Kumbukumbu zangu: Leo nimetimiza miaka mitano(5) tokea nijiunge Jf

adriz

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
10,952
23,099
Habari zenu wana Jf wote natumaini hamjambo .

Tarehe kama ya leo ilikua mwaka 2017 nilijiunga rasmi katika mtandao huu pendwa wa Jf.Mara ya kwanza kuijua Jf ilikua gugo wakati natafuta content fulani nikaletewa moja kwa moka humu na kujionea madini na nikawa napita kila siku na nikawa addicted baada ya Freebasic kuingia kipindi sina bando nikawa nakuja Jf kuchangasha akili hatimaye kujinga rasmi baadae.

Kipindi najiunga nilikuta Jf ina moto kidogo mpaka nikawa ninaogopa kucomment hovyo na kuanzisha nyuzi kutokana na watu humu wanavyotoa madini na wanavyokosoa kwa facts huku kusindikizia na madongo makali nikaona bora niwe msomaji sana kuliko kuchangia.

Kupitia Jf nimejifunza vitu vingi mno na najivunia kuwa katika jamii ya great thinkers shukurani zangu nyingi WanaJf wote humu.

#Alhamdulilah#Nimetimiza#Mi5tena#@JamiiForum
 
Kumbukumbu zangu za Jukwaa la Chitchat :
Miaka ile kunazia 2015 mpk 2018 Jf chitchat lilikuwa jukwaa la moto sana haipiti mtu siku bila kuja chitchat kuburudika na ilikuwa haipiti mda mrefu bila watu kugungulia nyuzi za kutakana na kujibebishana ila miaka ya siku hivi karibuni Jf chitchat hakuna nyuzi za kuburudisha kama zamani na inafika hata mwezi sitembelei .

Miaka ile kulikuwa na uzi pendwa na ilikuwa bonge la ubuunifu kutoka kwa DJ SEPETU alikuwa na show yake ya interview kuwahoji members mbalimbali humu ,humo ilikuwa mtu unacheka mpk basi na alipata muitikio mkubwa sana ikawa watu wanasubiri kama wanavyosubiri mechi za mpira .Kama kawaida ya Jf haters wakaanzisha vuguvugu la kuwa jamaa interviews zake anadili na warembo tu na kuwa anaajenda za siri za kula kimasihara hatimaye shows zikapoteza mvuto na jamaa akapotea .

Jf kulikuwa kama kuna kujuana fulani na matabaka unakuta kama kikundi fulani wanachat sana wenywew kwa wenyewe nk mpaka kukuzuka harakati za makapuku kupinga na kuanzisha makapuku forum humu.

Nimekutia Jf together party ,ilikuwa inakuwatanisha wana Jf mbalimbali kusherekea na kubadilisha a mawili matatu na ilikuwa kila mwaka kabla ya kufa na sijui iliipotelewa wapi japo sijawahi kushiriki hata moja.
 
June 2011 mpaka leo hii, si haba kwangu nimejifunza mengi sana ndani ya jukwaa hili.

Zamani zile tuliburudishwa sana na lile jukwaa la chini kabisa la "Mambo ya Wakubwa"
Kweli wewe mkongwe na umeikuta Jf inayosifiwa sana ambayo ya 2012 kushuka chini.

Mimi japo nililikuta sijawahi kabisa kujiunga jukwaa la wakubwa na nilidhani watu wanafanya mzaha walivyokuwa wanalitaja kwenye nyuzi mbalimbali humu.
 
Kumbukumbu zangu za Jukwaa la Chitchat :
Miaka ile kunazia 2015 mpk 2018 Jf chitchat lilikuwa jukwaa la moto sana haipiti mtu siku bila kuja chitchat kuburudika na ilikuwa haipiti mda mrefu bila watu kugungulia nyuzi za kutakana na kujibebishana ila miaka ya siku hivi karibuni Jf chitchat hakuna nyuzi za kuburudisha kama zamani na inafika hata mwezi sitembelei .

Miaka ile kulikuwa na uzi pendwa na ilikuwa bonge la ubuunifu kutoka kwa DJ SEPETU alikuwa na show yake ya interview kuwahoji members mbalimbali humu ,humo ilikuwa mtu unacheka mpk basi na alipata muitikio mkubwa sana ikawa watu wanasubiri kama wanavyosubiri mechi za mpira .Kama kawaida ya Jf haters wakaanzisha vuguvugu la kuwa jamaa interviews zake anadili na warembo tu na kuwa anaajenda za siri za kula kimasihara hatimaye shows zikapoteza mvuto na jamaa akapotea .

Jf kulikuwa kama kuna kujuana fulani na matabaka unakuta kama kikundi fulani wanachat sana wenywew kwa wenyewe nk mpaka kukuzuka harakati za makapuku kupinga na kuanzisha makapuku forum humu.

Nimekutia Jf together party ,ilikuwa inakuwatanisha wana Jf mbalimbali kusherekea na kubadilisha a mawili matatu na ilikuwa kila mwaka kabla ya kufa na sijui iliipotelewa wapi japo sijawahi kushiriki hata moja.
Hapo kwenye makapuku uko sawa ila huo uzi saivi umeharibiwa na yale mashangazi kule. Hayataki kutoka kabisa kwenye ule uzi utasema wanahati milki.
 
Hahaha!! makapuku wamepotezea uzi wao kama Uwabata ,Chaputa na Mabaharia mashangazi wameumua wasongeshe gurudumu.
 
Habari zenu wana Jf wote natumaini hamjambo .

Tarehe kama ya leo ilikua mwaka 2017 nilijiunga rasmi katika mtandao huu pendwa wa Jf.Mara ya kwanza kuijua Jf ilikua gugo wakati natafuta content fulani nikaletewa moja kwa moka humu na kujionea madini na nikawa napita kila siku na nikawa addicted baada ya Freebasic kuingia kipindi sina bando nikawa nakuja Jf kuchangasha akili hatimaye kujinga rasmi baadae.

Kipindi najiunga nilikuta Jf ina moto kidogo mpaka nikawa ninaogopa kucomment hovyo na kuanzisha nyuzi kutokana na watu humu wanavyotoa madini na wanavyokosoa kwa facts huku kusindikizia na madongo makali nikaona bora niwe msomaji sana kuliko kuchangia.

Kupitia Jf nimejifunza vitu vingi mno na najivunia kuwa katika jamii ya great thinkers shukurani zangu nyingi WanaJf wote humu.

#Alhamdulilah#Nimetimiza#Mi5tena#@JamiiForum
Sema kuna kipindi kweli Jf ilikuwa ya moto. Nakumbuka nilikuwa mpaka nisome kwanza ndo ni comment au nipost kipindi hicho kabda sija change Id. Ila sasa hivi imevamiwa na watoto wa vyuo na shule, ujinga umekuwa mwingi sana.. All in all I'm love Jf
 
Ndani ya miaka mitano
1.Sijawahi kupata ban kabisa na wala sijui ban mtu ukipigwa inakuaje nataka Moderator anifanyie mpango hata kwa siku mmoja ni enjoy

2.Sijawahi kuwa na Id zaidi ya hii japo wakati mwingine naona umuhimu wa kuwa na Id mchepuko kwa matumizi mengine.
Kuhusu ban inakuaje unaweza kumuuliza mwamba mmoja anaitwa extrovert 😃 huyu atakuambia ukipigwa ban inakuaje
 
Ndani ya miaka mitano
1.Sijawahi kupata ban kabisa na wala sijui ban mtu ukipigwa inakuaje nataka Moderator anifanyie mpango hata kwa siku mmoja ni enjoy

2.Sijawahi kuwa na Id zaidi ya hii japo wakati mwingine naona umuhimu wa kuwa na Id mchepuko kwa matumizi mengine.
Nitukanie baba yako, tuone
 
Back
Top Bottom