TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

Mbona unamtetea sana? bila shaka wewe ni mtoto wake au ndugu yake wa karibu!
Ninavyojua mimi, hakuna kiongozi msafi bongo wote ni mafisadi na wana uchu wa kujilimbikizia mali!
Huyu gavana amekataa nyumba kwa sababu tu haina bwawa la kuogelea? Halafu siajabu wala kuogelea hajui, hiyo swiming pool nadhani ni moja ya mapambo kwake!

This is a good one. Most likely ndivyo ilivyo, hajui kuogelea. Labda watoto. Cha kusikitisha zaidi, hiyo nyumba atauziwa kwa bei che baada ya miaka michache. Akichaguliwa Gavana mwingine anaanza tena kujenga nyumba n.k. And the cycle goes on. At the end of the day, mzigo kwa mlipa kodi. Na hakuna mwenye afadhali. Blandina Nyoni alipoingia maliasili, alikataa kutumia samani alizozikuta ofisini. So, jamaa ilibidi wahangaike kununua samani mpya, pamoja na kubadili vigae, mapazia n.k. Walichoma not less than TZS 80 M na kipindi hicho Wizara ilikuwa na hali ngumu mno kifedha. Watumishi porini wanadai malimbikizo ya stahili zao bila mafanikio. Still, mtu ananunua samani za kiasi cha fedha ambazo ukipeleka porini watumishi wanapata matumaini. The entire system is rotten! Greedy...Dawa yao hawa ni kuanza kuchukua sheria mkononi. Maneno tu hayatasaidia. Tukishapoteza kama wawili au watatu, then watashtuka. They will then know that the wood is not safe anymore.
 
Nilisema tangu mwanzo watu mnaongea tuu hamjui nini. Hayo ni magazeti.Kwanza kabisa nyumba hiyo ya Gavana ni mpya na hakuna ukarabati. hapo tayri gazetila mwamanchi linapotosha ukweli. Ukweli ni kwamba BOT imejenga nyumba mbili mpya moja ya Gavana na Naibbu gavana, na mpango huu ulikuwa tayari umeshakubaliwa before hata Gavana hajaingia hapo. Kumsema Gavana vibaya hapa na matusi nadhani si sahihi na lazima tufanye utafiti. Naona jamvini siku hizi watu hatusikilizi upande wa pili tunakurupuka na kuanza kutukana ambayo siyo sahihi. Kwa kuwa habari hii imetoka kwenye gazeti la mwananchi la kesho ambapo imetolewa kwenye mtandao, tusubiri wahusika wakiamkam watajibu mapigo kwa dataz, na hapo ndiyo tulijadili hili. Kuanza kushutumu watu bila dataz nadhani siyo sahihi ndiyo maana kuna wachangiaji wengine makini huku hawajathubutu kuchangia.
Pia nazidi kusimamia kuwa Gavana ni makini tena sana, na huyo anaeyesema alikuwa naibu enzi za Balali check your record. Yeye ameingia pale baada ya madudu ya EPA kufanyika sasa penye ukweli lazima tuseme na tusipende tuu kuwa washabiki. Kuna post zingine huku watu wanajibu kwa uwelewa mdogo. Tusubiri kesho na tutapata majibu ya BOT na naahidi kuyaweka hapa Jamvini. Tuache ushabiki na Hoja hujibiwa kwa Hoja.

Thu Jul 12, 2007 - JK appoints Ndulu, Mkila & Reli as deputy governors.
President, Jakaya Kikwete has appointed Professor Benno J. Ndulu as Deputy Governor of the Bank of Tanzania. Prof. Ndulu is among three Deputy Governors appointed by the President to head different departments of the Central Bank. Prof. Ndulu will be Deputy Governor responsible for Financial and Economic Policies of the Central Bank.

Before his appointment, Professor Ndulu was the Adviser to the Vice President, Africa Region, of the World Bank.

According to a statement issued by the Permanent Secretary in the Ministry of Finance in Dar es salaam on Tuesday, Mr. Gray Mgonja, the appointments became effective in June, 2007.
9 Januari, 2008 - Kikwete amtimua Balali. Hivyo kutoka June, 2007 hadi January, 2008 Prof. Ndulu alikuwa moja wa manaibu Gavana wa Benki Kuu chini ya Daudi Balali.
 
acheni uzushi, Gavana anastahili kuishi kwenye nyumba yenye hadhi. Swimming pool ni muhimu. Hadhi ya Gavana mkuu na ya mtumishi wa kawaida wa serikali kuna tofauti kubwa mno. Acheni kumponda Prof. Ndulu, he is a genius...

