Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.

Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.

Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.

Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.

Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.

Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.

Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.

“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.

Mkutano wa mawaziri

Mkutano wa jana uliwajumuisha mawaziri saba wa sekta za uchukuzi wa mataifa ya Tanzania, Uganda, Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi.

Profesa Mbarawa alisema mkutano huo umekuwa wa mafanikio na wamekubaliana masuala mbalimbali ili ushoroba huo upige hatua.

Katika kikao hicho, mataifa ya Zambia na Malawi yalikubaliwa kujiunga na umoja huo na kufikisha idadi ya nchi saba kutoka tano za awali.

Alisema ushoroba huo unaunganishwa kwa miundombinu, ikiwamo ya reli, maziwa na barabara na kwamba, baadhi ya mataifa yanajenga reli za kisasa, ikiwamo Tanzania.

Mawaziri wa sekta za uchukuzi wa Zambia na Malawi waliwashukuru wenzao wa umoja huo kwa kufanikisha mataifa hayo kuingia katika mpango.
 
Hekaya za Abunuwasi zinaendelea, hii sijui ni Episode ya ngapi?
 
Sasa hili ni fumbo la kisiasa kwa minajili ya kupooza watu wasio elewa kwa sabab kama walisema kuna adha ya umeme sababu ikiwa utoaji wa huduma za umeme kwa sasa ni ngumu kutokana na kiwango cha umeme unaoweza kuzalishwa kwa muda huu uko chini ya gridi ya taifa kwa hio wakatoa miezi sita suala hilo litatuliwe na kwamba adha ya umeme itarekebishwa na kukaa vizur mpaka mwezi wa tatu au wa nne 2024.

Hili jambo la kusema mwishoni mwa mwezi januari bado ni maneno ambayo naamin hayana mashiko kama walivyosema tu kuwa bwawa la Nyerere lingeanza kutumika mwaka huu .Huo umeme utatoka wapi.
 
Serikali hii haiaminiki kabisa, imejaa upigaji ndiomana wamejaza milori na mibasi barabarani kwaajiri ya matumbo yao Wala hawajali raia wao, msongamano wa magari barabara ya dar-moro nibalaa. Wao wanapita na ving'ora hawaoni tatizo. Jamani tumwombe Mungu atuondolee hii serikali mana wanakoelekea watatuuza kabisa.
 
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.

Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.

Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.

Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.

Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.

Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.

Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.

“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.

Mkutano wa mawaziri

Mkutano wa jana uliwajumuisha mawaziri saba wa sekta za uchukuzi wa mataifa ya Tanzania, Uganda, Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi.

Profesa Mbarawa alisema mkutano huo umekuwa wa mafanikio na wamekubaliana masuala mbalimbali ili ushoroba huo upige hatua.

Katika kikao hicho, mataifa ya Zambia na Malawi yalikubaliwa kujiunga na umoja huo na kufikisha idadi ya nchi saba kutoka tano za awali.

Alisema ushoroba huo unaunganishwa kwa miundombinu, ikiwamo ya reli, maziwa na barabara na kwamba, baadhi ya mataifa yanajenga reli za kisasa, ikiwamo Tanzania.

Mawaziri wa sekta za uchukuzi wa Zambia na Malawi waliwashukuru wenzao wa umoja huo kwa kufanikisha mataifa hayo kuingia katika mpango.
Kikwazo ni umeme wa maji ya mvua wakati wa masika unachanganyika sedimentisi za tope ambazo zikiingia kwenye koili za mota ya injini ile injini inabekifaya umeme na kurudi kwenye gridi ya taifa, jambo linaloweza kusababisha sabuwufa za walipakodi wetu zikapasuka.
 
Serikali hii haiaminiki kabisa, imejaa upigaji ndiomana wamejaza milori na mibasi barabarani kwaajiri ya matumbo yao Wala hawajali raia wao, msongamano wa magari barabara ya dar-moro nibalaa. Wao wanapita na ving'ora hawaoni tatizo. Jamani tumwombe Mungu atuondolee hii serikali mana wanakoelekea watatuuza kabisa.
"Any Government is an organ of exploitation by nature."
Mikhail Bhukanin.
 
Serikali ya Tanzania ilitangazia umma kwamba January 2024 reli ya SGR itaanza kazi ! Sasa kwa wale tunaofatilia tayari January imeisha na tren ya umeme haijaanza kufanya kazi
Hivi serikali hii ni ya maneno siyo vitendo watu wakisema JPM was the best president hawakosei haya mambo yanayofanyika ya porojo bila kazi ndiyo yanadumaza maendeleo ya nchi

Kuna mambo kadhaa katika nchi yakishamili kama yafuatayo-
1.Rushwa
2.ubadhilifu wa Mali za umma
3.matumizi mabaya ya madaraka
4.wizi
5.uzembe n.k
Mambo haya daima nchi hiyo usitegemee maendeleo yoyote.
Maneno ya waziri wa uchukuzi na taasisi yake kwa ujumla:

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.

Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.

Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.

Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.

Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.

Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.

Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.

“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.

Sasa January imeisha Kesho February 2024.
 
Back
Top Bottom