Tuhuma nzito za ufisadi dhidi ya Mwakyembe pale ATC

Status
Not open for further replies.
Nimepanda hii ndege inayotuhumia jana tu, from Dar to....! ukweli management ya ATC ime change sana, wapo very serious na biashara, wahudumu ni wazuri na wapo committed hasa, kabla ya uzi huu kubandikwa, kwasababu na mimi ni mTanzania nilifanya mahesabu yafuatayo:-

Trip moja from Dar to Mwanza ni Tsh 166,000/= kwa abiria anaenda one trip only, lakini kwa wale wanaokata go and return Mwanza to Dar ni Tsh 257,000/= well, let us just assume kwamba abiria wote ni wa go and return, of course nia hapa ni kua na hesabu ambayo ni most minimum, kama kila Trip ndege itabeba abiria 50 tu it mean kwa trip moja ndege hiyo itakua imetengeneza pesa hizi.

Chukua nusu ya hiyo 257,000/= gawanya kwa 2 itakupa 128500/= then kwa hao abiria 50 itakupa 6425000/= ndege hii hufanya safari sita kwenda na kurudi Mwanza, yaani asubuhi ya saa 12 to Mwanza, then saa 2 to Dar, kisha saa za mchana to Mwanza again, machana huo huo hurudi Dar tena then saa 11 jioni inatia timu Mwanza while mbili usiku inarudi Dar, weka hesabu hiyo mara sita yaani 6425000 kwa 6 sawa 38,550,000/= sasa hiyo ni pesa ya siku moja, weka kwa hiyo miezi 3 ya ukodishwaji, assuming mwezi utakua na siku 90 then jumla ya pesa kama Gross itakazo zipata ATC kwa deal hili ni Tsh 3,469,500,000/= mbona hili deal linalipa sana tu, anyway twende kwenye hiyo bill ya mwezi ya USD 200,000, kama exchange rate ni 1=1550 then USD 200,000 ni sawa 310000000/= wakati siku moja umelala na Tsh 38550000, kumbukeni pia, Distance from Mwanza to Dar kwa ndege ni Km 450 tu.

Mmmm, wakuu, tuache majungu, Mwakyembe ameweka dira, hata bei za Precion naona kama zimeshuka hivi, i think because of compitetion!

safi sana mkuu, walizoa kuhujumu ATC kila high season no services sasa wataimba na precision yao ya mafisadi.
 
Please, please, please tusiwakatishe tamaa watu wenye uwezo wa kutuvusha kwenye mto huu wenye mamba wakali aka mafisadi. Mwacheni Mwakyembe afanye kazi jamani.
 
Wakati nasoma huu uzi nilikuwa na mawazo yanayofanana kabisa na wachangiaji walio wengi. Jamani huyu jamaa kaleta uzi kiumbea mbea, kichuki chuki na kizabina zabina! Jamani mchango wa hii ndege hata ungekuwa huna macho basi ungesikia maana unasaidia kurejuleti bei ziwe chini kwa makampuni mengine ona precision washashua bei sababu ya atcl kitu ambacho ni faida ya walaji(wasafiri). Pili ni taarifa ya uongo usiopangwa vema kwa kuhusisha makundi mengi ambayo kwa akili ya kawaida ni ngumu kukaa meza moja na kukubaliana na ufisadi huo. Mwisho kundi la bandarini na mataka mnakaribishwa tena.
 
ulisema ushahidi wote unao na utauweka hapa mbona siuoni????????.:target:
 
Naona mwakyembe kawashika kule bandarini aka washika hadi Airport sasa mnataka kufa nae hata kwa kuvitumia viwanda vyenu!

EL crew at work!
 
Umekurupuka kutoa tuhuma kwa
Ofisi ya taifa ya ukaguzi , Suala la ukodishaji wa ndege chakavu CAG
kapiga kelele sana, rejea taarifa yake kuhusu ukaguzi wa mashirika ya
umma kwa mwaka wa fedha unaoishia juni 30, 2010 amebainisha kuwa ,
kuhusu atcl, serikali itafakari upya juu ya shirika ila tube wavumilivu
katika kipindi hiki atcl inajaribu kufufuka, haya mengine unayotuambia
Leo hatuyaamini kwa sababu wengine nyie mnaweza kuwa mawakala wa
washindani wa atcl yani precision nk.

kamanda mbona ulipokuwa ndani ya shirika haya yote hukusema? baada tu ya kutimuliwa na kuundwa menejimenti mpya na mwapanga sasa unatuletea CHUKIZAKO HUMU, mlikula sana mwacheni mwapanga alinyanyue ATC.
 
Nimepanda hii ndege inayotuhumia jana tu, from Dar to....! ukweli management ya ATC ime change sana, wapo very serious na biashara, wahudumu ni wazuri na wapo committed hasa, kabla ya uzi huu kubandikwa, kwasababu na mimi ni mTanzania nilifanya mahesabu yafuatayo:-

Trip moja from Dar to Mwanza ni Tsh 166,000/= kwa abiria anaenda one trip only, lakini kwa wale wanaokata go and return Mwanza to Dar ni Tsh 257,000/= well, let us just assume kwamba abiria wote ni wa go and return, of course nia hapa ni kua na hesabu ambayo ni most minimum, kama kila Trip ndege itabeba abiria 50 tu it mean kwa trip moja ndege hiyo itakua imetengeneza pesa hizi.

Chukua nusu ya hiyo 257,000/= gawanya kwa 2 itakupa 128500/= then kwa hao abiria 50 itakupa 6425000/= ndege hii hufanya safari sita kwenda na kurudi Mwanza, yaani asubuhi ya saa 12 to Mwanza, then saa 2 to Dar, kisha saa za mchana to Mwanza again, machana huo huo hurudi Dar tena then saa 11 jioni inatia timu Mwanza while mbili usiku inarudi Dar, weka hesabu hiyo mara sita yaani 6425000 kwa 6 sawa 38,550,000/= sasa hiyo ni pesa ya siku moja, weka kwa hiyo miezi 3 ya ukodishwaji, assuming mwezi utakua na siku 90 then jumla ya pesa kama Gross itakazo zipata ATC kwa deal hili ni Tsh 3,469,500,000/= mbona hili deal linalipa sana tu, anyway twende kwenye hiyo bill ya mwezi ya USD 200,000, kama exchange rate ni 1=1550 then USD 200,000 ni sawa 310000000/= wakati siku moja umelala na Tsh 38550000, kumbukeni pia, Distance from Mwanza to Dar kwa ndege ni Km 450 tu.

Mmmm, wakuu, tuache majungu, Mwakyembe ameweka dira, hata bei za Precion naona kama zimeshuka hivi, i think because of compitetion!

Hello,
Sorry. Your income vs. expenditure accounting theory seems to be informed by, and therefore based on Mama Ntilie rather than airline business economics. It should be more than, but ought to include the number of flying aircrafts, routes, expertise, competent/skilled and professional management and political environment, to mention only a few. Airline business must break-even, not just counting cash, which in most cases (ceteris peribus) takes no less than five years.
 
Hii thread ni ya kijambazi tu hamna lolote ni kuokotezaokoteza.........mi naona upo kambi fulani vile?
 
Hello,
Sorry. Your income vs. expenditure accounting theory seems to be informed by, and therefore based on Mama Ntilie rather than airline business economics. It should be more than, but ought to include the number of flying aircrafts, routes, expertise, competent/skilled and professional management and political environment, to mention only a few. Airline business must break-even, not just counting cash, which in most cases (ceteris peribus) takes no less than five years.

Thank you!
 
Nimepanda hii ndege inayotuhumia jana tu, from Dar to....! ukweli management ya ATC ime change sana, wapo very serious na biashara, wahudumu ni wazuri na wapo committed hasa, kabla ya uzi huu kubandikwa, kwasababu na mimi ni mTanzania nilifanya mahesabu yafuatayo:-

Trip moja from Dar to Mwanza ni Tsh 166,000/= kwa abiria anaenda one trip only, lakini kwa wale wanaokata go and return Mwanza to Dar ni Tsh 257,000/= well, let us just assume kwamba abiria wote ni wa go and return, of course nia hapa ni kua na hesabu ambayo ni most minimum, kama kila Trip ndege itabeba abiria 50 tu it mean kwa trip moja ndege hiyo itakua imetengeneza pesa hizi.

Chukua nusu ya hiyo 257,000/= gawanya kwa 2 itakupa 128500/= then kwa hao abiria 50 itakupa 6425000/= ndege hii hufanya safari sita kwenda na kurudi Mwanza, yaani asubuhi ya saa 12 to Mwanza, then saa 2 to Dar, kisha saa za mchana to Mwanza again, machana huo huo hurudi Dar tena then saa 11 jioni inatia timu Mwanza while mbili usiku inarudi Dar, weka hesabu hiyo mara sita yaani 6425000 kwa 6 sawa 38,550,000/= sasa hiyo ni pesa ya siku moja, weka kwa hiyo miezi 3 ya ukodishwaji, assuming mwezi utakua na siku 90 then jumla ya pesa kama Gross itakazo zipata ATC kwa deal hili ni Tsh 3,469,500,000/= mbona hili deal linalipa sana tu, anyway twende kwenye hiyo bill ya mwezi ya USD 200,000, kama exchange rate ni 1=1550 then USD 200,000 ni sawa 310000000/= wakati siku moja umelala na Tsh 38550000, kumbukeni pia, Distance from Mwanza to Dar kwa ndege ni Km 450 tu.

Mmmm, wakuu, tuache majungu, Mwakyembe ameweka dira, hata bei za Precion naona kama zimeshuka hivi, i think because of compitetion!

Ndugu yangu Msambule, kuna biashara yeyote umeshawahi kuifanya tangu uzaliwe?

Hii biashara yako (ya ATCL) imejaa mapato na wala haionyeshi matumizi (Je, ni kwamba unaficha ukweli wa hasara tarajiwa?). Acha nikusaidie, kwenye usafiri wa anga, asilimia 40 (40%) ya mapato yako yote huenda kwenye mafuta na matengenezo (kwa kila trip!). Kwa hiyo kila trip mwenye ndege anabaki na asilimia 60 (yaani 60%).

Katika hiyo asilimia 60 tunaanza mchanganuo sasa:
- Malipo ya wafanyakazi (hapa tuna maanisha wafanyakazi wote wa ATCL mpaka mfagizi na mlinzi)
- Malipo ya vyakula na vinywaji vya ndani ya ndege (kwa taarifa yenu: soda moja unayokunywa ndani ya ndege, ATCL imeinunua kwa zaidi ya Tsh 2500/-, kama watu hawalifahamu ili nitarudi baadaye kulielezea)
- Kuna tozo ya kiwanja (kila inapotua)
- Kuna tozo ya ma-agent wa ATCL (yaani wakatisha ticket, kwenye bei ya ticket uliyosema sio kwamba hela yote ni ya ATCL, kuna percent ya mawakala (agents).

Sasa katika hiyo asilimia 60 ondoa gharama hizo hapo juu, kisha angalia unabaki na kiasi gani. Then mwisho wa mwezi ufanye hayo malipo yako ya kukodi ndege (yaani USD 200,000)

Halafu mkae mkijua sio kila siku atakuwa na uwezo wa kuruka safari sita (six times) tena kwa kutegemea ndege moja. Lazima kuna siku itakuwa matengenezoni/ ama imeharibika na kutakiwa ku-cancel safari zote sita! Pili hiyo route ina mshindani mkubwa PW (Precision Air) na yeye ameamua kufanya safari ya Kutoka Dar kwenda Mwanza na Kurudi Dar kuwa Tsh 199,000. Kwa maana hii ATCL itaendelea kusubiri abiria wanaokosa nafasi PW, au nae akubali kushusha zaidi bei yake ya Tsh 257,000 (ambapo ni hasara zaidi).

Tatu na mwisho sio kwamba trip zote ATCL itapata abiria 50, kuna wakati atakuwa na abiria 20 tu!! Hii ni kitu cha kawaida sana kwenye biashara ya ndege, na asilogwe ku-cancel safari kwa sababu ya uchache wa abiria, akifanya hivyo basi anajichimbia kaburi kabisa!

Nitarudi tena!
 
Milija ya ulaji inapokatwa mpaka mapovu yatawatoka kujenga majungu!
Mlianza na Tpa sasa mumehamia ATCL yatawashinda kama Mwakyembe kawaconvice wote hao basi genius na anafaa kuiongoza iyo wizara
 
Ndugu yangu Msambule, kuna biashara yeyote umeshawahi kuifanya tangu uzaliwe?

Hii biashara yako (ya ATCL) imejaa mapato na wala haionyeshi matumizi (Je, ni kwamba unaficha ukweli wa hasara tarajiwa?). Acha nikusaidie, kwenye usafiri wa anga, asilimia 40 (40%) ya mapato yako yote huenda kwenye mafuta na matengenezo (kwa kila trip!). Kwa hiyo kila trip mwenye ndege anabaki na asilimia 60 (yaani 60%).

