Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
viposho vyenyewe vya 20,000 kwa post 50!!!
Aisee babaangu kwa Komu anatoa ngapi nihamie huko meku, hawa magamba watatuua kwa njaa yesu wangu. Mimi ni mwenzenu wa pale Kilema babaangu.
viposho vyenyewe vya 20,000 kwa post 50!!!
Ajali iliyohusisha pikipiki aina ya Toyo 125cc na gari aina ya Landcruiser Prado iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja hapo Sakina Silent Arusha mjini majira ya saa tatu oo nusu ya usiku na kumpelekea mauti drv wa Toyo hakika kwa hasira ya madereva toyo wameichoma moto gari na mama kubaki na jina ya kuwa alikuwa gari aina ya Prado. Kweli waendesha Toyo bicky ni soo.
Sasa kumekucha kwa jamaa wa Toyo kwani mwenye prado iliyochomwa ni ya Mwanajeshi JWTZ na hakika habari nilizopata toka kwa walengwa wameapa kwamba waliofanya hilo 2kio lazima awakamate wote. Na msako utaanza kesho j'3 rasmi. Ntawajuza zaidi. Ila inaashiria itakuwa soo kubwa kwa jamaa wa Toyo hapa A town.

Sheria mkononi namna hii!

Au kwa kuwa dereva alikuwa Prado?
Sasa kumekucha kwa jamaa wa Toyo kwani mwenye prado iliyochomwa ni ya Mwanajeshi JWTZ na hakika habari nilizopata toka kwa walengwa wameapa kwamba waliofanya hilo 2kio lazima awakamate wote. Na msako utaanza kesho j'3 rasmi. Ntawajuza zaidi. Ila inaashiria itakuwa soo kubwa kwa jamaa wa Toyo hapa A town.

duh!kwa uelewa wangu toyo ni kitega uchumi kikubwa kwa wafanyakazi wa serikalini kama vile walimu,madakta,mapolisi n.k

naomba adhabu iwahusu madereva toyo na sio hivi vitega uchumi!chonde chonde wajeda kuna watu wana mikopo benk!!

Mkuu hii nimeipenda.. kama ni mjeda safi sana hawa Toyo watahamishwa!!!

nahisi harufu ya kichapo cha mbwa mwizi......Toyo mtakuwa mgeni wa nani jamani.......
Hakika ndiyo mambo yalivyo lakini jamaa wameshikwa pabaya! Lakini yule mama alikataa kutoa ushirikiano kwa wale washikaji baada ya kumgonga akakataa kumpakiza kwenye gari lake kisa gari lake ni haina hadhi ya kumpakia m2 kama yule na ndiyo jamaa wakachafukwa na Mioyo na ndiyo mambo yakenda hivyo. Ila Mi ningependa uchunguzi ufanyike wa chini kwa chini waweze kukamatwa mmoja baada ya mwingine. Jackbauer! Naunga hoja mkono.

big mistake........machalii wa Arachuga hiyo kitu huwa hawataki kuona.......mama alikosea sana.......usalama wake ilikuwa akimbie akageukie mbele kwa mbele.....alikuwa anao uwezo wa kuepuka balaa.....ila akaleta nyodo za kizamani....anyway....pole yake