Top Ten footballers Tanzania ever produced

Nilimsahau rafiki yangu Ezekiel Greyson "Jujuman" mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi. Hii list ya top 10 footballers inabidi iongezwe angalau ifikie 100, vinginevyo haitawatendea haki wachezaji wengi ambao walikuwa na viwango vya hali juu katika kusakata kandanda.
na wengine walikuwa na fani mbili....... footbal & zombeism ( robbery)
 
Top 10 yangu
1.Idd Pazi " Father "
2.Raphael Paul " RP "
3.Samli Ayub " Beki Mstaarabu "
4.Fikiri Magoso
5.Frank Kasanga " Bwalya "
6.Hamza Maneno
7.Method Mogella " Fundi "
8.Octavian Mrope
9.Juma Mgunda
10.Said Mwamba " Kizota "
11.Razaki Yusuf " Careca "

Nini kimetokea? wako wapi kama hao? au ni UBINAFISHAJI kmb:
1.RELI ya Morogoro ya akina Duncan Butinini,David Mihambo n.k
2.RTC Kigoma ya akina Hamza Maneno,Mavumbi Omar,Idd Cheche n.k
3.Pilsner ya Arusha " NDOVU " ya akina Muhidin Cheupe " Nylon"
4.Ushirika Moshi ya akina David Rodgers, Often Martin n.k.Ile ilikuwa Brazil chini ya Oscar Dan Koroso.
5.CDA ya Dodoma ya Kina Justin Simfukwe.
6.RTC ya kagera ya akina Cheche Kagile
7.Timu ya bodi ya PAMBA Mwanza ya akina Fumo,Kitwana Selemani,Beyatus Simba n.k
8.Mwadui ya akina Dan Muhoja,ile middle ya kiarabu
9.Sigara ya akina Shabani Anania,Selemani Mkati,Mwakatika,Hamisi Kondo n.k
10.Pilsner ya Dar ya akina James Washokera
Kwa kutaja wachache.
Timu hizi zilikuwa za mashirika , zilikuwa na viwanja , mahitaji muhimu ya lishe na malazi wakati wa kambi.Huwezi kuwa na timu isiyokuwa na kiwanja,hayo mazoezi ya kupiga mashuti utafanya wapi.
Maeneo ya wazi yaliyokuwa yanatumiwa na vijana wa mchangani kufanya mazoezi yameuzwa kwa wafanya biashara kwa kigezo cha uwekezaji....!!!!!
Katika mazingira haya huwezi kuzalisha products kama hizo nilizotaja hapo juu.WATU WANAMISULI WAMEJENGEKA KIMICHEZO.WANA ARI N.K
Tuanze kwa kujenga viwanja na kuzuia vilivyopo kuuzwa mfano NYAMAGANA.
MATAJIRI WAWEKEZE KWENYE SOKA KWA KUANZISHA AU KUNUNUA EXISTING CLUBS.SIO KUZING'ANG'A NIA YANGA NA SAIMBA.
PALE KUPATA OWNERSHIP NI VIGUMU.
TUPATE KUREJEA KWENYE RTC's,PILSNERS LIKE.
Nawasilisha
INAUMA...... INASIKITISHA....INAKUMBUSHA MBALI...........
 
Tusiwasahau na waliokuwa wanatuwezesha kusikia bila kumsahau Charls hilali,Omari jongo
na Dominic Chilambo"RIP"
 
Muandishi hukuweza kukamilisha huwezi kumwacha nje kina Ezekiel Greayso (jujumna)willi mwinjibe
 
Tusiwasahau na waliokuwa wanatuwezesha kusikia bila kumsahau Charls hilali,Omari jongo
na Dominic Chilambo"RIP"

nadhani baada ya kutangaza mpira wa yanga na tukuyu......... kuna timu ilifungwa tatu......!
 
Eheeee kweli usipojisemea hakuna wakukusemea;;;;;;;;;NTEZE JOHN RUNGU;;;;;;;;;Tunamuweka wapi jamani? EDIBILY JONAS LUNYAMILA;;;;Winga machachari kawaulize washibiki waliokuwepo NAKIVUBO STADIUM wakati Dar Young African ikifanya vitu vyake.

Nawapongeza wote waliotuletea majina ya wachezaji maarufu. Wengine hatukuyafahamu majina hayo'
 
Hawa Je!

1. Hamis Kinye

2. Athumani Juma Chama (Jogoo)

3. Juma Mkambi (Majeshi)

4. Charles Boniface Mkwasa

5. Joseph Fungo

6. George masatu

7. Steven Nemes

8. Makumbi Juma (Homa Ya jiji)
 
Wacha kabisa. Yaani orodha yako haina jina la Nicodemus Njohole - are you serious

11. Peter Tino

12. Ramadhani Mtemi

13. Kocha Mchezaji - Hassani Hafif

14. Ardolph Rishard

15. Leodgar Tenga

16. Jela Mtagwa

17. Mohammedi Kajole

18. Ahmed Amasha

Aaah wacha wewe unawaacha na akina Abuu Yassin Napili 'Valmet' sentaafu wa Coastal Union na Stars...Alipigana bunda na streka gani yule wa simba, hadi gozi likapasuka?.....
Razak Yusuph Careca......Juma Mgunda...Makumbi Juma......niendeleee????
 
KAMA NDO HIVYO NA MIMI NIMO I played for
UZURI SUPER BOYS- MANZESE
LEVIS- ILALA ( DODOMA &KILWA STREET)
DAR STAR- ILALA
DAR STARLET- KARUME (haji manara, rashid mahadhi, mbaraka seleman, yahaya/juma kidugile,master, michael.....)
TIGER- MAGOMENI MAPIPA (LUPA,KIBAVU,PETER)
KISIWANI-MAGOMENI
SIMBA KIDS- JANGWANI
CDA-MBINGA(ZIWA NYASA MAENEO YA NKILI&NGUMBO)
BUTIMBA TTC (JOHN TAMBA,mwl. MNGOMO, ENZI, EMA KERARYO, PASCAL MAzigo, MBU)
.............!
 
Hawa Je!

1. Hamis Kinye

2. Athumani Juma Chama (Jogoo)

3. Juma Mkambi (Majeshi)

4. Charles Boniface Mkwasa

5. Joseph Fungo

6. George masatu

7. Steven Nemes

8. Makumbi Juma (Homa Ya jiji)

Swadakta! umenena mkuu there is (was) only one Masatu...

Mimi nadhani mjadala huu utanoga zaidi kama tutaugwa mafungu mawili;

1. Wachezaji baina ya 1960 - 1980

2. Wachezaji baina ya 1980 - 2000

Nadhani sote tutakubaliana kutoka 2000 to date hakuna wachezaji tuna "posho" mbele type players The Kaseja's Fuso, et al....
 
Hawa ndio ninaowakumbuka mimi pamoja na timu zao:

PAMBA:
Madata Lubigisa, Paul Rwechungura, David Mwakalebela, Abdallah Bori, George Masatu, Rashid Abdallah, Hussein Marsha, Dan Mhoja, Juma Amir “Pele wa Mwanza”, Maonwa Mkami “Ball Dancer”, Msonga Rashid, Beya Simba, Ally Bushiri, Rajabu Msoma, Pascal Tungaraza, Fumo Felician, Kitwana Suleiman,Hamza Mponda,Rajabu Risasi John Makelele “Zig Zag”, Clement Kahabuka, Bitta John na Nteze John,

MILAMBO:
Peter Poka, Jobe Ayoub, Mussa Msangi, Mikidadi Jumanne, Ally Manyanya, John Paul, Quresh Ufunguo, Said John, Abbas Mchemba, Wastara Baribari.

USHIRIKA:
Often Martin, Moshi Kazimoto, David Rodgers, Kaunda Mwakitope, Nobi Eliuka, Julius Kalambo.

COSTAL UNION:
Said Makene, Said Kolongo, Douglas Muhani, Yassin Napil, Idrissa Ndugulu, Ally Maumba, Kassim Mwakijuki, Kassa Mussa, Omar Mwakuluzo, Juma Mgunda, Razak Yusuph “Careca” na Mohamed Mwameja.

RELI:
Abdalla Mkali, Mohamed M, James Charles, Fikiri Magoso, Ramadhan Kilambo, Mwanamtwa Kihwelo, na Duncan Butinini.

RED STAR:
Yassin Saleh, Abbas Kukka, Frank Kassanga “Bwalya”, Idd Nassoro Cheche, Abunu Issa, Rosta Nduguru, Stephen Chibichi, Faustine Bingwa, Mwimbage Omari, na Dillunga.

AFRICAN SPORTS:
Duncan Mwamba,Victor Mkanwa na Hamza Maneno
 
KAMA NDO HIVYO NA MIMI NIMO I played for
UZURI SUPER BOYS- MANZESE
LEVIS- ILALA ( DODOMA &KILWA STREET)
DAR STAR- ILALA
DAR STARLET- KARUME (haji manara, rashid mahadhi, mbaraka seleman, yahaya/juma kidugile,master, michael.....)
TIGER- MAGOMENI MAPIPA (LUPA,KIBAVU,PETER)
KISIWANI-MAGOMENI
SIMBA KIDS- JANGWANI
CDA-MBINGA(ZIWA NYASA MAENEO YA NKILI&NGUMBO)
BUTIMBA TTC (JOHN TAMBA,mwl. MNGOMO, ENZI, EMA KERARYO, PASCAL MAzigo, MBU)
.............!

loh hebu tuachage utani wajimini tuwe serious..maana kama ndo hivyo wengine tukiweka cv zetu hapa itakua balaaa!!

