God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,790
- 3,020
Nimekua nikijiuliza mara nyingi teknolojia inayotumika kutengeneza madaraja yanayopita katikati ya maji eitha kwenye mito mikubwa, ziwa au bararini mfano kigamboni n.k ila sijafanikiwa kupata jibu.
1.Huwa wanaweka vipi simenti huko katikati chini ya maji wakati wanasimika nguzo za daraja isichukuliwe na maji ningali ni mbichi? na inakaukaje wakati ipo kwenye maji?
2.Wanatumia kifaa gani kuteremsha huo mchanga na machuma kusimika hizo nguzo za daraja?
Huko chini ardhi haiwezi kuwa laini na hatimaye daraja kudidimia pindi gari nzito mfano scania inapopita? vitu gani wanaweka huko chinin ili kusimamisha kitu imara?
3.Hizo barabara ndefu haziwezi kuvunjika? maana unaweza kuta distance kutoka nguzo moja hadi nyingine ni ndefu mno sasa nashangaa stability ya hayo machuma.
4.Najua kutakuwepo na maximum ya uzito flani kupita katika hayo madaraja lakini mbona madaraja mengi yamekaa mda sana bila kubadiulishwa na yanatumika 24hrs bila matatizo, mfano WAMI huwa halichoki? halihitaji repair?