William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Naomba ujibu maswali yote fully. The most important is question number 1 in Red......do not dilly dally mate!! This is not politics, jibu swali kama lilivyoulizwa.
- Naona kila mahali unaweka hili neno hapa sio politics, hapo ninashindwa kukuelewa maana yako mkuu labda ufafanue kidogo! Mimi nipo hapa kujadili mpira, sasa hili la siasa linatokea wapi?
SIMPLE QUESTIONS:
1) How many games did the so greatest team of Tanzania play to qualify for the 1980 African Nations Cup?
- Kulikuwa na Raundi ya kwanza na ya pili, and then Robo finali, kisha nusu finali and then unakwenda kwenye final, Tanzania tumeliweza hili mwaka 1980 yaani tulienda final za African Cup kwa National teams, na since then hatujaweza tena, sasa labda mkuu utupe darasa why?
No one rembers losers, no one remembers third places........FOR A LONG TIME YOU OLDIES HAVE ALWAYS FILLED US WITH YOUR FANTASY...AMAZING 60s AND 70s FOOTBALL.........A CLOSE SCRUTINY PROVES
- But atleast everybody remembers who went to the final, I mean wote tunajua kuwa Tanzania iliwahi kufika finals za African Cup, mwaka 1980 na kila mwananchi anakumbuka kwamba since then hatujawahi kwenda popote.
- Yes kila mtu anakumbuka sana jinsi Dilunga na Mahadhi, walivyochaguliwa kuwakilisha Tanzania, kwenye all African Team, lakini since then hakuna anayekumbuka kuchaguliwa kwa mchezaji yoyote tena kutoka Tanzania! This are just facts huwezi kuzibadili wala kuongezea anything zinasimama kama zilivyo
- It has nothing to do na oldies or age, ila everything to do na the love of the game na knowing the history of anything you are interested in, I love soccer na michezo mingine yote, looking at the history vijana wa sasa wamefanikiwa sana kuliko wa zamani, kwenye Muziki na Ngumi tu, lakini wameshindwa vibaya sana kwenye soccer na Riadha.
Respect.
FMEs!