Toka Singida: Dr. Kitila Mkumbo apandishwa mahakamani rasmi...

Jamaa kijana nchemba ndiyo utamu wa pesa na madaraka unaanza hata uwaziri hajaupata ninyi mtaleta siasa jimboni kwake. Haiwezekani. Vita ni vita mura............

May God bless those are innocent
 
Kazi ipi, kuna mwanasiasa alie wahi kutukana kama huyu pumbavu.

je serikali ilimshitaki au polisi sikuhiyo hawa kuwepo...

huyu alipata nafasi ya kuomba msahmaha na kupigiwa makofi na anakula alawanzi; ila aliyesema ukweli kwamba mwigulu ni mzinzi anawekwa kortini

anyway double standards ndizo zinazoongeza chuki, itafika wakati ccm watashindwa hata na mbwa akisimamishwa kwenye uchaguzi
 
Last edited by a moderator:
Hivi chini ya Sheria zetu hakuna tofauti kati ya jinai (Criminal offence), libel and slander?

Mbona Kitila ashitakiwe na kutiwa mbaroni na polisi kwa kum-slander huyu mwanaCCM?

Hili siyo jukumu la Mwigulu kumshtaki Kitila kwa kumkashifu eti ni mzinzi etc.?
 
Kijana huyu kazi ya kufundisha imemshinda, juzi tu kapewa ulaji. Leo kapatwa na masaibu ya siasa. Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Hebu tuendelee kuona hii episod ya kitila mwana wa mkumbo.
 
Nchemba ni mjinga,kwanza ameficha maiti tatu za wale wahuni aliowatuma kuleta fujo mkutanoni
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?

Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya.

CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida.

Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.
 
Wewe mwenyewe hujionei huruma? Asubuhi badala la kusaka mpunga unapoteza muda wako mahakamani kumwangalia mtu jinsi 'anavyotial huruma?????
 
Ha ha kutafuta ukombozi siyo lelemama ndugu yangu hiyo nadhani ni hofu yako lakini ili kuipa thamani dhahabu ni lazima ipitie kwenye moto.
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?. Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya. CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida. Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.

Kwa vile ni Dr. Ndo maana , laiti angekuwa Prof. angalau angejua la kufanya , haoni wenzake akina Baregu na Safari wanavyotumiwa na CDM lakini, wanakua wajanja? wajinga ndiyo waliwao , acha apamabane na kesi na mwishoye yatamshinda na atasema ukweli alivyojidanganya kwa CDM.
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?. Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya. CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida. Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.

Mdwenke,

Wewe unaonekana ni sawa na chizi tu.

Unachozungumza hapa ni unafiki na upotoshaji wa swala la msingi lililoko mezani. Dr.Kiltila Mkumbo ni mtu makini na ndiyo maana ameamua kuingia Chama Makini cha CHADEMA ili kusukuma mbele harakati za kudai HAKI na HESHIMA ya Watanzania ambayo imepotezwa na serikali ya CCM, chama cha Magamba,Mafisadi na Majambazi waliokubuhu.

Kilichotokea Ndago kiko wazi kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu. Je, ina maana wewe hujui kuwa mauaji ya Ndago yalipangwa na kuchochewa na Mbunge wa Iramba Magh. Bwana Mwigulu Nchemba??Wanachotaka kukifanya CCM kwa Dr. Mkumbo ni kilekile walichokifanya Mabwepande kwa Dr. Steve Ulimboka.Physically,Mentally and psychologically torturing or killing if possible ili kupunguza kasi ya wapiganaji kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii.

Wapigania Uhuru na Haki popote duniani walikuwa ni watu makini ambao pamoja na manyanyaso.mateso na kudhalilishwa walikofanyiwa na serikali za kikoloni,kimabavu na kidikteta lakini mwisho wa siku hawa ndiyo walikuja kuibuka mashujaaa wa nchi zao. Mfano dhahiri ni Nelson Mandera.

Siku za utawala dhalimu wa CCM zinahesabika. Freedom is coming tomorrow! Aluta Continua!
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?. Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya. CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida. Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.

Najua umetumwa na Muhazini wa chama chenu! Ila tambua ya kwamba hoja yako ni dhaifu na sikutegemea mtu kama wewe ambaye umebahatika kupata elimu ya chuo kikuu ukawa na mtazamo kama huo. Kaa ukijua kwamba wanyiramba sasa wameamka si wale wa mwaka 47 - Dr. Kitila ni mbunge wetu 2015
 
Mabadiliko si ya mteremko, ni lazima upitie kwenye mshikemshike....
Mapambano yanaendelea Hadi kieleweke.
Jionee huruma wewe unayependa mafanikio ya raha tu bila shida.
 
Mdwenke,
wewe ndo mtu wa kuonewa huruma,
kwa sababu shule yote uliiacha darasani,
umetoka na karatasi tu.

Sasa ulitaka Dr Kitila huko mtaani aseme nini?
Ulitaka pale mahakamani akenue meno?
Ulitaka siasa aendelee kuiimba darasani tu?

Umechukulia kufikishwa mahakani kama,
jambo la aibu na linaloshusha hadhi ya mtu,
Wewe mahakama unaiona kwa jicho la CCM.

CCM wanadhani mahakama ni mahali,
pa kuwakomoa watu na kuwashusha hadhi,
wanadhani mahakama ni mahali pa kuwagalagaza watu,
wanaojifanya kuipinga kwa kauri zao nzito.

Kuna watu wengi mashuhuri duniani,
leo bado wapo hai,
waligalagazwa mahakamani kwa aibu kubwa,
leo wanaheshimika dunia nzima,
na kila mmoja anapenda kuji identify nao,
hata wale waliwahi kutaka wanyongwe.
Mmoja wao ni Nelson Mandela.

Kufikishwa mahakamani ni hatua tu,
si mwisho wa heshima yako,
wala si mwanzo wa kuanguka kwako.

si dhani Dr Kitila ataenda chini,
ki kuku kuku kama unavyodhani wewe,
pia sidhani kama yeye kujiingiza katika siasa,
amejidharirisha.
Kwanza ni haki yake ya kikatiba,
kujitumbukiza katika siasa,
pili hakuna aibu yeyote kuingia katika siasa.
 
Zungumzia mtu mwingine sio Dr. Mkumbo.
Hicho ni kichwa ndugu yangu wala hakina papara aiseee
 
Back
Top Bottom