Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,416
Warussian na wachina ni watu wajanja wajanja tuu, hakuna maana kukodi ndege ili ufanye biashara. UFISADIUpuuzi huu ulipelekwa Rwanda wao wakawatimua wale ma middle men sasa cha kujiuliza waliweza vipi kuja Bongo, na kupiga dili na watu kama akina mwakayembe wakakubali ?
its ufisadi tuu hamna cha zaidi.
In a way I feel like ATCL kama vile imekuwa cursed.