Huyu bwana acheni kumsifia angekuwa genius asingekuwa anatoa statement za hovyo hovyo kuwa uchumi wetu usingeathirika na global economic crisis; halafu anakuja na blah blah zake za economic stimulus!! Angekuwa genius tungekuwa na double digit inflation hivi leo? Huyu ni kama marehemu aliyemtangulia hawana tofauti na nadhani hivi sasa wanatengeneza EPA 2!!!! Anataka nyumba yenye swimming-pool, kwao huko Ifakara/ Mahenge kuna swimming pool?
 
kama ni kweli ufisadi huu basi naapa hatufiki popote, kila mtu ni mwizi na kila mtu anafikiria madili tu. haya ni mambo ya aibu kubwa sana katika jamii, hivi tuna taasisi kweli za kushughulikia haya mambo yasitokee manake hizi ni pesa zetu zinabebwa tu as if hazina mwenyewe?

Na kwa kuwa system yote ni corrupted, basi hakuna mtu wa kuogopa kuiba au kula rushwa sababu hatapelekwa kokote, Dr wa Tanesco yupo nani amguse? Hawa jama wa BOT wapo nani awaguse? hakuna idara ya usalama wa taifa, police, takukuru hata DPP. hivi vyombo havifanyi kazi inayotakiwa.

Mzee hosea endelea kuwahoji wabunge hiyo ndiyo perfomance yako kwa mwaka huu.

Ni rahisi sana kuongoza nchi ambayo haina utawala bora na corrupted kama yetu, nafikiri hata li system letu pia ni kimeo kikubwa lina mianya mingi mno ya rushwa, uzalendo nao ndiyo haupo kabisa.

Lah! safari inakuwa ndefu sana kiasi Inakatisha tamaa...
 
Benno Ndulu alisifiwa sana kwamba ni mtu mwadilifu na mtendaji aliyetukuka, but to every body's discouragement anaanza madudu...Kweli ngoma ikilia sana hupasuka!..Nina imani kazi hiyo imechukua nusu au chini yake, na salio lake limeingia mifukoni mwa wajanja!...God bless Tanzania..
 
9 Januari, 2008 - Kikwete amtimua Balali. Hivyo kutoka June, 2007 hadi January, 2008 Prof. Ndulu alikuwa moja wa manaibu Gavana wa Benki Kuu chini ya Daudi Balali.

Mkuu Mag3, with all due respect, Kikwete kweli alimtimua Balali? Sidhani kama kawahi kumtimua mtu!

Amandla......
 
tukae kimya tu tumechoka kusikia bila kuona wahusika wakichukuliwa hatua.............hapo juzi tu tumesikia skendo kama hiyo kwa dr idrissa rashidi kujenga mjengo wake kwa mabilioni ya watz masikini walipakodi lakini nae jk kauchuna tu anaendelea kujichote mabilioni kwa ajili ya maziara na wala hachukui hatua yoyoyte ha haaaaaa babu we mkome kabisa kuwafuatilia kama hamjui''CHUKUA CHAKO MAPEMA(CCM)'' mtajuuuuuuuuutaaaaaaaaa kujipendekeza kuwachagua...........................wajinga ndio waliwao kwa kweli sie ni wajinga na tunaliwa kweli.
 
..watanzania bwana kwa wivu wa kijinga, mtu katumia kabilioni kamoja kelele kibao!
 
Huyu bwana acheni kumsifia angekuwa genius asingekuwa anatoa statement za hovyo hovyo kuwa uchumi wetu usingeathirika na global economic crisis; halafu anakuja na blah blah zake za economic stimulus!! Angekuwa genius tungekuwa na double digit inflation hivi leo? Huyu ni kama marehemu aliyemtangulia hawana tofauti na nadhani hivi sasa wanatengeneza EPA 2!!!! Anataka nyumba yenye swimming-pool, kwao huko Ifakara/ Mahenge kuna swimming pool?
siku zote wajinga ndio waliwao..............wanapotoshwa kwa tumaneno tudogotudogo etu jiniasi.................................ndulo alifikia hata hatua kaifagilia kampuni feki ya upatu ya deci akingali anajua kuwa ni haramu sasa anajua nini huyo bwana..............hata hivyo hawezi kufanywa chochote kwani hata akina idrissa rashidi yule boss asiyeshikika wa tanesco anaskendo kama hiyo lakini ni mteule wa jk kama alivyo ndulo hivyo hawaguswi sisi tunapoteza muda tu na kuumiza vichwa...............
 
9 Januari, 2008 - Kikwete amtimua Balali. Hivyo kutoka June, 2007 hadi January, 2008 Prof. Ndulu alikuwa moja wa manaibu Gavana wa Benki Kuu chini ya Daudi Balali.
unategemea nini hap???????????????????????////
 
Eeh sa nani si fisadi? Hata huyu jamaa...
Hivi BOT kumbe ni kamrija ka wachache...
Tule tumikopo walitwopeana et kujenga ni usanii
1 Bn kwa 100ml wapi na wapi si ni fedha za mapambo ya ndani..
Guys be seriuos TZ kuna maskini wengi tupunguzieni angalau Inflation
 
Mkuu Mag3, with all due respect, Kikwete kweli alimtimua Balali? Sidhani kama kawahi kumtimua mtu!
Amandla......