baadhi tu ya timu nilizochezea ni:

man united ya ferguson wa mbagala kwa kipindi cha miezi miwili!!
arsenal chini ya mshika bunduki maarufu tandika pale kwa miezi miwili unusu
barcelona nayo tulikua na kapteni wetu ronaldinho tulizungusha sana tabata relini
nikaenda real madrid kwa mwezi mmoja enzi hizo nakumbuka kapteni wetu alikua beckham hii ya tabata wapi tena kuleeee??!!
chelsea sikuweza patana vizuri na mourinho wetu pale vingunguti mahakama ya mbuzi nilikaa week 3 tu
ndio hapoooo liverpool ya gongo la mboto iliponichukua nikadumu nao kwa miezi sita tukiwa na kina gerald,sissoko,kina bellamy (alikua anapiga huyoo)

nimeshinda makombe mengi mnoo hata kuya mention hapa itajaza nafasi lakini kuku tulishinda,kugombea bata tulishinda,mbuzi n.k!!!

so guys tu focus zaidi na watu wa timu kubwa kubwa na tujaribu ongelea na hawa wa miaka ya 90 wajimini!!
 
Hawa ndio ninaowakumbuka mimi pamoja na timu zao:

PAMBA:
Madata Lubigisa, Paul Rwechungura, David Mwakalebela, Abdallah Bori, George Masatu, Rashid Abdallah, Hussein Marsha, Dan Mhoja, Juma Amir “Pele wa Mwanza”, Maonwa Mkami “Ball Dancer”, Msonga Rashid, Beya Simba, Ally Bushiri, Rajabu Msoma, Pascal Tungaraza, Fumo Felician, Kitwana Suleiman,Hamza Mponda,Rajabu Risasi John Makelele “Zig Zag”, Clement Kahabuka, Bitta John na Nteze John,

MILAMBO:
Peter Poka, Jobe Ayoub, Mussa Msangi, Mikidadi Jumanne, Ally Manyanya, John Paul, Quresh Ufunguo, Said John, Abbas Mchemba, Wastara Baribari.

USHIRIKA:
Often Martin, Moshi Kazimoto, David Rodgers, Kaunda Mwakitope, Nobi Eliuka, Julius Kalambo.

COSTAL UNION:
Said Makene, Said Kolongo, Douglas Muhani, Yassin Napil, Idrissa Ndugulu, Ally Maumba, Kassim Mwakijuki, Kassa Mussa, Omar Mwakuluzo, Juma Mgunda, Razak Yusuph “Careca” na Mohamed Mwameja.

RELI:
Abdalla Mkali, Mohamed M, James Charles, Fikiri Magoso, Ramadhan Kilambo, Mwanamtwa Kihwelo, na Duncan Butinini.

RED STAR:
Yassin Saleh, Abbas Kukka, Frank Kassanga “Bwalya”, Idd Nassoro Cheche, Abunu Issa, Rosta Nduguru, Stephen Chibichi, Faustine Bingwa, Mwimbage Omari, na Dillunga.

AFRICAN SPORTS:
Duncan Mwamba,Victor Mkanwa na Hamza Maneno
NILIMKUTA MBINGA 2001 AKIWA COACH WA MBINGA UNITED
nyota nyekundu timu iliyokuwa ikiongoza kwa red cards....!
 
NILIMKUTA MBINGA 2001 AKIWA COACH WA MBINGA UNITED
nyota nyekundu timu iliyokuwa ikiongoza kwa red cards....!

looh!!wengine hatukuikuta hiyo timu,yaelekea mpira wao ulikua zaidi ya mpira wa kibabe!
timu yaongoza kwa kadi nyekundu??!!!
 
wakati timu zenye fujo daraja la tatu zilikuwa ashant na boom kwa daraja la kwanza ilikuwa red star....!
daraja la tatu timu bora kwangu ilikuwa kilimanjaro hotel!
 
Hawa ndio ninaowakumbuka mimi pamoja na timu zao:

COSTAL UNION:
Said Makene, Said Kolongo, Douglas Muhani, Yassin Napil, Idrissa Ndugulu, Ally Maumba, Kassim Mwakijuki, Kassa Mussa, Omar Mwakuluzo, Juma Mgunda, Razak Yusuph “Careca” na Mohamed Mwameja.

Mkuu No! No! No! Ngoja nikurekebishe majina hapo, ni dhambi kuwabadilisha majina wasukuma gozi hawa....
Ni Hamisi Makene...Tanga One..
Idrissa Ngulungu....
Kassim Mwajeki.....
Hussein Mwakuruzo...
Wote hao maskani kucheza drafti, Keram na Kunywa kahawa barabara ya 12 kwa marehemu Mzee Makame
 
Shukrani mkuu....Need Say more???

Naona katika majina yenu mmewasahau wakongwe Titus Bandawe na Bwana Mkubwa Yanga Omari na huku Nje kuna Shabiki Mkubwa Hamis Mduruma (RIP),Wakati huo Jumamosi mji mzima unahamia Mkwakwani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom