TRA, BoT wanalipwa mishahara minene kuliko maprofesa’

Profesa Safari ambaye alikuwa akizungumza kwenye kampeni maalumu ya chama hicho ijukanayo kama ‘Ondoa CCM Dar’ alisema mgomo wa madaktari unaoendelea sasa ni matokeo ya sera mbovu za mishahara zilizowekwa na Serikali.
Hiyo kaulimbiu imesimama.
2015 itabadilika na kuwa "ondoa CCM Tanzania"
 
BOT tunanakula nchi nyie kalia politics tu ,yaaani mkurugenzi anapewa mil 24=mara nne kwa mwaka bure kama punzisha kichwa wakati wa mkopo kila anayetaka mda wowote bila kujali ulishalipa wa mwanzo au bado !ahaaaa tunachekelea sana BOT kwa kweli...acha tuitafune ii inji..
 
U- daktari si sawa na uhasibu , hivi ugumu na umuhimu wa science ni sawa na Uhasibu ?
hapa suala ni upate mshahara kutokana na ubora na umuhimu wa kazi yako ,
hapana.
hapa si nani bora.
kila mmoja anegotiate mshahara wake kulingana na anavoona ugumu wa kazi yake.
Wabunge wameona ugumu wa kazi yao wakanegotiate(?) na wanapata.
Ukitaka kujiona bora basi serkali ikisema inashusha mshahara wa mhasibu hadi sh100,000 kwa mwezi wewe utakuwa umewini?
 
Mimi kwa kweli sasa naamini kuwa sisi Watanzania ni wavivu wa kufikiri.Hii mada haina maana ye yote, kwa vile huyu prof alitamka maneno hayo kwenye kampeni za cdm ya ondoa ccm dar.Kwa lugha ya kisiasa hiyo ni propaganda maana maprof walisharekebishiwa mishahara yao mapema,na hakuna prof anayepata chini ya gross ya Tshs 2m.Na wao maprof wapo kimya.
 
Anafundisha chuo gani huyu profesa? Manake nijuavyo mishahara ya walimu wa UDSM miaka ya hivi karibuni imeboreshwa kwa kiasi kikubwa sana.

yeye anayepata ndio katoa huo ushahidi ,sasa wewe unayejiita unajua unaleta hila zako hapa,nenda
kasome,acha wivu wa kijinga,
 
Ngojeni na mgomo mkali wa walimu wa vyuo uje!!, halafu wawapeleke wanageshi wakafundishe.
 
Back
Top Bottom