Zungu Pule
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 2,218
- 1,215
Mbona unamtetea sana? bila shaka wewe ni mtoto wake au ndugu yake wa karibu!
Ninavyojua mimi, hakuna kiongozi msafi bongo wote ni mafisadi na wana uchu wa kujilimbikizia mali!
Huyu gavana amekataa nyumba kwa sababu tu haina bwawa la kuogelea? Halafu siajabu wala kuogelea hajui, hiyo swiming pool nadhani ni moja ya mapambo kwake!
This is a good one. Most likely ndivyo ilivyo, hajui kuogelea. Labda watoto. Cha kusikitisha zaidi, hiyo nyumba atauziwa kwa bei che baada ya miaka michache. Akichaguliwa Gavana mwingine anaanza tena kujenga nyumba n.k. And the cycle goes on. At the end of the day, mzigo kwa mlipa kodi. Na hakuna mwenye afadhali. Blandina Nyoni alipoingia maliasili, alikataa kutumia samani alizozikuta ofisini. So, jamaa ilibidi wahangaike kununua samani mpya, pamoja na kubadili vigae, mapazia n.k. Walichoma not less than TZS 80 M na kipindi hicho Wizara ilikuwa na hali ngumu mno kifedha. Watumishi porini wanadai malimbikizo ya stahili zao bila mafanikio. Still, mtu ananunua samani za kiasi cha fedha ambazo ukipeleka porini watumishi wanapata matumaini. The entire system is rotten! Greedy...Dawa yao hawa ni kuanza kuchukua sheria mkononi. Maneno tu hayatasaidia. Tukishapoteza kama wawili au watatu, then watashtuka. They will then know that the wood is not safe anymore.