You are dead right Mkuu, huo ujasiri hana ila asilimia 70% ya Watanzania wanaamini hivyo na vyombo vya habari viliandika hivyo. Angekuwa na ubavu watu kama Dr. Rashid au Dr. Hosea wangekuwa history (labda udokta ni kinga tosha !) Balali aliandika barua ya kujiuzulu na hilo likampa mkulu opportunity ya kutamba kuwa kamtimua - typical usanii !
 
Hakuna cha ajabu kwa utawla wetu wa sasa ambao ni product ya ufisadi. Ukipanda mchicha utavuna mchicha, tuliingiza utawala wa awamu ya nne kwa fedha ya kifisadi kwa kishindo kumbe tutegeme nini kama siyo ifisadi uliotukuka? Wa kulaumiwa ni wapiga kura wa bongo. Mpaka tutakapojifunza kuchagua viongozi waadilifu tutaendelea kuyaona haya
 
Hawa watu wanashangaza sana!! Eti nyumba haina swimming pool, eti nyumba siyo hadhi yake?? These guys wameizaliwa na kuishi kwenye nyumba za nyasi, kuongelea kwenye malambo halafu leo wanasema haya. Hivi nyumba aliyoishi sikuzote kama makamu gavana leo anatuambia haina hadhi yake, haya siyo matusi kwa wananchi kweli. Sasa kama anaikataa nyumba aliyoishi Gavana Balalli ambaye alikuwa even high profile person kuliko yeye proffessional wise sijui anataka kutuambia nini. Kwa hiyo kila gavana atakayefuta naye atafute nyumba na kuirenovate.

Si ametowa mikopo ya nyumba BOT, kwa nini asitumie hiyo mikopo kununua nyumba ya hadhi yake then tuone kama atatumia 1 billion kuikarabati.

Sasa leo anaposema nyumba siyo hadhi yake, sasa atakapoachia hiyo kazi then itabidi ashushe standards au atakuwa kesha karabati nyumba yake pia kwa gharama hiyo?? Shame on him!!!
 
What? yaani hujui kwamba BoT ni independent institution na final executive power ziko kwa gavana? do your homework!

Mwizi tu huyu hana tofauti na wale Profesa Uchwara!

#ACHENI MAJUNGU ...MLITAKA GAVANA AKAE MAZENSE....TUACHE USWAHILI..1 MILION DOLLOR NI JAMBO LA KAWAIDA ....NYUMBA YENYE SWIMMING POOL,JACCUZI...ETC ...MBONA MAXIMO MNAMLIPA 1.2 MILLION DOLLOR INCLUDING FRINGE BENEFITS KWA MWAKA NA HAMSEMI.......?...MWACHENI NDULU APIGE KAZI NA AFTERAL HIYO NYUMBA SI YAKE INABAKI KUWA YA WATANZANIA..SO WHAT PAINS YOU....NAPENDA KUWA FAIR...KWA HILI I DONT SEE THE POINT!!

MNAJUWA KAMA GAVANA HANA NYUMBA INAKUWAJE???

ANASTAHILI KUKAA HOTELI...5 STAR SUITE...NA ANASTAHILI 4 ROOMS EXTRA KWWENYE HOTELI HIYO FOR FAMILY NA ANOTHER SUIITE INCASE AKIPATA MGENI....ALL INCLUSIVE[KULA NA KUNYWA WANASIGN]

ASSUME SUITE @$ 300/DAY NA OTHER ROOMS @200[FOUR ROOMS 800/DAY]....ATASTAHILI KUTUMIA PAMOJA NA ENTERTAINMENTS UP TO @2,000 /DAY ....AKIKAaa MWAKA MZIMA NI $ 730,000 ZINATEKETEA ......YET WATANZANIA MNAONA KUTUMIA 1 MILLION DOLLOR KUJENGA NYUMBA YA KUDUMA YA SERIKALI YA GAVANA NI ISSUE...HAMJAANGALIA AMEOKOA KIASI GANI ??? AU MNASAHAU KUWA NYIE NDIO MLIOPIGA KELELE BALALI ALIPOKAA HOTELINI MIAKA 4 ........LETS BE SERIOUS JAMANI!!

NADHANI BOT WAMEFANYA VEMA KUNUNUA NYUMBA ZA WATENDAJI WAO ....NA SASA IDARA YA MAHAKAMA NAYO IIGE KWANI INAJULIKANA MAJAJI WAPYA WANATAFUNA BILLIONS OF SHILLINGS KWA MWAKA KWA KULIPIA BILI ZA HOTELI ....BAADA YA SERIKALI KUSHINDWA KUWAPA NYUMBA STAHILI[ZINGATIA STAHILI ..KILA WADHIFA UNA NYUMBA STAHILI]...NADHANI ....MAHAKAMA NAO WANGEWEZA KUWATUMIA SUMA JKT .....NA WAKAWAJENGEA MAJAJI WAO MAJUMBA YA MAANA ...ILI KUOKOA PESA ZINAZOTEKETEA.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom