo hiyo nyumba inakuwa ni yenu ya kufikia mkienda kuwasalimia wakwe badala ya kufikia guest. Mwisho kabisa hawa jamaa wana mind sana pesa kukiko hata totos. I like them all!
 
Tukienda wote vijijini kwetu tukaiacha Dar kipindi cha Krisimas, wakwere na wazaramo watakula nini?
 
Wachaga wachaga, la muhimu tujifunze mazuri kutoka kawa kila mtu unayekutana naye kila siku za maisha yako
 
Nimefurahi sana kwa michngo yenu wachaga wanpaswa kuigwa kwa baadhi ya mambo ili tujikomboe!
 
Hilo ni la kujifunza pia maana wengi hatukumbuki kwetu
Jamaa zangu wengi wachaga tulipomaliza chuo Mlimani walianza kujenga kwao na walipomaliza ndio wakaanza kujenga Dar. Wangi wetu tunasahau sana kwetu ila wakati wa msiba tukirudi tunaumbuka sana maana maisha ya kijijini kwetu Hayafanani na maisha yatu ya huku mjini. pia nilikuja kugundua kuwa siyo kweli ukioa uchagani lazima uwajengee wakwe nyumba ambapo hiyo nyumba inakuwa ni yenu ya kufikia mkienda kuwasalimia wakwe badala ya kufikia guest. Mwisho kabisa hawa jamaa wana mind sana pesa kukiko hata totos. I like them all!
 
SAHIHISHO: Mji msafi zaidi Afrika.

Isaac,usafi wa mji wa moshi una wa cost wachagga,juzi kuna mgonjwa kazidiwa na kisha kutapika mjini on the way to KCMC akawekwa chini ya ulinzi na askari wa manispaa kisa eti kachafua mji,ilibidi ndugu zake walipe faini aweze kuachiwa...kazi...........kweli ..........kweli
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom