Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 338
suspension bridge!!..
Kwa mara ya kwanza nasoma aina hii ya madaraja mnamo 2008/009 nakumbuka nlisoma habari ya Daraja la Brooklyn ambalo lilijengwa ktk karne ya 19 miaka ya 1880's na kumalizika 1883,Issue kubwa ni kwamba wajenzi wengi walipoteza maisha na hatimaye miaka ilivyosogea zaidi mkandarasi Mkuu alifariki..,Mkwelima wake akashika ukandarasi kwakua naye alikua mkandarasi,Na iliwachukua muda kulimaliza!!.Na teknolojia ilikua bado chini sana ila walifanikisha kazi hiyo,Hawa jamaa kitambo sanaaa ktk hzi mambo