...tongozo la polisi!!cheki flow hiyo

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,109
My switi pie,

Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho!

Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio.

Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo.

Wewe ndio IGP wa moyo wangu.

Mbona upo kimya? Nina RB ya penzi rako, nijibu nifungue jarada rako ndani ya moyo wangu.

Usifanye moyo wangu ukaenda mbio kama difenda mpya.

Nakuhakikishia ntakuwekea usarama kama msafara wa Rais.

Usiniweke roho juu kama maandamano ya CHADEMA.

Nijibu poti...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom