TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kero kinoma.
Watu wapo dunia ya 1 wao wapo zama za Ujima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtandao unaofikia TTCL kwa vifurushi nafuu, tena vya data ndo vya kumwaga, hiki nadhani ni mahususi kwa dakika, hata mtandao ni kutokujua tu, maeneo ambayo network ya TTCL iko chini select ya Tigo inafanya nadhani wako na makubaliano ya kibiashara, tangu nimegundua kuwa Tigo inafanya kazi kwenye TTCL sihangaiki tena.
 
Voda najipatia mb500 kwa jero tu saa 24
Sasa nihamie wapi tena mkuu
Hakuna mtandao unaofikia TTCL kwa unafuu mkuu, hicho kifurushi mie mwenyewe sijawahi kukitumia lakini najua kipo lakini viko vizuri zaidi.
IMG_20200615_093542.jpg
 
View attachment 1479126

Ndugu mteja,

Je una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu?
Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma zetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

Ni tatizo gani?
T - PESA, SMS, kupiga simu, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano na kadhalika.

Maeneo gani?
Tukifahamu eneo ulilopo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe.

Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?

Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza?

Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi lifanyike ili tuzidi kuboresha huduma zetu.

Karibu
TTCL Corporation.

Rudi Nyumbani Kumenoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 1592206835526.png
    1592206835526.png
    4.1 KB · Views: 1

TTCL nawapongeza kuendelea kutoa huduma zenye garama nafuu.
TATIZO. MAENEO YA BOMANG"OME WILAYA YA HAI HASA UKANDA WA CHINI MTANDAO UNASUMBUA SANA.KUMBUKENI TRENI INAANZA KWENDA MPK ARUSHA NA KUNA STATION KUBWA ZAIDI YA MBILI. BORESHENI MTANDAO WENU ILI WATU WASIJUTE KUNUNUA LINE ZENU. Taarifa hii ofisi yenu ya wilaya ya Hai inazo,ofisi ya mkoa wanazo toka SEPT.2017. na mkurugenzi wenu Kindamba nilishamweleza. TUNATAKA MATENDO
 
Hakuna mtandao wenye vifurushi nafuu vya data kuzidi TTCL, weka hapa nikuwekee tufanye comparison.
Sasa hoja yako inashindana na uhalisia.... Huo mtandao unaosema ni nafuu mbona ndio unaongoza kwa kukera sisi wateja.... Unajua kitu kizuri wala hautasikia watu wakijadili shida zake...... Watatumia na kushawishiana...... Wateja tunafuata huduma sio maneno ya porojo za huduma bora.
 
Back
Top Bottom