Toyo iliyogongwa yaleta balaa na mwenye gari aina ya Prado kuikosa gari

viposho vyenyewe vya 20,000 kwa post 50!!!

Aisee babaangu kwa Komu anatoa ngapi nihamie huko meku, hawa magamba watatuua kwa njaa yesu wangu. Mimi ni mwenzenu wa pale Kilema babaangu.

Inasikitisha kwa kweli kwa hao jamaa kujichukulia sheria mkononi.......

Yn dah.! Inatia huruma kweli, tukio kama hilo limetokea jana ucku palle mbezi tangi bovu.. Dereva wa TOYO, kagongwa kafa hapo hapo.. Cha mcngi ni kua makini tuwapo barabarani nduguzanguni...

Ajali iliyohusisha pikipiki aina ya Toyo 125cc na gari aina ya Landcruiser Prado iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja hapo Sakina Silent Arusha mjini majira ya saa tatu oo nusu ya usiku na kumpelekea mauti drv wa Toyo hakika kwa hasira ya madereva toyo wameichoma moto gari na mama kubaki na jina ya kuwa alikuwa gari aina ya Prado. Kweli waendesha Toyo bicky ni soo.

Sheria mkononi HAIKUBALIKI sio tu kwa waendesha Toyo bali sehemu yoyote ile.

Sasa kumekucha kwa jamaa wa Toyo kwani mwenye prado iliyochomwa ni ya Mwanajeshi JWTZ na hakika habari nilizopata toka kwa walengwa wameapa kwamba waliofanya hilo 2kio lazima awakamate wote. Na msako utaanza kesho j'3 rasmi. Ntawajuza zaidi. Ila inaashiria itakuwa soo kubwa kwa jamaa wa Toyo hapa A town.

Jaman kwa ili tatizo inabid tuanze liangalia vizuri jana huyo mama leo linaweza kuwa kwako je ukiwa na Insurance ya namna gan waweza kuclaim gari yako iliyo chomwa?

Hivi jamaa ni wepesi wa kusahau kuwa hao wenye maprado ndo wagombea watarajiwa/vimada wa vingunge!
Ikifika kipindi cha uchaguzi wanavalishwa kijani/kombati + mafuta ya 3000 nakufanya fujo njiani!
Vijinga sana hivi viji2!

Sasa kumekucha kwa jamaa wa Toyo kwani mwenye prado iliyochomwa ni ya Mwanajeshi JWTZ na hakika habari nilizopata toka kwa walengwa wameapa kwamba waliofanya hilo 2kio lazima awakamate wote. Na msako utaanza kesho j'3 rasmi. Ntawajuza zaidi. Ila inaashiria itakuwa soo kubwa kwa jamaa wa Toyo hapa A town.

Mkuu hii nimeipenda.. kama ni mjeda safi sana hawa Toyo watahamishwa!!!

Nasikia huyu mama ameumizwa vibaya sehemu za kichwani na amelazwa selian hospital(town clinic)

Sasa kumekucha kwa jamaa wa Toyo kwani mwenye prado iliyochomwa ni ya Mwanajeshi JWTZ na hakika habari nilizopata toka kwa walengwa wameapa kwamba waliofanya hilo 2kio lazima awakamate wote. Na msako utaanza kesho j'3 rasmi. Ntawajuza zaidi. Ila inaashiria itakuwa soo kubwa kwa jamaa wa Toyo hapa A town.

nahisi harufu ya kichapo cha mbwa mwizi......Toyo mtakuwa mgeni wa nani jamani.......

Sheria mkononi namna hii!

Au kwa kuwa dereva alikuwa Prado?

auu kwa sababu alikuwa mwanamama? Kiukweli mara nyingi ukiwa gari ukagonga mtu ni bora ule kona ukajisalimishe polisi mara nyingi raia na hao boda boda wanachukua sheria mikononi...

Sasa kumekucha kwa jamaa wa Toyo kwani mwenye prado iliyochomwa ni ya Mwanajeshi JWTZ na hakika habari nilizopata toka kwa walengwa wameapa kwamba waliofanya hilo 2kio lazima awakamate wote. Na msako utaanza kesho j'3 rasmi. Ntawajuza zaidi. Ila inaashiria itakuwa soo kubwa kwa jamaa wa Toyo hapa A town.

duh!kwa uelewa wangu toyo ni kitega uchumi kikubwa kwa wafanyakazi wa serikalini kama vile walimu,madakta,mapolisi n.k
naomba adhabu iwahusu madereva toyo na sio hivi vitega uchumi!chonde chonde wajeda kuna watu wana mikopo benk!!

Wakuu kiukweli kabisa kwa mazingira ya sasa hivi hapa mijini,ukigonga mtu au bodaboda au Toyo ukasimama kwa nia ya kusaidia lazima ule kichapo cha maana na wakati mwingine wanaweza kukuua au kuchoma moto gari yako.
Ushauri:Unapogonga mtu unaangalia mazingira kama mazingira ni ya watu wengi kama manzesee au k/koo vijana wamjini wanasema lazima usepe hakuna kushangaa ukujifanya kushangaa watachoma moto hiyo gari au kichonyoa kila kitu na hatari zaidi wanaweza kukuua.Sasa basi utakapofanikiwa kuwatoka tafuta kituo chochote cha polisi kilicho karibu utoe ripoti.Usiogopo hata kama huyo mtu amekufa ajali ni hajali na bahati nzuri sheria zetu zinatambua,huoni chenge sasa hivi yuko huru japo aliuwa watu 2 na pia hakua na isuarance.

duh!kwa uelewa wangu toyo ni kitega uchumi kikubwa kwa wafanyakazi wa serikalini kama vile walimu,madakta,mapolisi n.k

naomba adhabu iwahusu madereva toyo na sio hivi vitega uchumi!chonde chonde wajeda kuna watu wana mikopo benk!!

Hakika ndiyo mambo yalivyo lakini jamaa wameshikwa pabaya! Lakini yule mama alikataa kutoa ushirikiano kwa wale washikaji baada ya kumgonga akakataa kumpakiza kwenye gari lake kisa gari lake ni haina hadhi ya kumpakia m2 kama yule na ndiyo jamaa wakachafukwa na Mioyo na ndiyo mambo yakenda hivyo. Ila Mi ningependa uchunguzi ufanyike wa chini kwa chini waweze kukamatwa mmoja baada ya mwingine. Jackbauer! Naunga hoja mkono.

Mkuu hii nimeipenda.. kama ni mjeda safi sana hawa Toyo watahamishwa!!!

Mkuu! Ujuwe hizi Toyo imewashikilia baadhi ya wale wanajiona ni WABABE hapa mjini! Kwa mtazamo wangu bora msako uwe chini chini sana.

nahisi harufu ya kichapo cha mbwa mwizi......Toyo mtakuwa mgeni wa nani jamani.......

Mi naona PATACHIMBIKA!

Hakika ndiyo mambo yalivyo lakini jamaa wameshikwa pabaya! Lakini yule mama alikataa kutoa ushirikiano kwa wale washikaji baada ya kumgonga akakataa kumpakiza kwenye gari lake kisa gari lake ni haina hadhi ya kumpakia m2 kama yule na ndiyo jamaa wakachafukwa na Mioyo na ndiyo mambo yakenda hivyo. Ila Mi ningependa uchunguzi ufanyike wa chini kwa chini waweze kukamatwa mmoja baada ya mwingine. Jackbauer! Naunga hoja mkono.

big mistake........machalii wa Arachuga hiyo kitu huwa hawataki kuona.......mama alikosea sana.......usalama wake ilikuwa akimbie akageukie mbele kwa mbele.....alikuwa anao uwezo wa kuepuka balaa.....ila akaleta nyodo za kizamani....anyway....pole yake

Asante sana! Ningekuwa najua mkoa ulikopiga kambi ningekutafuta kwa gharama yeyote angalau u2mie chochote kikupendezacho kwa ushauri wako safi!

Back
Top Bottom