Katika hiyo asilimia 60 tunaanza mchanganuo sasa:
- Malipo ya wafanyakazi (hapa tuna maanisha wafanyakazi wote wa ATCL mpaka mfagizi na mlinzi)
- Malipo ya vyakula na vinywaji vya ndani ya ndege (kwa taarifa yenu: soda moja unayokunywa ndani ya ndege, ATCL imeinunua kwa zaidi ya Tsh 2500/-, kama watu hawalifahamu ili nitarudi baadaye kulielezea)
- Kuna tozo ya kiwanja (kila inapotua)
- Kuna tozo ya ma-agent wa ATCL (yaani wakatisha ticket, kwenye bei ya ticket uliyosema sio kwamba hela yote ni ya ATCL, kuna percent ya mawakala (agents).

Sasa katika hiyo asilimia 60 ondoa gharama hizo hapo juu, kisha angalia unabaki na kiasi gani. Then mwisho wa mwezi ufanye hayo malipo yako ya kukodi ndege (yaani USD 200,000)

Halafu mkae mkijua sio kila siku atakuwa na uwezo wa kuruka safari sita (six times) tena kwa kutegemea ndege moja. Lazima kuna siku itakuwa matengenezoni/ ama imeharibika na kutakiwa ku-cancel safari zote sita! Pili hiyo route ina mshindani mkubwa PW (Precision Air) na yeye ameamua kufanya safari ya Kutoka Dar kwenda Mwanza na Kurudi Dar kuwa Tsh 199,000. Kwa maana hii ATCL itaendelea kusubiri abiria wanaokosa nafasi PW, au nae akubali kushusha zaidi bei yake ya Tsh 257,000 (ambapo ni hasara zaidi).

Tatu na mwisho sio kwamba trip zote ATCL itapata abiria 50, kuna wakati atakuwa na abiria 20 tu!! Hii ni kitu cha kawaida sana kwenye biashara ya ndege, na asilogwe ku-cancel safari kwa sababu ya uchache wa abiria, akifanya hivyo basi anajichimbia kaburi kabisa!

Nitarudi tena!

Kaka taratibu

Utafukuza watu JF!

Uchambuzi wa namna hii hautakiwi humu. Lakini potelea mbali

sasa hapo juu umewataja PW...lakini kuna jinamizi lingine linakuja kuwamaliza kabiasa hawa ATC linaitwa FASTJET.

Latest ni kuwa FastJet has reportedly signed up for 2 more Airbus A319 aircraft, configured with 150+ seats in an all economy version na jamaa wanataka within mwaka mmoja wawe na flights 15 na bila kusahau kuwa nauli yao wanasema itakuwa ni usd 20 (of course minus gharama zinginezo lakini I'm sure nauli yao itakuwa much lower than ATC) Sasa hapa ATC watakuwa na lao? Mie naona ATC wataishia kwenda Mafia tuuu. Route ya Nairobi waisahau.

Sasa angalia management ya Fast Jet ikoje? kwanza wameenda kumchukua Bob Bishtom toka EasyJet as COO na kutoka Ryan Air H. Cordan as Chief of Flight Operations, besides the appointment of Kayle Haywood as Regional General Manager (all reporting to CEO Ed Winter). In short hii biashara inayopesa maana hawa waingereza na wa Irish wasingeingia kwa nguvu zote hizi. Haiwezekani Haji Stelios wa Esy Jet avamie African Aviation na kisha aamue kuweka Hub Tanzania na Mwakyembe and Co bado wanaendelea kukodisha ndege ya miaka 32 ambayo ina gharama kubwa sana kui operate. Did I mention yaliyowakuta FLY 540?

Kingine huyu Mwakyembe na mafisadi wa ATC wamesahau kuwa PW wako kitanda kimoja na KQ and they are not there kufanya mchezo bali kutengeneza noti...

Last but not least hawa RwandAir wanampango wa kushusha at least two brand new B787 Dreamliners by about 2015.

Sisi hapa bado tuko humu tunatetea ufisadi na hujuma ya Mwakyembe na wahuni wa ATC.
 
Ujumbe umefika, kwanini ufanye biashara kwa kukodi ndege kwa malipo ya juu?

Upuuzi huu ulipelekwa Rwanda wao wakawatimua wale ma middle men sasa cha kujiuliza waliweza vipi kuja Bongo, na kupiga dili na watu kama akina mwakayembe wakakubali ?

its ufisadi tuu hamna cha zaidi.

In a way I feel like ATCL kama vile imekuwa cursed.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom