William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,374
Tatizo la mpira wa Tanzania ni kwamba radio tanzania ndio ilikuwa inakuza majina ya wachezaji.Wengi wa mikoani ,tulitegemea masimulizi ya radio tu,huwezi kumwona mchezaji live!
Kwa hiyo tuliwaoverate wachezaji bila hata kuwaona na kulinganisha na wachezaji wengine bara la afrika au Ulaya.
Kuhusu Mohamed China kucheza Uingereza hii ni propaganda kubwa sana!Hata Mwameja alisemekana hivyo.Wahindi wafadhili waliyudanganya sana.
Wanaojua mpira ,ligi top class ni Spain,Italy.England,kidogo Germany na France.
Zingine ni uchwara tu,ila kama una toka nchi maskini ukicheza kama Denmark,Norway,Austria etc sio mbaya kupata pesa kidogo.
Kwa hiyo Kassim Manara kusheza Austria sio deal sana.Ndio maana tumeshindwa hata kucheza Africa Cup of Nations,ina maana wacheza wetu sio wazuri kama tunavyowasifia tangu miaka yote.
Mambosasa tutamjua tu wabongo,lakini ukiuliza Thomas Nkono ni afrika na dunia nzima wanaojua mpira!
- Tumewahi kucheza Africa Cup finals, kule Ghana baada ya Peter Tino kuwaua wa-Zambia dakika za mwisho sana kwenye qualifications match za awali!
es!