Musisahau majimaji ilikuwaKENETH MKAPA, for life...
STEPHEN NEMESS/ HAMISI MALUMBO
EMA MBUNGA
SAMLI AYUB
PETER MUHINA
MUHANDO MDEVE
OCTAVIAN MROPE
CELESTINE SSIKINDE MBUNGA
RASHID LATO
Musisahau majimaji ilikuwaKENETH MKAPA, for life...
Wananchi,
Tunapozungumzia vipaji vya kukumbukwa vya wacheza mpira wa miguu, ingefaa sana tukumbuke kwanza tulikotokea katika mchezo huu.
Wakati East African Challenge Cup ilipoanza, wakati huo ikiitwa Mashindano ya Gossage Cup, ubingwa ulikuwa ni wa Uganda zaidi na wenzao Kenya. Tanganyika na Zanzibar zilikuwa wasindikizaji tu.
Lakini, ilipofikia 1949 wasindikizaji Tanganyika, waligeuza kibao wakawa washindi wa Gossage Cup, watu wakafikiri labda ile ilikuwa nyota ya jaa. Hawa wazee, siku hizo vijana, wakahakikisha umahiri wao kabumbu, kwa kukichukua kikombe hicho cha mashindano ya Afrika Mashariki 1950 na 1951.
Mara tatu mfululizo. Rekodi yao hiyo haijafikiwa au kupitwa na timu nyingine yoyote ya Tanganyika wala Tanzania.
Napenda kuwapa wao heshima hiyo ya wachezaji bora wa wachezaji wetu bora:
1. Abdulhamid Ramadhani "Ibraq" - Dar Young Africans - Goalkeeper.
2. Juma Mrisho - Tabora - Fullback Right
3. Mganga Yaga - Kondoa, Dodoma - Fullback Left
4. Mambo Mzinga "Tractor" - Dar Young Africans - Halfback Right
5. Yunge Mwanansali - Tabora - Centre Half
6. Kheri Kilanga - Dar Sunderland (Simba) - Halfback Left
7. Hamisi Mtoto - Dar Young Africans - Right wing
8. Fidelis....?.... - Bukoba - Inside Right
9. Juma Abdallah Nyongole - Iringa - Centre Forward
10. William Nasson - Dar Sunderland (Simba) - Inside Left
11. Pius....?..... - Bukoba - Left wing
Reserves:
12. Mohammed Kembo - Tanga
13. Harold Mgone - Dar Sunderland (Simba)
14. Hamisi "Fourteen" - Dar Sunderland (Simba)
15. Situmai Mzee "Ng'anda" - Dar Young Africans.
Hatutawatendea haki watu hawa kama tutawasahau. Wao ndio waliotuonjesha ushindi wa mchezo huu kwa mara ya kwanza kabisa, katika mashindano ya Kimataifa.
Mwenyezi Mungu awarehemu huko waliko.
Why top 10 and not top 100?
Omari Chogo Chemba
Boi Wickens
Mohamed Kajole
William (Leonard)Chitete
Thuweni Ally
Makumbi Juma
Peter Tino
Willy Mwaijibe
Gilbert Mahinya
Mohamed Salim
Hamisi Gagarino Tx 1
Lilla Shomari Tx 2
Jellah 'Mlevi' Mtagwa
Idd Boi 'Wickens'
Khalid Abeid
Haidari Abeid
Hassan Gobbos
Abbas Dilunga
Maulid Dilunga
Sunday 'computer' Manara
Kassim Manara
Kitwana Manara
Adolph Rishard
Mohamed Mkweche
Mohamed Tostao
Yungi Mwanansali
Mpaka kesho namini miaka ya 60, 70, 80 Tanzania kulikuwa na wachezaji wazuri sana kuliko sasa bahati mbaya tu miaka hiyo hawakupata bahati ya kuonyesha vipaji vyao majuu, lakini wengi wangestahili kabisa kuchezea timu kubwa za dunia za wakati huo. Walikuwa na mapenzi ya kweli na timu zao na pia walikuwa wanajituma sana wanapokuwa uwanjani tofauti na hawa wa sasa. Kwa Taarifa tu pink slip ya 'Minimo" imeshaandikwa kesjo tukipigwa mbao basi kibarua kinaota majani yeye na timu yake nzima ili warudi kwao wakaendeleze gwaride maana inaelekea mpira hawaujui.
coastal union
hasan msosi
makunda
zaharani
mohamed salim
godfrey nguruko
salim athuman
clement kwagila
mwamlongo
1.juma kaseja
2.shadrack nsajigwa
3.juma jabu
4.salum sued
5.nadir haroub kanavaro
6. Athuman idd chuji
7.mrisho ngassa
8.shaban nditi
9.haruna moshi boban
10.mussa mugosi
11. Mwakingewe
imekaaje hiyo?kizazi kipya