Swaga za Polisi akitongoza...!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Sikiliza swaga za POLISI anapotangaza dem.
aroooow wewe, hebu kuja haraka, unajua nakuthamini sana kama RUSHWA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio. Nitakuheshimu kama ninavyoliheshimu LINDO, wewe ndio C.R.O wa moyo wangu. Mbona upo kimya nijibu basi nipate kufungua JARADA ndani ya moyo wangu. Usinifanye moyo ukaenda mbio kama DIFENDA, nitakuwekea usalama kama msafara wa RAIS. Usinifanye nikajutia mapenzi kama LULU pale mahakama ya KISUTU.
 
ha ha ha.... Ukigoma nakuripua kama mwangosi
 
ukikubari nitakununuria nguo kama zangu,off cause utakuwa ripeoples powerrrrrrrrr kama harima mdee.
 
Sikiliza swaga za POLISI anapotangaza dem.
aroooow wewe, hebu kuja haraka, unajua nakuthamini sana kama RUSHWA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio. Nitakuheshimu kama ninavyoliheshimu LINDO, wewe ndio C.R.O wa moyo wangu. Mbona upo kimya nijibu basi nipate kufungua JARADA ndani ya moyo wangu. Usinifanye moyo ukaenda mbio kama DIFENDA, nitakuwekea usalama kama msafara wa RAIS. Usinifanye nikajutia mapenzi kama LULU pale mahakama ya KISUTU.[/QUOTE

Bila shaka walisha kutongoza na kukufadi, kama siyo wewe mkeo au hawala.Indelea kutupasha namna wanavyo sukuma ngozi
 
Bila shaka walisha kutongoza na kukufadi, kama siyo wewe mkeo au hawala.Indelea kutupasha namna wanavyo sukuma ngozi

Bila shaka wewe ni afande, usikasirike ni utani tu huu......hahahahaaah!!
 
Hapana boss mm si afande wala sijakasilika,ila nashindwa kuelewa mazingira yaliyokuwezesha kusikia maneno yote hayo wanavyotongoza jamaa zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom